Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Katika dini ya kiislam nguruwe ameruhusiwa kuliwa kama kutakuwa na uhaba wa chakula,kwa hiyo kama hamna option nyingine ya kiungo na kipo cha nguruwe basi unawekewa tu hamna tabu.
 
Katika dini ya kiislam nguruwe ameruhusiwa kuliwa kama kutakuwa na uhaba wa chakula,kwa hiyo kama hamna option nyingine ya kiungo na kipo cha nguruwe basi unawekewa tu hamna tabu.
Hata hao wasio waislamu,wanajuwa palipo na dharura,unafanya ulichokatazwa katika dini aliyo nayo.Kwa mfano mdogo tu,wakristo wanawake,hawaruhusiwi kuvyaa ushungi,lakini wakiwa na kesi mahakamani,ili wasijulikane wakati camera zinawamulika,wanajifinika kuanzia kichwani,uso mpaka tumboni,wanaingia kwenye uislamu,bila kupenda.Pia ukija kwenye ugonjwa wa corona,wanawake na wanaume wasio waislamu,wanajifinika uso ,kwa kuvaa barakoa,na zamani wakiwacheka wanawake waislamu,wakijifinika uso,wakiwaita maninja,lakini hivi sasa,Mungu akawafanya hata wao,wasio waislamu wanajifinika uso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye dharura,katika dini ya kiislamu,unaruhusiwa kufanya jambo la kujiokoa,ni tofauti na wasabato(wakristo),kwa mfano
1.Wasabato(wakristo) hawaongezewi damu,wakati katika uislamu unaongezewa damu.
2.Msabato(mkristo) hafanyi kazi jumamosi,hata akimuona mnyama katumbikia kwenye shimo,hamtoi,ambapo katika uislamu,siku ya ijumaa unafanyakazi,mda wa ibada unakwenda fanya ibada,ukimalizaunaendelea na kazi zako.
3.Wasabato,mtihani ukifanyika jumamosi,hawafanyi mtihani,wakati waislamu ijumaa,wanafanya mitihani.
Kwa hiyo usifananishe uislamu na dini,za kujitungia,wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ulitaka Qur'an ikuambie Dini isiyo na shaka ni uhindu ama Ubhuza? [emoji1787][emoji1787]
Ivi ww uyo anokupa nguvu na uwezo wa kupumua ndo unamdhalilisha ivo wakati leo apo tu ukiumwa na kichwa tuu huna ujanja

Jitafakari ww unosema huna dini
wakati dini yako ivo unavoishi ndo dini yako
 
Pumbavu
Kwenye kuwagawa makundi like form one,nguruwe yupo kundi moja na binadam,size ya moyo wake inakaribiana Sana na ya binadamu,damu yake inashabihiana Sana na ya binadamu,jike lake linapata hedhi Kama binadamu
 
Ivi ww uyo anokupa nguvu na uwezo wa kupumua ndo unamdhalilisha ivo wakati leo apo tu ukiumwa na kichwa tuu huna ujanja

Jitafakari ww unosema huna dini
wakati dini yako ivo unavoishi ndo dini yako
acha porojo, nimekuuliza ULITEGEMEA QUR'AN ikuambie "HAKIKA DINI YA HAKI NI baai ama bhuza?".

yaan, ndani ya katiba ACT kuna kipengere kinasema"HAKIKA CHAMA CHA KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI NI CCM? ".
 
Hizo dini zote,kwenye vitabu vyao,hakuna maandiko hayo,na wala hutayapata,kwa vile ni dini za kuanzishwa kiujanja janja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utetezi wa kijinga sana huu.
kwa hiyi insu hapa ni kuandika tu.

kwa kuwa Musiba alisema Magufuli ni yesu na AKAANDIKA kwenye gazeti lake la tanzanite:, kwa kuandika uko tu kuna mfanya Magufuli awe Yesu?
 
Kama wewe ni Shia au Ahmadiyya ukitekwa na ISIS au Taliban unaruhusiwa kudanganya ni Sunni ili wasikukate kichwa?
Kwenye dharura,katika dini ya kiislamu,unaruhusiwa kufanya jambo la kujiokoa,ni tofauti na wasabato(wakristo),kwa mfano
1.Wasabato(wakristo) hawaongezewi damu,wakati katika uislamu unaongezewa damu.
2.Msabato(mkristo) hafanyi kazi jumamosi,hata akimuona mnyama katumbikia kwenye shimo,hamtoi,ambapo katika uislamu,siku ya ijumaa unafanyakazi,mda wa ibada unakwenda fanya ibada,ukimalizaunaendelea na kazi zako.
3.Wasabato,mtihani ukifanyika jumamosi,hawafanyi mtihani,wakati waislamu ijumaa,wanafanya mitihani.
Kwa hiyo usifananishe uislamu na dini,za kujitungia,wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nyie sijui mkoje uyo" yesu mnoamuabudu hakuwahi kuwa mkristo" ni maneno ya mzee wa upako

Endeleeni kudanganywa tuu
 
Muislam hatakubali bali mgonjwa wa figo hatakuwa na hiana😀❕ Ugonjwa wa figo hauna dini ati😜❗
Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581

Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,

Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
 
Muislam hatakubali bali mgonjwa wa figo hatakuwa na hiana[emoji3][emoji781] Ugonjwa wa figo hauna dini ati[emoji12][emoji779]
una uhakika na unachokiongea?
Uislamu ni dini iliyokamilika ina misimamo yake na kanuni zake sio kma wasabato ety jumamosi hutakiwi kufnya kazi au mgonjwa hatakiwi kuongezewa damu yni ni full majanga
 
Dini tangu lini huwa inaugua figo? We ndg vepe😜! Anayeugua ni mgonjwa na anayewekewa figo la kitimoto ni huyo mgonjwa wa figo! Kama mgonjwa wa figo akiamini atapona kwa figo la kitimoto atakubali tu, hayo yadini yatakuja baadae! Vinginevyo hiyo dini imlinde asijeugua figo❗
una uhakika na unachokiongea?
Uislamu ni dini iliyokamilika ina misimamo yake na kanuni zake sio kma wasabato ety jumamosi hutakiwi kufnya kazi au mgonjwa hatakiwi kuongezewa damu yni ni full majanga
 
Back
Top Bottom