Je wajua hili kuhusu uume wa nyau..?

Je wajua hili kuhusu uume wa nyau..?

JView attachment 3066338View attachment 3066338

Unajua kwanini (nyau) Paka wakijamiiana nyau wa kike hulalamika sana?

Sababu ni hii ...
Paka dume uume wake unakama miiba milaini ambayo mwanzo huukuna uke wa paka jike na kuleta raha sana , lakini kadiri anavyo endelea na akikaribia kufika mshindo huwa inaanza kutoka kwenye ulaini na kuwa aina fulani ya ugumu, hivo wakati tendo linaendelea katikati ya starehe yao miiba ile huanza kumuumiza.

Paka jike huanza kuhisi utamu uliochanganyika na maumivu makali ndani yakeπŸ˜•..je huu uume ungekuwa wa binadamu ingekuaje nasoma comment.

Follow @_amutiqun
πŸ‘ΈπŸ˜πŸ‘.
Wewe mzee, hivi Demiss yupo wapi au anatumia ID gani hapa jukwaani ?
 
Back
Top Bottom