Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

11.ukikutana na wachawi sehemu yeyote yenye upenyo....piga maombi ya nguvu.....ili wakuache ....wakizingua VUTA BOB MARLEY
 
Shetani ndo muuaji mkubwa wa watoto! See my point, Kazi ya shetani ni kuua, kuchinja na kuharibu!

nitafutie sehemu inayosema shetani kaua, mi nakutafutia sehemu inayosema mungu ameua na kuangamiza vizazi(watoto vilema vipofu nk)
 
Mungu alijua kua shetani ataasi au hataasi!?. tuanzie hapa.
 
mimi nikikuua hapa itakua ni idhinisho la kimungu!? au bomu la Nagasaki na hiroshima liliidhinishwa na mungu!? as far as i can tell ni mwanadamu!

sasa kama mimi mwanadamu naweza kuua, je shetan anashindwaje!?.
 
Unaweza ukauwa ikafanikiwa lakini kufanikiwa kwako kumeenda sawa na takwa la kimungu, hivyo hivyo na kwa huyo shetani.

Kama ilivyo kwa uhai, hakuna anaeweza kutoa uhai kadhalika na kuutwaa hakuna awezae isipokua kwa Mungu aliye juu ya yote na juu ya vyote na juu ya wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu alijua kua shetani ataasi au hataasi!?. tuanzie hapa.
Hilo siwezi kuelezea kwa sababu kama alijua hilo lilikua ndani ya fikra zake, kama vile mimi siwezi kujua unacho waza, au baada ya kuona au kufahamu kitu fulani ndani ya fikra zako kuna mtazamo gani ndivyo nasi hatuwezi kufahamu fikra za Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia amri ni mbili .
10 za Mungu au 11 za shetani unachagua upande ukufaao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…