Je, wajua kazi zinazofanywa na wanawake zingetengeneza nusu ya ajira?

Wanawake mnataka nini? Hamuwezi kuwa wanaume, wanaume hawawezi kuwa wanawake, hakuna kitu kinaitwa haki sawa kwenye majukumu. Kuna majukumu ya mwanamke na mwanaume, usawa unaonekana pale kila mmoja anapofanya majukumu yake kwa usahihi.
Kwanza tambua Mema Tanzania sio mwanamke ni shirika lisilo la kiserikali na ni shirika la jamii. Pili wiki hii ni mahsusi kwa maadhimisho ya mwanamke duniani ndio maana tumejitoa kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayomhusu mwanamke, wajibu na haki zake. #EachforEqual
 
Kwanza tambua sijaongelea jinsia yako. Nimezungumzia wanawake baada ya coment yako ya malipo kwa majukumu yao wanayofanya. Soma kwa makini.
 
Kazi zetu wanawake zinafanywa na mahausigeli,labda upiganie maslahi mazuri kwa hao watu mkuu...mengine utatafuta kutukanwa na wanaume wa JF..lol
 
Rebecca 83 wanaoweza ku-afford wasaidizi wa kazi kwa Tanzania hii ni asilimia 7 tu! na kwa asilimia hizi pasipo kupepesa macho zipo mijini. Fika Rusahunga ndani uone mama mjazito anavyochota maji huku mume wake akicheza karata na kubeti.
 
Nimekuelewa mkuu, asante , mimi naona linahitaji different approach,liwe at national level,wanawake wote wanaokaa nyumbani walipwe posho kidogo kutoka kwa serikali, nchi nyingine..swala la kuraise familia ni la wote,ni makubaliano mume au mke aendelee na career mwingine analea watoto ila kuna support kutoka kwa serikali...ila kubadilisha attitudes za wanaume wa kitanzania itakua ngumu kidogo..lol..again nchi yetu uchumi wake ni mdogo hivi vitu au Tanzania unayo dream itachukua muda kuja, ila unaweza ukaanza labda wajukuu zetu watakula matunda ya unachopigania..lol
 
Kwanza tambua Mema Tanzania sio mwanamke ni shirika lisilo la kiserikali na ni shirika la jamii. Pili wiki hii ni mahsusi kwa maadhimisho ya mwanamke duniani ndio maana tumejitoa kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayomhusu mwanamke, wajibu na haki zake. #EachforEqual
Basi shirika hili sio la kuelimisha jamii ya Kiafrika bali ni shirika lenye vinasaba vya kuivuruga jamii.

Jamii ya Kiafrika imekuwepo kabla yenu na hatujawahi kuona jamii ya Kiafrika ikiwa na utaratibu wa kwamba swala la kupika ni la mume na mke.
Eti baba aingie jikoni apikie watoto wakati mama yupo! Huu sio ulimbukeni na kutaka kuharibu jamii yetu?

Haya ya kutaka haki sawa yatakuja kuwagarimu wanawake wenyewe!
Mimi ni baba kwa sasa na nina familia imara ila ikitokea mke wangu akataka jambo hili liwe kwenye utaratibu wa familia yetu, moja kwa moja huo ndio utakuwa mwisho wa hii familia.
Hata kwa babaangu mzazi mama akitaka jambo hili itakuwa ndio mwisho wa ndoa yao iliyodumu zaidi ya miaka 40.
Kadhalika hata mababu zangu wangekuwepo wangeona ni kichekesho

Nyinyi Mema Tanzania kama ni shirika basi hamna tofauti na virusi vya korona!
Tutawapiga vita kila kona maana hamustahili hata kuitwa shirika.

Na mshindwe kwa jina la Yesu kama wasemavyo wakristo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo hayo huoni kwamba unaleta udikteta dhidi ya wanawake?
#IshiKijanja #KaaKijanja
 
Haya kuwagarimu yenu ya kutaka haki sawa yatakuja kuwagarimu wanawake wenyewe!
Mimi ni baba kwa sasa na nina familia imara ila ikitokea mke wangu akataka jambo hili liwe kwenye utaratibu wa familia yetu, moja kwa moja huo ndio utakuwa mwisho wa hii familia.
Hata kwa babaangu mzazi mama akitaka jambo hili, itakuwa ndio mwisho wa ndoa yao iliyodumu zaidi ya miaka 40.
Kadhalika hata mababu zangu wangekuwepo wangeona ni kichekesho

Nyinyi Mema Tanzania kama ni shirika basi hamna tofauti na virusi vya korona!
Tutawapiga vita kila kona maana hamustahili hata kuitwa shirika.

Na mshindwe kwa jina la Yesu kama wasemavyo wakristo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnhh kwani cha ajabu nini baba kuingia jikoni…??

