Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Kwanza wewe ni Muongo, Ujerumani sio Nchi mbili, Ujerumani ni Nchi 17 na kila Nchi ina Raisi wake, na wanatumia hio Dhana ya Majimbo ingawa wote wanazungumza kijerumani. Siri kuba ya mafanikio yao ni huo mgawano wa Majimbo, kua Kodi zinakuswanya kuanzia chini, kilichobaki ndio kinaenda serikali kuu.

Baadae Serikali kuu inaangalia jimbo lopi ni Tajiri Zaidi na lipi ni Maskini inachangia kuweka usawa baina ya Majimbo. Hata Baada ya Ujerumani ya mashariki na Magharibi , Magharibi walikuwa Matajiri ukilinganisha na Mashariki, kwa hiyo Wafanyakazi wa Magharibi walikuwa wanalipia kodi iliyokuwa ikiitwa Solidarity Tax (Kuonesha umoja) mpaka mwaka huu ndio kodi hio iimeondolewa
Ninaomba kura yako iende kwa Magufuli na wagombea wa CCM
 
AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA
on April 20, 2015

[emoji117]Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha kwa majadala mawili, AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

[emoji117]Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

[emoji117]Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini hapa katikati ya wiki iliyopita, Peace alidai Askofu Bagonza ni mzazi mwenzake kwa kuzaa naye watoto wawili, Piana Bagonza (6) na Bariki Bagonza (3) lakini akadai amemtelekeza hivyo kuwa na maisha magumu katika kuwalea watoto hao.

[emoji117]AANIKA HISTORIA NDEFU
Peace alisema alianza kufahamiana na askofu huyo mwaka 2006 mjini Karagwe, Kagera akiwa ni muumini wa kanisa hilo akimtumikia Mungu kwa kuimba kwaya ya kanisa.
Alisema katika kuonana mara kwa mara na askofu huyo ndipo uhusiano ukaanza lakini kwa makubaliano ya kutunza siri.

[emoji117]“Askofu aliniambia ana mke lakini ananipenda na anataka kuwa na uhusiano na mimi. Aliniahidi kunisaidia masuala mbalimbali iwapo nitamkubalia.“Baada ya muda niliamua kumkubalia, tukawa na uhusiano na tulikuwa tunakutana mara kwa mara. Ilipofika mwaka 2008 nikapata ujauzito wa mtoto wa kwanza,” alisema Peace.

[emoji117]AHAMIA ILEMELA, MWANZA
Mwanamke huyo aliendelea kudai kuwa, baada ya kupata ujauzito, askofu huyo aliamua kumhamishia Ilemela mkoani Mwanza na kumpangishia chumba ambapo mwaka 2009 alijifungua mtoto wa kike, Piana.

[emoji117]AHAMIA ARUSHA
Peace aliendelea kudai: “Mtoto wangu alipofikisha umri wa miaka miwili, yaani mwaka 2010, askofu alinihamishia hapa Arusha na kunipangia chumba eneo la Kijenge Juu na kunitafutia kazi kwenye Hoteli ya Safari (New Safari Hotel). Hii hoteli inamilikiwa na KKKT.” Alisema: “Askofu alikuwa akija hapa Kijenge kumsalimia mtoto na kumwachia matumizi mbalimbali huku akisisitiza kutunza siri zaidi.”

[emoji117]Peace anayedai kutelekezwa pamoja na watoto na Askofu Benson Bagonza.

[emoji117]ANASA MIMBA YA PILI
“Ilipofika mwaka 2011 nilipata ujauzito mwingine wa askofu ila cha kushangaza nilipomfahamisha aliniambia hataki kusikia taarifa hizo.“Niliweka msimamo wa kutotoa ujauzito na yeye akasitisha huduma mbalimbali ikiwemo fedha za malipo ya chumba alichonipangia.

[emoji117]“Alianza kunipigia simu na kunitisha kuniachisha kazi aliyonitafutia hotelini bila kupewa malipo yoyote. Alikuwa akinitumia watu mbalimbali kunitishia maisha. “Kutoka na hali hiyo nililazimika kumtafuta kiongozi mmoja wa ngazi ya juu kanisani na kumwambia jinsi askofu alivyonitelekeza kwa zaidi ya miaka minne bila kunihudumia nikiwa na watoto wake wawili.

