Je wajua hili kuhusu uume wa nyau..?

Je wajua hili kuhusu uume wa nyau..?

JView attachment 3066338View attachment 3066338

Unajua kwanini (nyau) Paka wakijamiiana nyau wa kike hulalamika sana?

Sababu ni hii ...
Paka dume uume wake unakama miiba milaini ambayo mwanzo huukuna uke wa paka jike na kuleta raha sana , lakini kadiri anavyo endelea na akikaribia kufika mshindo huwa inaanza kutoka kwenye ulaini na kuwa aina fulani ya ugumu, hivo wakati tendo linaendelea katikati ya starehe yao miiba ile huanza kumuumiza.

Paka jike huanza kuhisi utamu uliochanganyika na maumivu makali ndani yake😕..je huu uume ungekuwa wa binadamu ingekuaje nasoma comment.

Follow @_amutiqun
👸😁👐.
Tungekuwa tunanyimwa kama paka,Huoni ngumu kuwaona paka wakii...mbana!
 
JView attachment 3066338View attachment 3066338

Unajua kwanini (nyau) Paka wakijamiiana nyau wa kike hulalamika sana?

Sababu ni hii ...
Paka dume uume wake unakama miiba milaini ambayo mwanzo huukuna uke wa paka jike na kuleta raha sana , lakini kadiri anavyo endelea na akikaribia kufika mshindo huwa inaanza kutoka kwenye ulaini na kuwa aina fulani ya ugumu, hivo wakati tendo linaendelea katikati ya starehe yao miiba ile huanza kumuumiza.

Paka jike huanza kuhisi utamu uliochanganyika na maumivu makali ndani yake😕..je huu uume ungekuwa wa binadamu ingekuaje nasoma comment.

Follow @_amutiqun
👸😁👐.
🤣😅🤣🤣🤣
 
Mungu aliwanyima nyoka chakula. Maana ingekuwa wa binadamu,nyumba za kupanga ingekuwa shida,kuna wengine wangekuwa wanaandamana.

Vichaka ndo vingewafaidi na kurahisishia nyoka kuwapa mambo.

Af inasemekana na Simba huwaga ndo kama hivo!
 
Back
Top Bottom