Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Ndugu yangu katika imani itatumika hio figo ya nguruwe endapo ya binadamu itakoseakana lkn pia kma huyo mtu akifa inatakiwa itolewe halafu ndio azikwe.

Mungu ndo anajua zaidi
 
Mvaakobazi bora azini kuliko kula nyama ya kiti..dini zingine unafiki mtupu..ila kuhusu figo ya nguruwe ni tiba wataipokea kwa mikono miwili mana hakuna apendaye kifo.

#MaendeleoHayanaChama

Kula nguruwe na kuzini zote ni haramu na ni dhambi ,unvyosema Bora azini kuliko kula nguruwe unakuwa hauko sawa sababu hakuna kilicho halalishwa.

Kama hakuna namna nyingine ya kuokoa maisha Yako zaidi ya kula au kuwekewa Figo ya nguruwe hakuna namna
 
Ndugu yangu katika imani itatumika hio figo ya nguruwe endapo ya binadamu itakoseakana lkn pia kma huyo mtu akifa inatakiwa itolewe halafu ndio azikwe.

Mungu ndo anajua zaidi
Hilo ni darasa lingine, kwani kuna msingi wa sheria wenye kusema " Adharuraat tubeeh makhtooraat"
 
Sasa wanasema wale wakiwa na dhalula tu.
Je atawafuga nani hao nguruwe ili wawanusuru wakati wa dhiki ya chakula ?
Ni vyema nao wakafuga ili wakati wa mahitaji hayo wale kiasi walichoambiwa.

Hakuna anaye wafuga swala lkn tukiwa na dhalula ya nyama tutawapata
 
Maandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba

Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
Mkuu kumbe una dini maana nakuonaga kama wenzako akina zito jr
 
Mi huwa kila nikipata dhalula ya njaa ya kufa siku za weekend huwa nakula nyama ya Nguruwe kilo moja tu (sio ya kushiba) na najisikia nafuu hapo hapo.
Kweli kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu kina umuhimu wake.
We ni KAFIRI KAMA SISI[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Sasa wanasema wale wakiwa na dhalula tu.
Je atawafuga nani hao nguruwe ili wawanusuru wakati wa dhiki ya chakula ?
Ni vyema nao wakafuga ili wakati wa mahitaji hayo wale kiasi walichoambiwa.
[emoji851][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] sisi makafiri au WAPORINI[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ukiumwa wewe ndio utaelewa[emoji41][emoji41]
 
Muislamu si sahihi kutumia kitu chochote kitokanacho na nguruwe, si nyama yake wala viungo vyake wala huduma yake. Huo ndiyo mtihani tuliyopewa watu wa vitabu.
Maandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba
Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
Itabidi mkae chemba muelewane kwanza ndipo mje na kauli moja, maana mapingana wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…