[emoji117]“Hata hivyo, kiongozi huyo aliniambia atalishughulikia suala langu, lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea na nikimkumbusha amekuwa akinijibu kwa ukali na kunikatia simu.”

[emoji117]WATOTO HAWAENDI SHULE
Peace alisema: “Kwa sasa naishi kwa shida na watoto. Hawaendi shule baada ya kukosa ada.”

[emoji117]Watoto anayedai kutelekezwa nao.

[emoji117]ASKOFU NA IJUMAA WIKIENDA
Akizungumza kwa simu na gazeti hili huku akihifadhiwa sauti, Askofu Bagonza alikiri kumtambua Peace kama mzazi mwenzake ila alisema si kweli kama hamtumii matumizi.“Mbona fedha huwa namtumia labda ameamua kunichafua tu. Hata juzi nimemtumia shilingi 250,000 iweje asema simhudumii?” alisema askofu huyo na kukata simu.

[emoji117]Kwa upande wake, Peace alipoulizwa kuhusu kutumiwa kiasi hicho cha fedha, alisema: “Fedha hizo nilizipokea kutoka kwa wakala wa M-Pesa baada ya jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya dola (polisi).”Taarifa zilizolifikia gazeti hili wakati linakwenda mitamboni zilieleza kuwa mwanamke huyo ameitwa Karagwe kwenda kuongelea suala hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Askofu ni mzinifu,mchafuzi,mtumzima anawazalisha mabinti wa watu kisha anawatelekeza.
anajidai kupigania haki wakati kawaacha watoto wake wa nje ya ndoa wanateseka wakiwa na maisha magumu.

keshamzalisha Peace watoto wawili kamuacha kisha kadandia kabinti kingine anafanya nacho zinaa.
Hivi "Yesu" yupo kweli,na anaona hawa warithiwake wanachofanya?
 
Umoja wa kitaifa unapotezwaje kwa kuwa na majimbo?

Hivi sasa hatuna majimbo lakini sehemu zenye wagombea toka upinzani zinapigwa mkwara kuwa zisipochagua mtu toka CCM hazita pata maendeleo.

Je, hatua hiyo siyo kudhoofisha umoja wa kitaifa?

Hofu iko wapi? Kwamba Rais atakosa utii wa majimbo? Bila shaka majimbo hayathibiti vyombo vya usalama kwa namna yoyote.
 
Waungwana,

Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha.

Marekani walikuwa mataifa huru 50. Kuwaunganisha ni lazima uwaachie baadhi ya madaraka yao, hivyo mfumo wa Serikali ya Majimbo ni sahihi kwao.

Canada wanashida ya lugha. Kuna majimbo hawajui au hawaongei kabisa kiingereza, wenyewe wanaongea kifaransa. Hawa ni muhimu kuwa na majimbo ili wawe huru kutumia lugha waipendayo.

Ujerumani walitawanyika na kuwa nchi mbili tofauti na ukuta ukajengwa Kati ya Ujerumani ya Mashariki na ile ya magharibi. Hawa ili kuwaunganisha mfumo wa Serikali ya Majimbo ulikuwa lazima ila maeneo hayo yabaki na sehemu ya utawala wake wa awali.

Nigeria imepitia mengi sana sana Kati ya waislamu wa kaskazini na wakristo wa kusini. Waafrika kusini vilevile wamepitia mengi Kuhusu ukoloni na ukaburu. Wazungu wengi walibaki Afrika Kusini baada ya Uhuru kamili mwaka 1994. Kwa misingi hiyo, unaweza kabisa kuona Nigeria na Afrika kusini walihitaji utawala wa majimbo.

Sisi Tanzania tunahitaji utawala wa majimbo ili iweje? Je, changamoto za kiuchumi, utamaduni na kisiasa zinatokana na mazingira hayo niliyoyataja hapo juu?

Wazungu hawana makabila na karibu wote wana dini au imani sawa. Kuwawekea utawala wa majimbo sio mbaya. Hapa kwetu tunajadili sio to dini Bali hata dhehebu. Kuna baadhi ya watu walisema katika uchaguzi wa 2015, Sasa ni zamu ya M-KKKT kuwa wa -RC wametawala Sana. Sasa kwenye nchi Kama hii uanze umajimbo, tunategemea nini kitokee?

