mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Vyombo vyote vya habari vineendelea kuvfyata mikia yao kwenye bukutaJe, UPAMBAVU ni TUSI?
"WA AJABU HAIJAPATA KUTOKEA" nalo ni TUSI?
HOFU, HOFU, HOFU
VYOMBO VYA HABARI HAVIKO HURU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyombo vyote vya habari vineendelea kuvfyata mikia yao kwenye bukutaJe, UPAMBAVU ni TUSI?
"WA AJABU HAIJAPATA KUTOKEA" nalo ni TUSI?
HOFU, HOFU, HOFU
VYOMBO VYA HABARI HAVIKO HURU.
..Dar Mpya TV wamejitahidi.
..wameutangaza mkutano mzima.
..Dar Mpya TV wamejitahidi.
..wameutangaza mkutano mzima.
Haitawasaidia chochote, mwisho wa siku watakuja kuaibika tu. Hakuna Dikteta anayedumu MILELE.
Wewe umesikia tusi?
Kama hukusikia jua walinyofoa (edit)
Hakuna speech asiyotoa bila kuwaita wenzake majina ya ajabu .
Yaani yeye anajua kila kitu, anaweza kila kitu, wenzake wote ni zero, wenzake hawajui chochote. Yaani hata watanzania nao hawajui kabisa , yeye peke yake anajua na anaweza na anaomba mchango kwa lazima.
Baadhi ya sehemu zimeondolewa sauti
Baba yako jiwe ameanza figisu figisu kwa Lissu, leo serikali yake ya WATEKA NYARA imekataa kutoa kibali cha chopa. CCM wenzangu tunakwama wapi?mbona unaongea kwa huruma sana! wewe mwenyewe hauna mda mrefu duniani
Kama vile unamiliki chombo cha habari vile, kumbe kapuku mmoja tuHana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.
naona unateseka mkuuWewe umesikia tusi?
Kama hukusikia jua walinyofoa (edit)
Hakuna speech asiyotoa bila kuwaita wenzake majina ya ajabu .
Yaani yeye anajua kila kitu, anaweza kila kitu, wenzake wote ni zero, wenzake hawajui chochote. Yaani hata watanzania nao hawajui kabisa , yeye peke yake anajua na anaweza na anaomba mchango kwa lazima.
Umetukanwa ww???Uhuru wa kutukana wengine?
Nchi ya matusi ?
Hiyo haipo TZ
Labda ubelgiji
Siasa zinahitaji ukomavu wa kisiasa,sio watu wengi wanapenda kusikia lugha ya makuli.Hana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.
Kwenye jina lako toa ..... o.... weka .....uHana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.
Wewe umesikia tusi?
Kama hukusikia jua walinyofoa (edit)
Hakuna speech asiyotoa bila kuwaita wenzake majina ya ajabu .
Yaani yeye anajua kila kitu, anaweza kila kitu, wenzake wote ni zero, wenzake hawajui chochote. Yaani hata watanzania nao hawajui kabisa , yeye peke yake anajua na anaweza na anaomba mchango kwa lazima.
Idiocy!Hana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.