inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Sasa nakupaje!?Nipe ushahidi wa ilo asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nakupaje!?Nipe ushahidi wa ilo asee
Toa ushahidi wa maelezo ya kibaolojia au leta ata source nzuri ya kuweza kupata ushahidi uoSasa nakupaje!?
Nimekaa karibu Sana na nguruwe,kila mfuga nguruwe anajua hiloToa ushahidi wa maelezo ya kibaolojia au leta ata source nzuri ya kuweza kupata ushahidi uo
Sasa ulitaka Qur'an ikuambie Dini isiyo na shaka ni uhindu ama Ubhuza? 🤣🤣Wacha nijifakhari na uislamu wanguView attachment 1984623
Hata hao wasio waislamu,wanajuwa palipo na dharura,unafanya ulichokatazwa katika dini aliyo nayo.Kwa mfano mdogo tu,wakristo wanawake,hawaruhusiwi kuvyaa ushungi,lakini wakiwa na kesi mahakamani,ili wasijulikane wakati camera zinawamulika,wanajifinika kuanzia kichwani,uso mpaka tumboni,wanaingia kwenye uislamu,bila kupenda.Pia ukija kwenye ugonjwa wa corona,wanawake na wanaume wasio waislamu,wanajifinika uso ,kwa kuvaa barakoa,na zamani wakiwacheka wanawake waislamu,wakijifinika uso,wakiwaita maninja,lakini hivi sasa,Mungu akawafanya hata wao,wasio waislamu wanajifinika uso.Katika dini ya kiislam nguruwe ameruhusiwa kuliwa kama kutakuwa na uhaba wa chakula,kwa hiyo kama hamna option nyingine ya kiungo na kipo cha nguruwe basi unawekewa tu hamna tabu.
Hizo dini zote,kwenye vitabu vyao,hakuna maandiko hayo,na wala hutayapata,kwa vile ni dini za kuanzishwa kiujanja janja.Sasa ulitaka Qur'an ikuambie Dini isiyo na shaka ni uhindu ama Ubhuza? [emoji1787][emoji1787]
Nimekaa karibu Sana na nguruwe,kila mfuga nguruwe anajua hilo
Embu wamuache ajinenepeeNahisi kuna kutoelewana kwa taarifa na mapokeo ya kale (mafunzo ya dini )
Huyu mdudu sijaona kosa (uharamu) lake
[emoji41]
Ivi ww uyo anokupa nguvu na uwezo wa kupumua ndo unamdhalilisha ivo wakati leo apo tu ukiumwa na kichwa tuu huna ujanjaSasa ulitaka Qur'an ikuambie Dini isiyo na shaka ni uhindu ama Ubhuza? [emoji1787][emoji1787]
Kwenye kuwagawa makundi like form one,nguruwe yupo kundi moja na binadam,size ya moyo wake inakaribiana Sana na ya binadamu,damu yake inashabihiana Sana na ya binadamu,jike lake linapata hedhi Kama binadamu
acha porojo, nimekuuliza ULITEGEMEA QUR'AN ikuambie "HAKIKA DINI YA HAKI NI baai ama bhuza?".Ivi ww uyo anokupa nguvu na uwezo wa kupumua ndo unamdhalilisha ivo wakati leo apo tu ukiumwa na kichwa tuu huna ujanja
Jitafakari ww unosema huna dini
wakati dini yako ivo unavoishi ndo dini yako
Utetezi wa kijinga sana huu.Hizo dini zote,kwenye vitabu vyao,hakuna maandiko hayo,na wala hutayapata,kwa vile ni dini za kuanzishwa kiujanja janja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha nijifakhari na uislamu wanguView attachment 1984623
Kwenye dharura,katika dini ya kiislamu,unaruhusiwa kufanya jambo la kujiokoa,ni tofauti na wasabato(wakristo),kwa mfano
1.Wasabato(wakristo) hawaongezewi damu,wakati katika uislamu unaongezewa damu.
2.Msabato(mkristo) hafanyi kazi jumamosi,hata akimuona mnyama katumbikia kwenye shimo,hamtoi,ambapo katika uislamu,siku ya ijumaa unafanyakazi,mda wa ibada unakwenda fanya ibada,ukimalizaunaendelea na kazi zako.
3.Wasabato,mtihani ukifanyika jumamosi,hawafanyi mtihani,wakati waislamu ijumaa,wanafanya mitihani.
Kwa hiyo usifananishe uislamu na dini,za kujitungia,wanadamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
una uhakika na unachokiongea?Muislam hatakubali bali mgonjwa wa figo hatakuwa na hiana[emoji3][emoji781] Ugonjwa wa figo hauna dini ati[emoji12][emoji779]
una uhakika na unachokiongea?
Uislamu ni dini iliyokamilika ina misimamo yake na kanuni zake sio kma wasabato ety jumamosi hutakiwi kufnya kazi au mgonjwa hatakiwi kuongezewa damu yni ni full majanga