Je, wajua kazi zinazofanywa na wanawake zingetengeneza nusu ya ajira?

Je, wajua kazi zinazofanywa na wanawake zingetengeneza nusu ya ajira?

Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual

View attachment 1375365
Those are their responsible. That's how God set it on them. You won't change the nature
 
Hiyo hashtag yenu tu imekaa kijanjajanja!! Nyie ni mashankupe mnaojaribu kuwaharibia wanawake wastaarabu maisha yao kiujanjaujanja,nimemuonyesha mke wangu hii post akakasirika ghafla!! Akaniambia achana na hao wadangaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Mwanamke mstaarabu ni yule mwenye kuwafahamu wajibu, haki na kuyaenenda majukumu kisawasawa pasipo kuyumbishwa na kuendeshwa." Antonio Gutierrez
 
Kuna tofauti kati ya mume na watoto

Mtoto wa kiume anajua kupika kupitia kwa mama. Swala la kupika kila mtu mwenye akili anajua


Sent using Jamii Forums mobile app

..watoto wanajifunza through modelling..kama mzazi mwanao wa kiume atajifunza akikuona wewe mzazi wake wa kiume unafanya..ukimuachia mama inamaanisha..ataendelea kuona hio kazi ni ya wanawake..attitude ambayo mnatakiwa mbadilike...
 
..watoto wanajifunza through modelling..kama mzazi mwanao wa kiume atajifunza akikuona wewe mzazi wake wa kiume unafanya..ukimuachia mama inamaanisha..ataendelea kuona hio kazi ni ya wanawake..attitude ambayo mnatakiwa mbadilike...
Na hapa ndio tumeshindwa kuelewana na wachangiaji
 
..watoto wanajifunza through modelling..kama mzazi mwanao wa kiume atajifunza akikuona wewe mzazi wake wa kiume unafanya..ukimuachia mama inamaanisha..ataendelea kuona hio kazi ni ya wanawake..attitude ambayo mnatakiwa mbadilike...
mtoto wa kiume atafundishwa majukumu ya kiume, huko kukaa jikon na kina mama mwisho wa siku toto linakua shoga

atakapofuzu majukumu ya kiume hawez kosa chakula eti kwasababu hakijapikwa,ataenda nunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wazungumzia wanawake waishio mjini au wakijijini? napata utata na hii hoja yako.
 
sidhani wote wanalipwa malipo stahiki..wengine wananyanyaswa..kingono na mafaza hausi
Kuna deski la malalamiko polisi. Huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Kuna watu wanaibiwa, kuna watu wanatapeliwa, wanabakwa n. K. Hakuna uspecial wowote kwa uhalifu huo wa wafanyakazi wa ndani.
 
Kama shida ni tamaduni! Fanya yafuatayo: 1. Anza kuabudu magome na mawe. 2. Vaa magome, majani na ngozi. 3. Choma vyeti vyako vyote na usisomeshe mtoto shule. 4. Rudi kijijini ukachunge ng'ombe

Hii ndio tamaduni, au unasemaje?
Hiyo sio tamaduni ni maisha ya nyuma, sasa hivi jamii imekuwa advanced lakini still kuna tamaduni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samcezar,
Tatizo ni uelewa uliopo katika jamii! Nawasilisha elimu ifahamike ya kuwa sio mwanamke pekee mwenye jukumu la kufanya shughuli za kifamilia hata wewe ni jukumu lako.
Hivi nikuulize swali, unahisi mwanaume anapokwenda kutafuta huko nje anakwenda mtafutia nani?!

Na mwanamke anapofanya shughuli za ndani anakuwa anafanya kwaajiri ya nani?!

Nadhani unatakiwa kujifunza maarifa ya jamii badala ya kuja na hoja mufilisi na dhaifu kama hizi.

Narejea maneno ya mwalimu JK nyerere, aliposema, mtu asiyekuwa na sera, aliyefilisika sera, ataongea chochote ili mradi apate uhalali katika jamii anayoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tambua Mema Tanzania sio mwanamke ni shirika lisilo la kiserikali na ni shirika la jamii. Pili wiki hii ni mahsusi kwa maadhimisho ya mwanamke duniani ndio maana tumejitoa kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayomhusu mwanamke, wajibu na haki zake. #EachforEqual
Basi mnafeli, maana mnaonekana mbali na kutofahamu haki za mwanamke ni zipi still mnafeli kutabaisha majukumu yake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rebecca 83 wanaoweza ku-afford wasaidizi wa kazi kwa Tanzania hii ni asilimia 7 tu! na kwa asilimia hizi pasipo kupepesa macho zipo mijini. Fika Rusahunga ndani uone mama mjazito anavyochota maji huku mume wake akicheza karata na kubeti.
Sasa huko ndipo mkapeleke hizi harakati zenu za kutetea mwanamke sio huku mjini mnatusumbua vichwa tu na kelele zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom