Je, vita vikiendelea miezi sita ijayo Urusi ataishiwa silaha?

Tangu utudanganye ya Sniper kufa,General wa US kule NATO kukamatwa na kubwa kuliko zote ya Kyiv kuwa chini ya Russia ndani ya masaa kadhaa,huwa nikiona comment yako nabaki kuguna hiiiiiiiii (in JPM's voice) [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Likely, sasa amekodi mamluki toka Libya, Syrina na kwengineko ni wazi ata jeshi hana lakini kwa ulaya kuisaidia Ukraine bado hawajachoka nadhan mpango waendelea

 
Baada ya kushindwa mnatafta sababu, silaha gan ambazo hajatumia???, mpaka analalamika mda wote
Leo tu Ametest kombora ambalo halizuiliki na defense yoyote ya sasa, Sarmat. Kuna Silaha za Mrusi za kupigana na mabwama wakubwa kama Us, na kuna Silaha zinazotumika sehemu kama Ukraine.

Kuna vitu vikishushwa hapo ukraine hadi panya hawatasalimika.
 
Nasikia Urusi anaweza kuwasaidia Ukraine silaha ili waendelee kuzipigaπŸ’
 
Alisikika mlevi mmoja wa chibuku akisema

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Urusi mpaka anaomba msaada wa wapiganaji waende kumsaidia, kaweka dau kabisa...Limeli lake babu kubwa lilizamishwa tukiona, limsafara lote kilomita 64 limeliwa shaba...
Urusi malalamiko yake ni kuishiwa vilainishi. Analazimika kuwabaka kavu kavu. Ila upande wa silaha...!
Anasikitika NATO kupeleka silaha zakizamani. Anatamani wamhonge huyo shoga wao silaha za kisasa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Yule kamanda wa jeshi la maji wa Ukraine kajificha kiwandani analia lia kule Mariupol
 
Russia sio zimbabwe, Russia haitaji kununua au kusaidiwa kama Ukraine. Yeye anazifyatua tu kama vile mchina anavyofyatua vi t-shirts
 
kaka unasoma habari zako unatoa wapi?Uchumi wa Urusi uko pale pale,..

Jana Kamanda mmoja wa Ukraine ameomba msaada,majeshi yake yamezungukwa na majeshi ya Urusi,

Leo Putin amemwambia waziri wake wa ulinzi kuwa asishambulie kiwanda cha chuma walikojificha Wanajeshi wa Ukraine ambacho kimzungukwa na majeshi ya Urusi

"Msishambulie lakini izungukeni hiyo sehemu asitoke hata nzi"..hayo ni maneno ya Putin raisi wa Urusi

Sanctions hazifanyi kazi,..
 
Marekani mpaka sasa katoa msaada wa dola bilion 4 hivi,...
Hizo silaha anazotoa sio sehem ya akiba ni silaha za biashara, kuziuzia nchi nyingine....

Hivyo anatoa pesa hazina anakwenda kununua kwenye jeshi lake na makampuni mengine yanayotengeneza silaha....

Yeye ana akiba ya kutosha kupigana vita miaka 10....

Urusi tunampa mwaka mmoja, akishalegea tunamchakaza ndani ya siku 6 biashara inakwisha, baada ya hapo tuna dili na China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…