mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Mbona wanatishia Nuclear badala ya hizo hightech silaha.Huko Ukraine kuna wanamgambo na silaha za kizamani tech zao latest zipo Urusi. Ukraine ni jalala tu sasa hivi.
Hata hao wanaowasaidia Ukraine wanapeleka tu silaha za kizamani.
Wabongo Kwa kujua mambo ya nchi ambazo hata hamjawahi kufika 😂😂😂Mpaka sasa urusi hajatumia hata 10% ya uwezo wake, it's just a simple military operation.
Una source yoyote ya kirusi kwamba wanatumia Nuclear?Mbona wanatishia Nuclear badala ya hizo hightech silaha.
Maana Nuclear ni option ya mwisho.
Mh!Urusi keshafeli kwenye mipango ya kijeshi. Kapewa kichapo cha mbwa koko kwenye miji ya ndanindani huko Ukraine kakimbilia kwenye miji ya mashariki kwenye watu wa asili ya urusi wengi. Na huko pia atafuatwa apewe kichapo na kufurumushwa kabisa atoke ndani ya ardhi ya Ukraine
😂😂😂Pole mkuu uwahurumii wenzio wanavyotunguliwa huko‼️Urusi keshafeli kwenye mipango ya kijeshi. Kapewa kichapo cha mbwa koko kwenye miji ya ndanindani huko Ukraine kakimbilia kwenye miji ya mashariki kwenye watu wa asili ya urusi wengi. Na huko pia atafuatwa apewe kichapo na kufurumushwa kabisa atoke ndani ya ardhi ya Ukraine
Huko Ukraine kuna wanamgambo na silaha za kizamani tech zao latest zipo Urusi. Ukraine ni jalala tu sasa hivi.
Hata hao wanaowasaidia Ukraine wanapeleka tu silaha za kizamani.
Ni kweli kabisa mkuu,na Jana Putin amempigia simu Zelensky akiomba amrudishie mji wa Crimea,Mariupol lkn kwa sharti la kuomba mpango wa Zelensky kwenda kuikamata Moscow usitishwe,ana Hali mbaya Sana urusi.Yaani hata chakula Cha kulisha jeshi lake kiliisha, wanajeshi wake wanaiba tu kwny ma supermarket sa hivi ili wa-survive.Urusi keshafeli kwenye mipango ya kijeshi. Kapewa kichapo cha mbwa koko kwenye miji ya ndanindani huko Ukraine kakimbilia kwenye miji ya mashariki kwenye watu wa asili ya urusi wengi. Na huko pia atafuatwa apewe kichapo na kufurumushwa kabisa atoke ndani ya ardhi ya Ukraine
Na Canada nao walitangaza Muda mrefu tu kwamba silaha za kutuma UKRAINE zimeshawaishia.Ha ha ha ha ha ha we jamaa unanichekesha urusi inatoda doza huku ikraine huku ikiendelea kuuza silaha kwa mataifa mengine wakati hiyo ukraine imegeuzwa magofu kwa ndege za zaman ambazo ni su 25 z
Inchi za magharib wasipojia angalia silaha zao zitaisha kama findland na ujeruman
Fb, Twitter, watsup nk zote zimeanza US na wewe unazijua umewahi kufika US? Dogo mbona unajizima data?Wabongo Kwa kujua mambo ya nchi ambazo hata hamjawahi kufika [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka sasa urusi hajatumia hata 10% ya uwezo wake, it's just a simple military operation.
Urusi ana silaha nyingi alizibakiza tangu enzi za ww2,
Ikumbukwe urusi hajatumia Sana sophisticated weapons tangu Vita Hii ianze, anakwenda na mizinga na vifaru ambayo Ni mabaki ya ww2
Jana marekanj wamekiri kua mpka Sasa urusi hajatumia hata 25% ya silaha zake Ukraine.
Kingine,
Wkt Vita bado inaendleea, bado uzalishaji wa silaha unaendelea maana malighafi za kutengeneza anazo mwenyewe haagizi nje