Majimbo yatatutenga zaidi badala ya kutuleta pamoja. Mfumo wa Serikali za mitaa kwa Tanzania ni mzuri na toshelevu. Kama Kuna changamoto basi ni Kuboresha tuu.

Ninawashangaa Sana wapinzani, sijui wamekunywa wanzuki ya wapi. Tasilimali za kila eneo husaidia eneo hilo na maeneo mengine. Hii ni kwasababu watu wanaingiliana na wanaweza kuishi popote. Mtoto wa Kagera anapangiwa kazi Tanga na maisha yanaenda. Mtu wa Mtwara anahamia Mbeya anakuwa mnyaki maisha yanaenda.

Watanzania tuukumbatie umoja, amani na mshikamano wetu kwa kuchagua mafiga matatu hapo 28 Oktoba, 2020. Tuwaadhibu wapinzani wanaotaka kutugawa kwa kuwanyima kura.

Amani Msumari

Tanga (kwasasa Kigamboni kumtafutia Rais Magufuli kura za bonus).

Mimi sio mpiga kura, na ningelikuwa mpiga kura nisingelimpa Magufuli. Kwa lipi kujenga Barabara ba kununua ndege kwa kodi zetu?
Basi utapiga 2025 panapo majaliwa na kumchagua kiongozi ambaye hatumii Kodi zetu kutuleta maendeleo
 
Acha uwongo . Marekani kuna udini ? Marekani kuna ukabila ? Mfumo wa majimbo ni sahihi kwa kusukuma maendeleo kwa kasi zaidi. Kajifunze India uone majimbo yao ya Gujarat, Uttar Pradesh na mengineyo. Kuna ukabIla India ? Shenzi wewe
Acha kuifananisha marekani na kanchi kako ka tanzania.

Marekani,uhuru tu pekeake ina miaka kalibu 300.
Itaifananishaje na tz.
 
Waungwana,

Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha.

Marekani walikuwa mataifa huru 50. Kuwaunganisha ni lazima uwaachie baadhi ya madaraka yao, hivyo mfumo wa Serikali ya Majimbo ni sahihi kwao.

Canada wanashida ya lugha. Kuna majimbo hawajui au hawaongei kabisa kiingereza, wenyewe wanaongea kifaransa. Hawa ni muhimu kuwa na majimbo ili wawe huru kutumia lugha waipendayo.

Ujerumani walitawanyika na kuwa nchi mbili tofauti na ukuta ukajengwa Kati ya Ujerumani ya Mashariki na ile ya magharibi. Hawa ili kuwaunganisha mfumo wa Serikali ya Majimbo ulikuwa lazima ila maeneo hayo yabaki na sehemu ya utawala wake wa awali.

Nigeria imepitia mengi sana sana Kati ya waislamu wa kaskazini na wakristo wa kusini. Waafrika kusini vilevile wamepitia mengi Kuhusu ukoloni na ukaburu. Wazungu wengi walibaki Afrika Kusini baada ya Uhuru kamili mwaka 1994. Kwa misingi hiyo, unaweza kabisa kuona Nigeria na Afrika kusini walihitaji utawala wa majimbo.

Sisi Tanzania tunahitaji utawala wa majimbo ili iweje? Je, changamoto za kiuchumi, utamaduni na kisiasa zinatokana na mazingira hayo niliyoyataja hapo juu?

Wazungu hawana makabila na karibu wote wana dini au imani sawa. Kuwawekea utawala wa majimbo sio mbaya. Hapa kwetu tunajadili sio to dini Bali hata dhehebu. Kuna baadhi ya watu walisema katika uchaguzi wa 2015, Sasa ni zamu ya M-KKKT kuwa wa -RC wametawala Sana. Sasa kwenye nchi Kama hii uanze umajimbo, tunategemea nini kitokee?

Majimbo yatatutenga zaidi badala ya kutuleta pamoja. Mfumo wa Serikali za mitaa kwa Tanzania ni mzuri na toshelevu. Kama Kuna changamoto basi ni Kuboresha tuu.

Ninawashangaa Sana wapinzani, sijui wamekunywa wanzuki ya wapi. Tasilimali za kila eneo husaidia eneo hilo na maeneo mengine. Hii ni kwasababu watu wanaingiliana na wanaweza kuishi popote. Mtoto wa Kagera anapangiwa kazi Tanga na maisha yanaenda. Mtu wa Mtwara anahamia Mbeya anakuwa mnyaki maisha yanaenda.

