Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

Wapalestina sio Wafilisti huu uongo ushakua disproven lot of times sijui kwanini watu wanaendelea kuueneza, Wafilisti ni watu toka Ulaya na hata Test za Dna zinaprove hili. Walipigwa na Assyrian na kutolewa hilo eneo.
Kwa hiyo Samson alikuwa anatembea .kwa mguu kutoka Israeli kwenda Ulaya kupigana na Wafilisti?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Jews should not be in Gaza
Unawezaje kuwaondoa? Kama uzi unavyoeleza Israel na Saudi Arabia ni mkubwa na mdogo ukimpinga Israel utaenda kuhiji wapi 😀😀
 
Mtume hakusoma sasa hiyo Koran aliandikaje kama sio waarabu wenye wivu wakatunga Uongo wao
Hahaha huyo yeye anataka historia ya Mungu ianzie wakati wa ukristo! Mbona husemi vita ya Daudi Goliathi mfilist, Mungu ana muendelezo wa historia katika vizazi hadi vizazi.
Ukitaka ,kwa mfano ianzie tu pale Mohamad alipopata utume inakisiwa sana.
Samsoni.hakuwa mkristo,lakini alikuwa mnadhiri wa Mungu, alikosea alipotoa siri ya nguvu zake.
Kama huko hamna kisa chake ,huku tunacho na tunakisoma.
Pengine ndiyo maana mkaelekezwa kama yapo msiyoyajua kwa usahihi ulizeni kwa walisoma vitabu kabla yenu. Maana yake Mungu hakuanzia pale ulipoanza uislam.
 
Umefeli pakubwa sana, wapestina sio wafilist,
 
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!

ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu! Mzee huyu ndiye chimbuko la imani hizi, na ndiyo kitu wanachokubaliana wote.

IKO HIVI Mzee Abrahamu alichelewa Sana kupata mtoto! Mtoto wake wa kwanza alizaliwa kwa kijakazi (House girl) akaitwa ISHMAEL (ISMAIL) baba wa waarabu halisi. Mtoto wa pili (wa kwanza na pekee kwa mama yake) aliitwa ISAKA (isaac) chimbuko la wayahudi wa kweli unataka kujua wakristo walitokeaje? Endelea 😀

KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!

SASA PALESTINE NI NANI KAMA SIYO MWARABU? Kwenye Bible wana wa Israeli walivyofika nchi ya ahadi walipewa eneo la kutawala, na walizungukwa na mataifa mbalimbali wakiwemo WAFILISTI (philistines au PALESTINIAN) 😀Kuna wakati kwenye biblia historia inaonyesha Israel akipewa kichapo cha mbwa koko na wafilisti, Ushasikia habari za Daudi na Goliathi? Huyu mwamba (Goliath) alikuwa jemedari wa jeshi la Wafilisti 😀😀Ukijaribu kuwasuluhisha unaingilia ugomvi usioujua!

VITA YAO haijaanza Leo! Naam vita ya Palestine na Israel imekuwa ni ya muda mrefu Sana! Kwenye biblia miaka zaidi ya 2000 kabla ya Yesu vita hii ilikuwepo!

Kuna clip mzee wa upako Anthony Lusekelo kalieleza suala hilo kwa upana
Mwarabu halisi ni m yemen kama ulikua hujui
 
Kama ni hivyo bado Wafilisiti kiasili hiyo ardhi ni mali yao kwa maana hata Wayahudi wa kipindi cha musa waliwakuta hao Wafilisiti hilo eneo. Hasa Hapo Gaza
 
Yes, ni vita ya kumiliki haijawahi pata mshindi moja kwa moja kila maeneo yana watu wake
 
Umedadavua vizuri sana Leo nilikuwa naangalia YouTube Siri ya lili jengo la Kaaba pale waislamu huenda kusali

Liko Meeca Saudi Arabia lilijengwa na Ibrahim na mwanawe Ishmael kama sehemu Yao ya kuabudu

Nakubali uchambuzi wako Saudi Arabia ndio ndugu halisi wa wayahudi baba Yao Ibrahim ila mama tofauti sio wapalestina Wayahudi ni watoto wa mke wa Kwanza wa Ibraihimu yaani Sara aliyezaa Isaka na Saudi Arabia ni watoto wa Mke wa pili Hajiri aliyemzaa Ishmael

Saudi Arabia wako sahihi kuunga mkono na kumtetea ndugu Yao baba mmoja akishambuliwa na wapalestina

Saudi Arabia Yuko sahihi
 
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!

ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu! Mzee huyu ndiye chimbuko la imani hizi, na ndiyo kitu wanachokubaliana wote.

IKO HIVI Mzee Abrahamu alichelewa Sana kupata mtoto! Mtoto wake wa kwanza alizaliwa kwa kijakazi (House girl) akaitwa ISHMAEL (ISMAIL) baba wa waarabu halisi. Mtoto wa pili (wa kwanza na pekee kwa mama yake) aliitwa ISAKA (isaac) chimbuko la wayahudi wa kweli unataka kujua wakristo walitokeaje? Endelea 😀

KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!

