fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 13,008
- 24,820
Bora wewe uliyeona hilo.Some things are inevitable
Bora wewe uliyeona hilo.Some things are inevitable
Those are their responsible. That's how God set it on them. You won't change the natureWanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual
View attachment 1375365
"Mwanamke mstaarabu ni yule mwenye kuwafahamu wajibu, haki na kuyaenenda majukumu kisawasawa pasipo kuyumbishwa na kuendeshwa." Antonio GutierrezHiyo hashtag yenu tu imekaa kijanjajanja!! Nyie ni mashankupe mnaojaribu kuwaharibia wanawake wastaarabu maisha yao kiujanjaujanja,nimemuonyesha mke wangu hii post akakasirika ghafla!! Akaniambia achana na hao wadangaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi shutuma unaweza kuzithibitisha?Kama mnataka kuwasaidia wanawake, basi angalieni watu wa kuwaajiri sio mnaokotaokota wapumbavu waliovunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe kisha mnawapa ajira.
Mnafeli mwanzoni namna hii hata hamushtuki? Jiongezeni bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya mume na watoto
Mtoto wa kiume anajua kupika kupitia kwa mama. Swala la kupika kila mtu mwenye akili anajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa ndio tumeshindwa kuelewana na wachangiaji..watoto wanajifunza through modelling..kama mzazi mwanao wa kiume atajifunza akikuona wewe mzazi wake wa kiume unafanya..ukimuachia mama inamaanisha..ataendelea kuona hio kazi ni ya wanawake..attitude ambayo mnatakiwa mbadilike...
sasa kama ni hivi Kuna sababu gani ya mwanaume kuoa ??Tatizo ni uelewa uliopo katika jamii! Nawasilisha elimu ifahamike ya kuwa sio mwanamke pekee mwenye jukumu la kufanya shughuli za kifamilia hata wewe ni jukumu lako.
mtoto wa kiume atafundishwa majukumu ya kiume, huko kukaa jikon na kina mama mwisho wa siku toto linakua shoga..watoto wanajifunza through modelling..kama mzazi mwanao wa kiume atajifunza akikuona wewe mzazi wake wa kiume unafanya..ukimuachia mama inamaanisha..ataendelea kuona hio kazi ni ya wanawake..attitude ambayo mnatakiwa mbadilike...
mtoto wa kiume atafundishwa majukumu ya kiume, huko kukaa jikon na kina mama mwisho wa siku toto linakua shoga
atakapofuzu majukumu ya kiume hawez kosa chakula eti kwasababu hakijapikwa,ataenda nunua
Sent using Jamii Forums mobile app
nimesoma yote, hiyo nimejibu mahususi kwakoMnhhh nakushauri usome thread yote
We remember your point .Kazi zetu wanawake zinafanywa na mahausigeli,labda upiganie maslahi mazuri kwa hao watu mkuu...mengine utatafuta kutukanwa na wanaume wa JF..lol
Kuna deski la malalamiko polisi. Huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Kuna watu wanaibiwa, kuna watu wanatapeliwa, wanabakwa n. K. Hakuna uspecial wowote kwa uhalifu huo wa wafanyakazi wa ndani.sidhani wote wanalipwa malipo stahiki..wengine wananyanyaswa..kingono na mafaza hausi
Kwahiyo akili yako inakwambia wanadamu tupo sawa?!Hii yote sababu kutokuwepo kwa elimu! Leo hii Maria Sarungi na Asha wa buza hawawezi kuwa sawa - Tupo hapa kumfanya Asha wa buza aache kuweka miguu katika makochi akichunguza chungu jikoni.
#EachforEqual
Hiyo sio tamaduni ni maisha ya nyuma, sasa hivi jamii imekuwa advanced lakini still kuna tamaduniKama shida ni tamaduni! Fanya yafuatayo: 1. Anza kuabudu magome na mawe. 2. Vaa magome, majani na ngozi. 3. Choma vyeti vyako vyote na usisomeshe mtoto shule. 4. Rudi kijijini ukachunge ng'ombe
Hii ndio tamaduni, au unasemaje?
Hivi nikuulize swali, unahisi mwanaume anapokwenda kutafuta huko nje anakwenda mtafutia nani?!Samcezar,
Tatizo ni uelewa uliopo katika jamii! Nawasilisha elimu ifahamike ya kuwa sio mwanamke pekee mwenye jukumu la kufanya shughuli za kifamilia hata wewe ni jukumu lako.
Basi mnafeli, maana mnaonekana mbali na kutofahamu haki za mwanamke ni zipi still mnafeli kutabaisha majukumu yake....Kwanza tambua Mema Tanzania sio mwanamke ni shirika lisilo la kiserikali na ni shirika la jamii. Pili wiki hii ni mahsusi kwa maadhimisho ya mwanamke duniani ndio maana tumejitoa kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayomhusu mwanamke, wajibu na haki zake. #EachforEqual
Sasa huko ndipo mkapeleke hizi harakati zenu za kutetea mwanamke sio huku mjini mnatusumbua vichwa tu na kelele zenuRebecca 83 wanaoweza ku-afford wasaidizi wa kazi kwa Tanzania hii ni asilimia 7 tu! na kwa asilimia hizi pasipo kupepesa macho zipo mijini. Fika Rusahunga ndani uone mama mjazito anavyochota maji huku mume wake akicheza karata na kubeti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usije kuta hapo wewe ni 'singo maza' wa watoto watatu then unawajaza ujinga wenzio ili muwe wengi.
Mwanamke mwenye akili anajua nini maana ya mwanaume na ninu majukumu yake kwenye familia.
Ungekua karibu yangu ungekula makofi akili ikukae
Sent using Jamii Forums mobile app