Mema Tanzania
Member
- Feb 23, 2020
- 66
- 65
Kwa hiyo una maanisha mke wako akikupikia chakula anatakiwa alipwe?Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual
View attachment 1375365
Sidhani kama asilimia 97 ya wanaume wa Afrika wanafahamu kwa nini wanaoa, endapo wanaume wanaoa wanawake kwa sababu ya kupika basi huo ni utumwa.Kwa hiyo una maanisha mke wako akikupikia chakula anatakiwa alipwe?
NB: naona hapo umeandika eachforequal, huko beijin patawamaliza nyie akina dada. Hatuwezi kuwa sawa, thats nature.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yataje majukumu ya mwanamke wa kiafrika aliyeolewa.Sidhani kama asilimia 97 ya wanaume wa Afrika wanafahamu kwa nini wanaoa, endapo wanaume wanaoa wanawake kwa sababu ya kupika basi huo ni utumwa.
#IshiKijanja #KaaKijanja
Kwa muktadha huo wa "Mwanamke wa kiafrika" tayari inaonesha tatizo lilipo kwa afrika.Yataje majukumu ya mwanamke wa kiafrika aliyeolewa.
Ni asilimia ngapi ya wanawake wanafahamu kwanini kwanini wanaolewa ?Sidhani kama asilimia 97 ya wanaume wa Afrika wanafahamu kwa nini wanaoa, endapo wanaume wanaoa wanawake kwa sababu ya kupika basi huo ni utumwa.
#IshiKijanja #KaaKijanja
Ni asilimia 13 tu kwa wanawake wa kitanzaniaNi asilimia ngapi ya wanawake wanafahamu kwanini kwanini wanaolewa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je unafahamu majukumu ya mwanamke kwenye ndoa yanatofautiana kutokana na utamaduni wa sehemu husika?Kwa muktadha huo wa "Mwanamke wa kiafrika" tayari inaonesha tatizo lilipo kwa afrika.
Huyu naona kafika 30 tayari anakuja kutusumbua vichwa tu hapaYataje majukumu ya mwanamke wa kiafrika aliyeolewa.
Anataka majukumu ya wanawake kwenye ndoa yawe sawa dunia nzima halafu hataki haya majukumu waliyonayo huku Afrika eti ni utumwa.
Hii yote sababu kutokuwepo kwa elimu! Leo hii Maria Sarungi na Asha wa buza hawawezi kuwa sawa - Tupo hapa kumfanya Asha wa buza aache kuweka miguu katika makochi akichunguza chungu jikoni.Je unafahamu majukumu ya mwanamke kwenye ndoa yanatofautiana kutokana na utamaduni wa sehemu husika?
Tuungane kutokomeza ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono. #IshiKijanjaWanawake kama nyie tunawapa mimba afu hatuwaoi tunawaacha single maza
Kama shida ni tamaduni! Fanya yafuatayo: 1. Anza kuabudu magome na mawe. 2. Vaa magome, majani na ngozi. 3. Choma vyeti vyako vyote na usisomeshe mtoto shule. 4. Rudi kijijini ukachunge ng'ombeJe unafahamu majukumu ya mwanamke kwenye ndoa yanatofautiana kutokana na utamaduni wa sehemu husika?
Ni zipi zinazofaa?