Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kutujuza yesu alisoma shule gani?Mtume hakusoma sasa hiyo Koran aliandikaje kama sio waarabu wenye wivu wakatunga Uongo wao
Kwa hiyo Samson alikuwa anatembea .kwa mguu kutoka Israeli kwenda Ulaya kupigana na Wafilisti?Wapalestina sio Wafilisti huu uongo ushakua disproven lot of times sijui kwanini watu wanaendelea kuueneza, Wafilisti ni watu toka Ulaya na hata Test za Dna zinaprove hili. Walipigwa na Assyrian na kutolewa hilo eneo.
Muulize mkuu hajui Gaza imetajwa kwa bible?Kwa hiyo Samson alikuwa anatembea .kwa mguu kutoka Israeli kwenda Ulaya kupigana na Wafilisti?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
IsmailWayahudi wameanza kabla ya Ukristo, ulioanza miaka 2000 tu iliyopita!
Aliyetaka kuchinjwa ni Isaka according to Jews
yaan wapalestina wa leo sio wapalestina halisiI stand to be corrected!Unamaanisha philistines Siyo Palestinian? Majina na ukanda yanafanana!!
Hahaha huyo yeye anataka historia ya Mungu ianzie wakati wa ukristo! Mbona husemi vita ya Daudi Goliathi mfilist, Mungu ana muendelezo wa historia katika vizazi hadi vizazi.Mtume hakusoma sasa hiyo Koran aliandikaje kama sio waarabu wenye wivu wakatunga Uongo wao
Mwarabu halisi ni m yemen kama ulikua hujuiKwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!
ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu! Mzee huyu ndiye chimbuko la imani hizi, na ndiyo kitu wanachokubaliana wote.
IKO HIVI Mzee Abrahamu alichelewa Sana kupata mtoto! Mtoto wake wa kwanza alizaliwa kwa kijakazi (House girl) akaitwa ISHMAEL (ISMAIL) baba wa waarabu halisi. Mtoto wa pili (wa kwanza na pekee kwa mama yake) aliitwa ISAKA (isaac) chimbuko la wayahudi wa kweli unataka kujua wakristo walitokeaje? Endelea 😀
KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!
SASA PALESTINE NI NANI KAMA SIYO MWARABU? Kwenye Bible wana wa Israeli walivyofika nchi ya ahadi walipewa eneo la kutawala, na walizungukwa na mataifa mbalimbali wakiwemo WAFILISTI (philistines au PALESTINIAN) 😀Kuna wakati kwenye biblia historia inaonyesha Israel akipewa kichapo cha mbwa koko na wafilisti, Ushasikia habari za Daudi na Goliathi? Huyu mwamba (Goliath) alikuwa jemedari wa jeshi la Wafilisti 😀😀Ukijaribu kuwasuluhisha unaingilia ugomvi usioujua!
VITA YAO haijaanza Leo! Naam vita ya Palestine na Israel imekuwa ni ya muda mrefu Sana! Kwenye biblia miaka zaidi ya 2000 kabla ya Yesu vita hii ilikuwepo!
Kuna clip mzee wa upako Anthony Lusekelo kalieleza suala hilo kwa upana
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!

Yes, ni vita ya kumiliki haijawahi pata mshindi moja kwa moja kila maeneo yana watu wakeKama ni hivyo bado Wafilisiti kiasili hiyo ardhi ni mali yao kwa maana hata Wayahudi wa kipindi cha musa waliwakuta hao Wafilisiti hilo eneo. Hasa Hapo Gaza
Saudi Arabia ni ndugu wa Damu wa wayahudi ni mtu na kaka yakeKwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!
ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu! Mzee huyu ndiye chimbuko la imani hizi, na ndiyo kitu wanachokubaliana wote.