SASA PALESTINE NI NANI KAMA SIYO MWARABU? Kwenye Bible wana wa Israeli walivyofika nchi ya ahadi walipewa eneo la kutawala, na walizungukwa na mataifa mbalimbali wakiwemo WAFILISTI (philistines au PALESTINIAN) 😀Kuna wakati kwenye biblia historia inaonyesha Israel akipewa kichapo cha mbwa koko na wafilisti, Ushasikia habari za Daudi na Goliathi? Huyu mwamba (Goliath) alikuwa jemedari wa jeshi la Wafilisti 😀😀Ukijaribu kuwasuluhisha unaingilia ugomvi usioujua!

VITA YAO haijaanza Leo! Naam vita ya Palestine na Israel imekuwa ni ya muda mrefu Sana! Kwenye biblia miaka zaidi ya 2000 kabla ya Yesu vita hii ilikuwepo!

Kuna clip mzee wa upako Anthony Lusekelo kalieleza suala hilo kwa upana
Saudi Arabia ni ndugu wa Damu wa wayahudi ni mtu na kaka yake

Wote baba Yao mmoja Ibrahim ila mama tofauti

Saudi Arabia mecca ndiko huamini baba Yao Ibrahim na Ishmael ndio walijenga sehemu ya kuabudia Mecca pale lilipo jiwe Kaaba

Israel wao watoto wa mke mkubwa .Wao kwao Israeli.Israel huheshimu Saudi Arabia kama ndugu zao wa tumbo moja Kwa baba na Saudi Arabia huheshimu pia Israel wapalestina na Irani na nchi zingine za kiarabu zinajiita za kiislamu ndio wenye shida lakini Saudi Arabia na Israel Wala hawana shida wanapendana na kuelewana vizuri tu pamoja na tofauti zao za kiimani hawana shida
 
Huwa wanajiuliza kwanini Saudi Arabia hawasapoti waarabu wenzake? Iran na nduguze

Kumbe damu nzito kuliko maji
 
Sahihi kabisa Damu nzito kuliko maji

Undugu wa Israel na Saudi Arabia hakuna awezaye kuuvunja mfano Saudi Arabia hata ishambuliwe kesho na Irani au nchi za siasa Kali jeshi la Israel la IDF litawashukia kama mwewe hao wavamia Saudi Arabia ndugu zao wa Damu baba mmoja mama tofauti hawatakubali wayahudi hata mara moja pamoja na tofauti zao za kidini
 
Kwa hiyo Samson alikuwa anatembea .kwa mguu kutoka Israeli kwenda Ulaya kupigana na Wafilisti?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Umeambiwa Wafilisti wametoka Ulaya, na sio wayahudi walienda ulaya mbona mambo madogo tu mnashindwa kucomprehend?

I'na maana mtu akisema kinjikitile kapigana na wajerumani ina maana vita vya majimaji vilipiganwa Ujerumani?
 
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!

ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu! Mzee huyu ndiye chimbuko la imani hizi, na ndiyo kitu wanachokubaliana wote.

IKO HIVI Mzee Abrahamu alichelewa Sana kupata mtoto! Mtoto wake wa kwanza alizaliwa kwa kijakazi (House girl) akaitwa ISHMAEL (ISMAIL) baba wa waarabu halisi. Mtoto wa pili (wa kwanza na pekee kwa mama yake) aliitwa ISAKA (isaac) chimbuko la wayahudi wa kweli unataka kujua wakristo walitokeaje? Endelea [emoji3]

KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!

SASA PALESTINE NI NANI KAMA SIYO MWARABU? Kwenye Bible wana wa Israeli walivyofika nchi ya ahadi walipewa eneo la kutawala, na walizungukwa na mataifa mbalimbali wakiwemo WAFILISTI (philistines au PALESTINIAN) [emoji3]Kuna wakati kwenye biblia historia inaonyesha Israel akipewa kichapo cha mbwa koko na wafilisti, Ushasikia habari za Daudi na Goliathi? Huyu mwamba (Goliath) alikuwa jemedari wa jeshi la Wafilisti [emoji3][emoji3]Ukijaribu kuwasuluhisha unaingilia ugomvi usioujua!

VITA YAO haijaanza Leo! Naam vita ya Palestine na Israel imekuwa ni ya muda mrefu Sana! Kwenye biblia miaka zaidi ya 2000 kabla ya Yesu vita hii ilikuwepo!

Kuna clip mzee wa upako Anthony Lusekelo kalieleza suala hilo kwa upana
Yoshua 9

YOSHUA 9

Udanganyifu Wa Wagibeoni (wapalestina)

1 Basi ikawa wafalme wote waliokuwa magharibi mwa Yordani waliposikia juu ya haya yote, wale waliokuwa katika nchi ya vilima, upande wa magharibi mwa vilima na katika pwani yote ya hiyo Bahari Kuu, hadi kufikia Lebanoni (wafalme wa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi), 2 wakajiunga pamoja ili kupigana vita dhidi ya Yoshua na Israeli.

