Je wajua Dini ya Uislamu ni zaidi ya sayansi?

Mkuu wewe ni ndege au mnyama umejuaje kwamba havina vitabu vyao?
 
Dini na Sayansi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Acha kulewa asubuhi 🤣🤣🤣🤣
 
Hayo yote chanzo wa misri wa kale na hakuna aliewafikia kwa sasa kwa maarifa na imani karibia zote za mashariki ya kati zimetokana na elimu zao
 
The Quran mentioned the seven layers of the atmosphere before this was known. "Surah 2:29" lakini huu ni uongo ukweli ni kua Kuna layer saba za atmosphere

Scientific facts za kubumba
Mkuu tatizo liko wapi fafanua zaidi, Qur’an imekosea wapi? Mbona una haraka tulia ujibu vizuri.
 
Unanipinga au unachangia hoja?

Soma vizuri nilichoandika,Siungani nae napingana nae kuhusu hoja yake
 
Habari zenu za anga saba (mbingu saba ni porojo?
Disprove it with evidence au scientifically, ukipinga bila kuleta ushashahidi utaonekana kama mbishi asie elewa haraka.
 
Unanipinga au unachangia hoja?

Soma vizuri nilichoandika,Siungani nae napingana nae kuhusu hoja yake
Vyote viwili. Nakubaliana nawe kwa kukazia kuwa siyo lazima kila kitu tutegemee vitabu mwanangu.
 
Mkuu tatizo liko wapi fafanua zaidi, Qur’an imekosea wapi? Mbona una haraka tulia ujibu vizuri.How View attachment 3322941
How can we prove these stories if indeed that he that 'created' for me everything was not created by those who say he created everything? By the way, why did he create the most powerful force or shaitwan? Why did he allow ulabu in the janna but not on earth? Why did he illegitimize kitimoto and why he created it? Why did he lift up some of his assertion from the bible like the creation of Adam and Hawa among many fabrications?
 
We unajua sayansi ni kutengeneza bidhaa tu very parochial mind loh!!!! Hi nchi ina vilaza wengi kweli kweli.
Ni kweli kuna vilaza wengi mpaka wengine wanaamini uislamu ni sayansi.
Tangu lini imani (dini) ikawa sayansi? Sayansi yenyewe haikubali uwepo wa Allah (Allah hayupo) kama siyo ukilaza na ujinga ulikomaa huu
 
Ni kweli kuna vilaza wengi mpaka wengine wanaamini uislamu ni sayansi.
Tangu lini imani (dini) ikawa sayansi? Sayansi yenyewe haikubali uwepo wa Allah (Allah hayupo) kama siyo ukilaza na ujinga ulikomaa huu
I truly love this mwanangu. Bravo and congrats!
 
Jua kuzama matopeni ni sayansi gani??
Ushaambiwa ni zaidi ya Sayansi. Wewe unauliza tena ni Sayansi gani ? Si muwe mnatulia walau hata kidogo msome muelewe kisha mjenge hoja.
 
Ushaambiwa ni zaidi ya Sayansi. Wewe unauliza tena ni Sayansi gani ? Si muwe mnatulia walau hata kidogo msome muelewe kisha mjenge hoja.
Ulinganisho huu pekee hata bila ya kusoma unatosha kuonyesha upotoshaji na kutojua lolote kwa mleta uzi. Kesho utasikia kuwa samia ni zaidi ya profesa na watasema tawile.
 
Ni kweli. Jua huzama kwenye matope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…