Je, vita vikiendelea miezi sita ijayo Urusi ataishiwa silaha?

Je, vita vikiendelea miezi sita ijayo Urusi ataishiwa silaha?

Urusi keshafeli kwenye mipango ya kijeshi. Kapewa kichapo cha mbwa koko kwenye miji ya ndanindani huko Ukraine kakimbilia kwenye miji ya mashariki kwenye watu wa asili ya urusi wengi. Na huko pia atafuatwa apewe kichapo na kufurumushwa kabisa atoke ndani ya ardhi ya Ukraine

sign ya kufail n nn??
 
Ni kweli kabisa mkuu,na Jana Putin amempigia simu Zelensky akiomba amrudishie mji wa Crimea,Mariupol lkn kwa sharti la kuomba mpango wa Zelensky kwenda kuikamata Moscow usitishwe,ana Hali mbaya Sana urusi.Yaani hata chakula Cha kulisha jeshi lake kiliisha, wanajeshi wake wanaiba tu kwny ma supermarket sa hivi ili wa-survive.

Ukisikia changanya na za kwako??
Kama kutakua na jitihada za kuivamia moscow bas ujue nyuklia zote zitaishia apo ukraine kusibak na kitu
 
Maswali ya kipumbavu sana haya.
TANZANIA ILIPIGANA NA UGANDA MWAKA NZIMA NA HAKUISHIWA SILAHA.
 
Back
Top Bottom