3 Hata hivyo, watu wa Gibeoni waliposikia juu ya hayo yote Yoshua aliyowatendea watu wa Yeriko na Ai, 4nao wakaamua kufanya hila: Wakajifanya kama wajumbe wakiwa na punda waliobebeshwa mizigo wakiwa na magunia yaliyochakaa na viriba vya mvinyo vikuukuu vyenye nyufa zilizozibwa. 5Walivaa miguuni mwao viatu vilivyoraruka na kushonwa kisha wakavaa nguo kuukuu. Chakula chao kilikuwa mkate uliokauka na kuingia koga. 6 Ndipo wakamwendea Yoshua kambini huko Gilgali wakamwambia yeye pamoja na watu wa Israeli, “Tumetoka katika nchi ya mbali, fanyeni mkataba nasi.”

7 Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahivi, “Lakini huenda mnakaa karibu nasi, twawezaje basi kufanya mapatano nanyi?”

8 Wakamwambia Yoshua, “Sisi ni watumishi wako.”

Yoshua akawauliza, “Ninyi ni nani, nanyi mnatoka wapi?”

9 Nao wakamjibu: “Watumishi wako wametoka nchi ya mbali sana kwa ajili ya umaarufu wa Bwana Mungu wenu. Kwa kuwa tumesikia taarifa zake: hayo yote aliyofanya huko Misri, 10 pia yale yote aliyowatendea wafalme wawili wa Waamori mashariki ya Yordani; huyo Sihoni mfalme wa Heshboni na Ogu mfalme wa Bashani, aliyetawala huko Ashtarothi. 11Basi wazee wetu na wale wote wanaoishi katika nchi yetu walituambia, ‘Chukueni chakula cha safari; nendeni mkakutane na watu hao na kuwaambia, “Sisi tu watumishi wenu, fanyeni mapatano nasi.” ’ 12Mkate huu wetu ulikuwa wa moto tulipoufunga siku tulipoanza safari kuja kwenu, lakini sasa angalia jinsi ulivyokauka na kuota ukungu. 13Viriba hivi vya mvinyo vilikuwa vipya tulipovijaza, lakini ona jinsi vilivyo na nyufa. Nguo zetu na viatu vimechakaa kwa ajili ya safari ndefu.”

14 Basi watu wa Israeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa Bwana. 15 Ndipo Yoshua akafanya mapatano ya amani pamoja nao kuwaacha waishi, nao viongozi wa kusanyiko wakathibitisha kwa kiapo.

16Siku ya tatu baada ya hao kufanya mapatano na Wagibeoni, Waisraeli wakapata habari kuwa hao watu ni jirani zao waliokuwa wanaishi karibu nao. 17 Ndipo wana wa Israeli wakasafiri na siku ya tatu wakafika kwenye miji yao ya Gibeoni, Kefira, Beerothi na Kiriath-Yearimu. 18 Lakini Waisraeli hawakuwashambulia kwa kuwa viongozi wa kusanyiko walikuwa wamewaapia kwa Bwana, Mungu wa Israeli.

Kusanyiko lote likanungʼunika dhidi ya hao viongozi, 19lakini viongozi wote wakawajibu, “Tumeshawaapia kwa Bwana, Mungu wa Israeli, kwa hiyo hatuwezi kuwagusa sasa. 20 Hivi ndivyo tutakavyowafanyia: Tutawaacha waishi, ili ghadhabu isije juu yetu kwa kuvunja kiapo tulichowaapia.” 21 Wakaendelea kusema, “Waacheni waishi, lakini wawe wapasua kuni na wachota maji kwa ajili ya jamii yote.” Hivyo ahadi waliyoweka viongozi kwao ikawa hivyo.

22Kisha Yoshua akawaita Wagibeoni na kuwaambia, “Kwa nini mmetudanganya kwa kutuambia, ‘Tunaishi mbali nanyi,’ wakati ambapo ninyi mnaishi karibu nasi? 23 Sasa mko chini ya laana: Daima mtakuwa wapasua kuni na wachota maji kwa ajili ya nyumba ya Mungu wangu.”

24Wakamjibu Yoshua, “Watumwa wako waliambiwa waziwazi jinsi Bwana Mungu wenu alivyomwamuru mtumishi wake Mose kuwapa ninyi nchi hii yote na kuwaangamiza wakazi wake wote toka mbele zenu. Kwa hiyo tuliogopa mno kwa ajili ya uhai wetu kwa sababu yenu, ndiyo maana tukafanya neno hili. 25 Sasa tupo mikononi mwako. Tufanyieni lolote mnaloona kuwa jema na haki kwako.”

26Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuuawa. 27 Siku hiyo Yoshua akawafanya Wagibeoni wapasua kuni na wachota maji kwa ajili ya jamii na kwa ajili ya madhabahu ya Bwana mahali pale ambapo Bwana angepachagua. Hivyo ndivyo walivyo hadi hivi leo.
 
Back
Top Bottom