IKO HIVI Mzee Abrahamu alichelewa Sana kupata mtoto! Mtoto wake wa kwanza alizaliwa kwa kijakazi (House girl) akaitwa ISHMAEL (ISMAIL) baba wa waarabu halisi. Mtoto wa pili (wa kwanza na pekee kwa mama yake) aliitwa ISAKA (isaac) chimbuko la wayahudi wa kweli unataka kujua wakristo walitokeaje? Endelea 😀
KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!
SASA PALESTINE NI NANI KAMA SIYO MWARABU? Kwenye Bible wana wa Israeli walivyofika nchi ya ahadi walipewa eneo la kutawala, na walizungukwa na mataifa mbalimbali wakiwemo WAFILISTI (philistines au PALESTINIAN) 😀Kuna wakati kwenye biblia historia inaonyesha Israel akipewa kichapo cha mbwa koko na wafilisti, Ushasikia habari za Daudi na Goliathi? Huyu mwamba (Goliath) alikuwa jemedari wa jeshi la Wafilisti 😀😀Ukijaribu kuwasuluhisha unaingilia ugomvi usioujua!
VITA YAO haijaanza Leo! Naam vita ya Palestine na Israel imekuwa ni ya muda mrefu Sana! Kwenye biblia miaka zaidi ya 2000 kabla ya Yesu vita hii ilikuwepo!
Kuna clip mzee wa upako Anthony Lusekelo kalieleza suala hilo kwa upana
Huwa wanajiuliza kwanini Saudi Arabia hawasapoti waarabu wenzake? Iran na nduguzeSaudi Arabia ni ndugu wa Damu wa wayahudi ni mtu na kaka yake
Wote baba Yao mmoja Ibrahim ila mama tofauti
Saudi Arabia mecca ndiko huamini baba Yao Ibrahim na Ishmael ndio walijenga sehemu ya kuabudia Mecca pale lilipo jiwe Kaaba
Israel wao watoto wa mke mkubwa .Wao kwao Israeli.Israel huheshimu Saudi Arabia kama ndugu zao wa tumbo moja Kwa baba na Saudi Arabia huheshimu pia Israel wapalestina na Irani na nchi zingine za kiarabu zinajiita za kiislamu ndio wenye shida lakini Saudi Arabia na Israel Wala hawana shida wanapendana na kuelewana vizuri tu pamoja na tofauti zao za kiimani hawana shida
Sahihi kabisa Damu nzito kuliko majiHuwa wanajiuliza kwanini Saudi Arabia hawasapoti waarabu wenzake? Iran na nduguze
Kumbe damu nzito kuliko maji
Umeambiwa Wafilisti wametoka Ulaya, na sio wayahudi walienda ulaya mbona mambo madogo tu mnashindwa kucomprehend?Kwa hiyo Samson alikuwa anatembea .kwa mguu kutoka Israeli kwenda Ulaya kupigana na Wafilisti?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Yoshua 9Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!
ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu! Mzee huyu ndiye chimbuko la imani hizi, na ndiyo kitu wanachokubaliana wote.
IKO HIVI Mzee Abrahamu alichelewa Sana kupata mtoto! Mtoto wake wa kwanza alizaliwa kwa kijakazi (House girl) akaitwa ISHMAEL (ISMAIL) baba wa waarabu halisi. Mtoto wa pili (wa kwanza na pekee kwa mama yake) aliitwa ISAKA (isaac) chimbuko la wayahudi wa kweli unataka kujua wakristo walitokeaje? Endelea [emoji3]
KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!
SASA PALESTINE NI NANI KAMA SIYO MWARABU? Kwenye Bible wana wa Israeli walivyofika nchi ya ahadi walipewa eneo la kutawala, na walizungukwa na mataifa mbalimbali wakiwemo WAFILISTI (philistines au PALESTINIAN) [emoji3]Kuna wakati kwenye biblia historia inaonyesha Israel akipewa kichapo cha mbwa koko na wafilisti, Ushasikia habari za Daudi na Goliathi? Huyu mwamba (Goliath) alikuwa jemedari wa jeshi la Wafilisti [emoji3][emoji3]Ukijaribu kuwasuluhisha unaingilia ugomvi usioujua!