Watanzania tuukumbatie umoja, amani na mshikamano wetu kwa kuchagua mafiga matatu hapo 28 Oktoba, 2020. Tuwaadhibu wapinzani wanaotaka kutugawa kwa kuwanyima kura.

Amani Msumari

Tanga (kwasasa Kigamboni kumtafutia Rais Magufuli kura za bonus).
Najua unatumika ktk nchi zenye Demokrasia, where no political leader comes into office without VOTES of the people. Mfumo wetu ni wa kikoloni ambapo viongozi mnaletewa na Malkia au Mfalme, bila kumchagua ktk uchaguzi wowote, mnamtaka au hamumtaki ndiyo kiongozi wenu (Dcs, RCs) tunadanganywa eti wabunge ndiyo viongozi wkt hawana mamlaka yeyote hata ya kuamuru choo cha tundu moja kijengwe, zaidi ya kwenda kumbembeleza waziri na rais walete maendeleo na wasipoleta mbunge hana cha kuwafanya. Serikali ya Majimbo ndiyo uhuru na demokrasia ya ukweli
 
Basi utapiga 2025 panapo majaliwa na kumchagua kiongozi ambaye hatumii Kodi zetu kutuleta maendeleo
Nafikiri wananchi tunazo periority zetu, uhuru wetu wa kujieleza , uhuru wetu wa kuchagua na tatu kuhakikisha maisha yetu na vizazi vyetu si maisha ya dhiki. Ndege inagusa vipi maisha ya mtu wakijijini ambaye hana maji na hatimizi mlo mmoja kwa siku?
 
Waungwana,

Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha.

Marekani walikuwa mataifa huru 50. Kuwaunganisha ni lazima uwaachie baadhi ya madaraka yao, hivyo mfumo wa Serikali ya Majimbo ni sahihi kwao.

Canada wanashida ya lugha. Kuna majimbo hawajui au hawaongei kabisa kiingereza, wenyewe wanaongea kifaransa. Hawa ni muhimu kuwa na majimbo ili wawe huru kutumia lugha waipendayo.

Ujerumani walitawanyika na kuwa nchi mbili tofauti na ukuta ukajengwa Kati ya Ujerumani ya Mashariki na ile ya magharibi. Hawa ili kuwaunganisha mfumo wa Serikali ya Majimbo ulikuwa lazima ila maeneo hayo yabaki na sehemu ya utawala wake wa awali.

Nigeria imepitia mengi sana sana Kati ya waislamu wa kaskazini na wakristo wa kusini. Waafrika kusini vilevile wamepitia mengi Kuhusu ukoloni na ukaburu. Wazungu wengi walibaki Afrika Kusini baada ya Uhuru kamili mwaka 1994. Kwa misingi hiyo, unaweza kabisa kuona Nigeria na Afrika kusini walihitaji utawala wa majimbo.

Sisi Tanzania tunahitaji utawala wa majimbo ili iweje? Je, changamoto za kiuchumi, utamaduni na kisiasa zinatokana na mazingira hayo niliyoyataja hapo juu?

Wazungu hawana makabila na karibu wote wana dini au imani sawa. Kuwawekea utawala wa majimbo sio mbaya. Hapa kwetu tunajadili sio to dini Bali hata dhehebu. Kuna baadhi ya watu walisema katika uchaguzi wa 2015, Sasa ni zamu ya M-KKKT kuwa wa -RC wametawala Sana. Sasa kwenye nchi Kama hii uanze umajimbo, tunategemea nini kitokee?

Majimbo yatatutenga zaidi badala ya kutuleta pamoja. Mfumo wa Serikali za mitaa kwa Tanzania ni mzuri na toshelevu. Kama Kuna changamoto basi ni Kuboresha tuu.

Ninawashangaa Sana wapinzani, sijui wamekunywa wanzuki ya wapi. Tasilimali za kila eneo husaidia eneo hilo na maeneo mengine. Hii ni kwasababu watu wanaingiliana na wanaweza kuishi popote. Mtoto wa Kagera anapangiwa kazi Tanga na maisha yanaenda. Mtu wa Mtwara anahamia Mbeya anakuwa mnyaki maisha yanaenda.