Watoto wanatakiwa wafundishwe skills kutoka kwa wote baba na mama...

Hizi zinaitwa survival skills pindi mtakapowaacha watoto wenu duniani...hujui watakumbana na mazingira yepi..

Mtoto wa kiume hatapata tabu kupika,siku circumstances zitakampomlazimu kufanya hivyo,mfano labda ameachwa huko porini na wanawake tupu je hataingia jikoni ( ni mfano tuu)...LOL

.
 
Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual

View attachment 1375365
Usije kuta hapo wewe ni 'singo maza' wa watoto watatu then unawajaza ujinga wenzio ili muwe wengi.
Mwanamke mwenye akili anajua nini maana ya mwanaume na ninu majukumu yake kwenye familia.
Ungekua karibu yangu ungekula makofi akili ikukae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo hayo huoni kwamba unaleta udikteta dhidi ya wanawake?
#IshiKijanja #KaaKijanja
Hiyo hashtag yenu tu imekaa kijanjajanja!! Nyie ni mashankupe mnaojaribu kuwaharibia wanawake wastaarabu maisha yao kiujanjaujanja,nimemuonyesha mke wangu hii post akakasirika ghafla!! Akaniambia achana na hao wadangaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnhh kwani cha ajabu nini baba kuingia jikoni…??

Watoto wanatakiwa wafundishwe skills kutoka kwa wote baba na mama...

Hizi zinaitwa survival skills pindi mtakapowaacha watoto wenu duniani...hujui watakumbana na mazingira yepi..

Mtoto wa kiume hatapata tabu kupika,siku circumstances zitakampomlazimu kufanya hivyo,mfano labda ameachwa huko porini na wanawake tupu je hataingia jikoni ( ni mfano tuu)...LOL

.
Kuna tofauti kati ya mume na watoto

Mtoto wa kiume anajua kupika kupitia kwa mama. Swala la kupika kila mtu mwenye akili anajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo hayo huoni kwamba unaleta udikteta dhidi ya wanawake?
#IshiKijanja #KaaKijanja
Kama mnataka kuwasaidia wanawake, basi angalieni watu wa kuwaajiri sio mnaokotaokota wapumbavu waliovunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe kisha mnawapa ajira.

Mnafeli mwanzoni namna hii hata hamushtuki? Jiongezeni bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnhh kwani cha ajabu nini baba kuingia jikoni…??

Watoto wanatakiwa wafundishwe skills kutoka kwa wote baba na mama...

Hizi zinaitwa survival skills pindi mtakapowaacha watoto wenu duniani...hujui watakumbana na mazingira yepi..

Mtoto wa kiume hatapata tabu kupika,siku circumstances zitakampomlazimu kufanya hivyo,mfano labda ameachwa huko porini na wanawake tupu je hataingia jikoni ( ni mfano tuu)...LOL

.
Porini kuna nn huko atoke huko. Aje town anatafuta nn.
Sehemu zote hajaona mpaka akapike porini, mwanaume mzima [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii yote sababu kutokuwepo kwa elimu! Leo hii Maria Sarungi na Asha wa buza hawawezi kuwa sawa - Tupo hapa kumfanya Asha wa buza aache kuweka miguu katika makochi akichunguza chungu jikoni.

#EachforEqual
Hakuna utofauti wa kimajukumu ya mwanamke kwenye ndoa kati ya Maria Sarungi na Asha wa buza. Tofauti yao ni level ya maisha tu lakini wote watahakikisha chakula kitapikwa iwe na mfanyakazi au yeye mwenyewe.
Maria Sarungi atahakikisha chakula kinapikwa na mfanyakazi kwa vile yeye atakuwa busy na kazi zingine ila Asha wa buza yeye atakaa jikoni mwenyewe kuandaa chakula kwa vile yupo nyumbani na siku akiwa busy kama Maria Sarungi naye atatafuta mfanyakazi.
 
Kama shida ni tamaduni! Fanya yafuatayo: 1. Anza kuabudu magome na mawe. 2. Vaa magome, majani na ngozi. 3. Choma vyeti vyako vyote na usisomeshe mtoto shule. 4. Rudi kijijini ukachunge ng'ombe

Hii ndio tamaduni, au unasemaje?
Wewe ndiye unaona utamaduni wa mwanamke wa kitanzania kupika una shida (utumwa). Nimekuambia hivi majukumu ya mwanamke kwenye ndoa yanatofautiana kutokana na utofauti wa kiutamaduni ila wewe unataka majukumu ya mwanamke kwenye ndoa yawe sawa dunia nzima wakati utamaduni unatofautiana.

Sasa tueleze unapendezwa na majukumu ya mwanamke kwenye ndoa kutoka utamaduni upi? Wa wazungu, Waarabu, Afrika, au kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom