Mema Tanzania
Member
- Feb 23, 2020
- 66
- 65
- Thread starter
-
- #21
Kwanza tambua Mema Tanzania sio mwanamke ni shirika lisilo la kiserikali na ni shirika la jamii. Pili wiki hii ni mahsusi kwa maadhimisho ya mwanamke duniani ndio maana tumejitoa kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayomhusu mwanamke, wajibu na haki zake. #EachforEqualWanawake mnataka nini? Hamuwezi kuwa wanaume, wanaume hawawezi kuwa wanawake, hakuna kitu kinaitwa haki sawa kwenye majukumu. Kuna majukumu ya mwanamke na mwanaume, usawa unaonekana pale kila mmoja anapofanya majukumu yake kwa usahihi.
Tatizo ni uelewa uliopo katika jamii! Nawasilisha elimu ifahamike ya kuwa sio mwanamke pekee mwenye jukumu la kufanya shughuli za kifamilia hata wewe ni jukumu lako.
Kwanza tambua sijaongelea jinsia yako. Nimezungumzia wanawake baada ya coment yako ya malipo kwa majukumu yao wanayofanya. Soma kwa makini.Kwanza tambua Mema Tanzania sio mwanamke ni shirika lisilo la kiserikali na ni shirika la jamii. Pili wiki hii ni mahsusi kwa maadhimisho ya mwanamke duniani ndio maana tumejitoa kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayomhusu mwanamke, wajibu na haki zake. #EachforEqual
Na mahose G wanalipwa.Kazi zetu wanawake zinafanywa na mahausigeli,labda upiganie maslahi mazuri kwa hao watu mkuu...mengine utatafuta kutukanwa na wanaume wa JF..lol
Na mahose G wanalipwa.
Rebecca 83 wanaoweza ku-afford wasaidizi wa kazi kwa Tanzania hii ni asilimia 7 tu! na kwa asilimia hizi pasipo kupepesa macho zipo mijini. Fika Rusahunga ndani uone mama mjazito anavyochota maji huku mume wake akicheza karata na kubeti.Kazi zetu wanawake zinafanywa na mahausigeli,labda upiganie maslahi mazuri kwa hao watu mkuu...mengine utatafuta kutukanwa na wanaume wa JF..lol
Ndio maana Mema Tanzania tunasema #ExperienceTheChange tupo hapa kuwapa elimu upande Ke na Me kuhakisha usawa, majukumu na haki vinazingatiwa.
Rebecca 83 wanaoweza ku-afford wasaidizi wa kazi kwa Tanzania hii ni asilimia 7 tu! na kwa asilimia hizi pasipo kupepesa macho zipo mijini. Fika Rusahunga ndani uone mama mjazito anavyochota maji huku mume wake akicheza karata na kubeti.
Basi shirika hili sio la kuelimisha jamii ya Kiafrika bali ni shirika lenye vinasaba vya kuivuruga jamii.Kwanza tambua Mema Tanzania sio mwanamke ni shirika lisilo la kiserikali na ni shirika la jamii. Pili wiki hii ni mahsusi kwa maadhimisho ya mwanamke duniani ndio maana tumejitoa kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayomhusu mwanamke, wajibu na haki zake. #EachforEqual
Kwa maelezo hayo huoni kwamba unaleta udikteta dhidi ya wanawake?Basi shirika hili sio la kuelimisha jamii ya Kiafrika bali ni shirika lenye vinasaba vya kuivuruga jamii.
Jamii ya Kiafrika imekuwepo kabla yenu na hatujawahi kuona jamii ya Kiafrika ikiwa na utaratibu wa kwamba swala la kupika ni la mume na mke.
Eti baba aingie jikoni apikie watoto wakati mama yupo! Huu sio ulimbukeni na kutaka kuharibu jamii yetu?
Haya ya kutaka haki sawa yatakuja kuwagarimu wanawake wenyewe!
Mimi ni baba kwa sasa na nina familia imara ila ikitokea mke wangu akataka jambo hili liwe kwenye utaratibu wa familia yetu, moja kwa moja huo ndio utakuwa mwisho wa hii familia.
Hata kwa babaangu mzazi mama akitaka jambo hili itakuwa ndio mwisho wa ndoa yao iliyodumu zaidi ya miaka 40.
Kadhalika hata mababu zangu wangekuwepo wangeona ni kichekesho
Nyinyi Mema Tanzania kama ni shirika basi hamna tofauti na virusi vya korona!
Tutawapiga vita kila kona maana hamustahili hata kuitwa shirika.
Na mshindwe kwa jina la Yesu kama wasemavyo wakristo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi shirika hili sio la kuelimisha jamii ya Kiafrika bali ni shirika lenye vinasaba vya kuivuruga jamii.
Jamii ya Kiafrika imekuwepo kabla yenu na hatujawahi kuona jamii ya Kiafrika ikiwa na utaratibu wa kwamba swala la kupika ni la mume na mke.
Eti baba aingie jikoni apikie watoto wakati mama yupo! Huu sio ulimbukeni na kutaka kuharibu jamii yetu?
Haya kuwagarimu yenu ya kutaka haki sawa yatakuja kuwagarimu wanawake wenyewe!
Mimi ni baba kwa sasa na nina familia imara ila ikitokea mke wangu akataka jambo hili liwe kwenye utaratibu wa familia yetu, moja kwa moja huo ndio utakuwa mwisho wa hii familia.
Hata kwa babaangu mzazi mama akitaka jambo hili, itakuwa ndio mwisho wa ndoa yao iliyodumu zaidi ya miaka 40.
Kadhalika hata mababu zangu wangekuwepo wangeona ni kichekesho
Nyinyi Mema Tanzania kama ni shirika basi hamna tofauti na virusi vya korona!
Tutawapiga vita kila kona maana hamustahili hata kuitwa shirika.
Na mshindwe kwa jina la Yesu kama wasemavyo wakristo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije kuta hapo wewe ni 'singo maza' wa watoto watatu then unawajaza ujinga wenzio ili muwe wengi.Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual
View attachment 1375365
Hiyo hashtag yenu tu imekaa kijanjajanja!! Nyie ni mashankupe mnaojaribu kuwaharibia wanawake wastaarabu maisha yao kiujanjaujanja,nimemuonyesha mke wangu hii post akakasirika ghafla!! Akaniambia achana na hao wadangaji.Kwa maelezo hayo huoni kwamba unaleta udikteta dhidi ya wanawake?
#IshiKijanja #KaaKijanja
Hiyo hashtag yenu tu imekaa kijanjajanja!! Nyie ni mashankupe mnaojaribu kuwaharibia wanawake wastaarabu maisha yao kiujanjaujanja,nimemuonyesha mke wangu hii post akakasirika ghafla!! Akaniambia achana na hao wadangaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya mume na watotoMnhh kwani cha ajabu nini baba kuingia jikoni…??
Watoto wanatakiwa wafundishwe skills kutoka kwa wote baba na mama...
Hizi zinaitwa survival skills pindi mtakapowaacha watoto wenu duniani...hujui watakumbana na mazingira yepi..
Mtoto wa kiume hatapata tabu kupika,siku circumstances zitakampomlazimu kufanya hivyo,mfano labda ameachwa huko porini na wanawake tupu je hataingia jikoni ( ni mfano tuu)...LOL
.
Kama mnataka kuwasaidia wanawake, basi angalieni watu wa kuwaajiri sio mnaokotaokota wapumbavu waliovunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe kisha mnawapa ajira.Kwa maelezo hayo huoni kwamba unaleta udikteta dhidi ya wanawake?
#IshiKijanja #KaaKijanja
Porini kuna nn huko atoke huko. Aje town anatafuta nn.Mnhh kwani cha ajabu nini baba kuingia jikoni…??
Watoto wanatakiwa wafundishwe skills kutoka kwa wote baba na mama...
Hizi zinaitwa survival skills pindi mtakapowaacha watoto wenu duniani...hujui watakumbana na mazingira yepi..
Mtoto wa kiume hatapata tabu kupika,siku circumstances zitakampomlazimu kufanya hivyo,mfano labda ameachwa huko porini na wanawake tupu je hataingia jikoni ( ni mfano tuu)...LOL
.
Hakuna utofauti wa kimajukumu ya mwanamke kwenye ndoa kati ya Maria Sarungi na Asha wa buza. Tofauti yao ni level ya maisha tu lakini wote watahakikisha chakula kitapikwa iwe na mfanyakazi au yeye mwenyewe.Hii yote sababu kutokuwepo kwa elimu! Leo hii Maria Sarungi na Asha wa buza hawawezi kuwa sawa - Tupo hapa kumfanya Asha wa buza aache kuweka miguu katika makochi akichunguza chungu jikoni.
#EachforEqual
Wewe ndiye unaona utamaduni wa mwanamke wa kitanzania kupika una shida (utumwa). Nimekuambia hivi majukumu ya mwanamke kwenye ndoa yanatofautiana kutokana na utofauti wa kiutamaduni ila wewe unataka majukumu ya mwanamke kwenye ndoa yawe sawa dunia nzima wakati utamaduni unatofautiana.Kama shida ni tamaduni! Fanya yafuatayo: 1. Anza kuabudu magome na mawe. 2. Vaa magome, majani na ngozi. 3. Choma vyeti vyako vyote na usisomeshe mtoto shule. 4. Rudi kijijini ukachunge ng'ombe
Hii ndio tamaduni, au unasemaje?