Watanzania tuukumbatie umoja, amani na mshikamano wetu kwa kuchagua mafiga matatu hapo 28 Oktoba, 2020. Tuwaadhibu wapinzani wanaotaka kutugawa kwa kuwanyima kura.

Amani Msumari

Tanga (kwasasa Kigamboni kumtafutia Rais Magufuli kura za bonus).
Na China?
 
Unafananisha nini kasema wazungu hawana makabila? Kwa Taarifa yako makabila yapo na yanathaminiwa kweli kweli. (Kama Hamna makabila maneno kama tribe, tribalism, ethic, ethinism etc) uunadhani ni kindengereko?
 
Acha kupotosha ukweli kwa kutoa mifano michache isiyo na uhusiano na mfumo wa kuendesha nchi. Katika mifano yako umeiingiza na Ujerumani kwamba kuna majimbo baada ya kuungana na Ujerumani mashariki. Ukweli ni kwamba iliyokuwa Ujerumani ya magharibi ilikuwa na mfumo wa majimbo wakati wote na Ujerumani mashariki ilipounganishwa nao wakaingia kwenye mfumo. Lakini pia umeacha nchi kama uingereza, India Mexico na nyingine nyingi ambazo zinatumia mfumo huu. Ukweli ni kwamba mfumo wa kiutawala tunaotumia sasa hivi hauna tofauti na aliokuwa anatumia mkoloni kwani mfumo huu unaweka mamlaja yote ya nchi pamoja na rasilimali zake mkononi mwa mtu mmoja anitwa Rais akichukuwa nafasi iliyokuwa inakaliwa na gavana. Mfumo huu unamfanya mtu mmoja awe kama mfalme. Ndiyo maana tunapata lugha ya mh. ya kwamba atapeleka maendeleo sehemu zile zinamwunga mkono na kuwanyima kiasi cha kuwasimanga wale wasiomwunga mkono. Watanzania tumegeuzwa ombaomba nchini kwetu. Vipaumbele vya maendeleo yetu vinaamuliwa na mtu mmoja akitumia bunge lisilo na meno.
Pia neno majimbo lisiwe ndo sababu ya kuukataa mfumo. Tukitaka hata majina yanaweza kuwa mikoa. Wakati wa mkoloni aliyaita province ambayo yalikuwa 9. Nyerere akatafsiri na kuyaita mikoa lakini utendaji ukabaki vilevile.
Kwenye madhehebu ya dini ya kikristu wanatumia majimbo yanayoongozwa na askofu. Sijasikia kama wakanisa yamekuwa vipandevipande badala yamesaidia kuwapa waumini madaraka ya kuamua baadhi ya mambo badala ya kila kitu kuamuliwa na papa ama askofu mkuu.
Nimalizie kwa kusema uhuru wa kweli ni ule unaokupa uwezo wa kuendesha mambo yako na kuwa na viongozi wa ngazi zote waliowekwa kwa ridhaa ya wananchi. Na hili linawezekana tukiwa na mfumo unaowezesha hilo bila tuauitaje majimbo ama mikoa
 
Acha kuifananisha marekani na kanchi kako ka tanzania.

Marekani,uhuru tu pekeake ina miaka kalibu 300.
Itaifananishaje na tz.
Kuna mambo yanaweza kufanyika hata kama nchi ina miaka 10 tangu ianze kujitawala. Ukiielewa sera ya majimbo utaamini ninachokuambia. Na kitu kikubwa zaidi hapa ni kwamba, mimi ninachokizungumzia hapa ni kurudisha madaraka kwa wananchi. Si lazima wananchi wa Kagera wachaguliwe mkuu wa mkoa na rais anayekaa Dodoma.

Lakini pia mtu huyu kama atachaguliwa na wananchi ataweza kuwajibika kwao moja kwa moja na si kuwa kichwa ngumu akitumia nguvu ya uteuzi ya rais
 
Kasome vizuri hiyo mifumo,
Halafu vutapicha hali ya nchi yako ilivyo .
Usifuate maneno ya vijiweni.

Mimi naamin watanzania bado hawana elimu ya mifumo ya serkali yao inavyoongozwa.

Leo hata nikikwambia uchore kaomchoro serkali kuu usikute hujui.

Hivyo kunaumuhimu wa elimu kwanza.

Ila kwa mimi nasemahivi!!
Mifumo hii kwa tanzania bado sana.
 
Back
Top Bottom