majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,762
- 5,363
nadharia tu hizo ..
Hiyo ni Elmu Ahela .... hata chuo hujahudhuria huwezi elewa
nadharia tu hizo ..
Ni kweli hata kwenye Biblia imo kuna siku nabii alipanda punda kumbe mbele kuna malaika haonekani ana upanga akataka kuua yule nabii panda Akagoma kwenda Mbele pamoja na viboko alivyopigwaMimi najua mnyama farasi,kama unakompeleka kuna kimeo,ananyanyua miguu ya mbele na kuwika ukimlazimisha sana anakupiga chini[emoji1][emoji1].
Mimi sijawahi ona njiwa kwenye paa la baa au kilabu ya pombe akitua Juu yake atatua mapaa yote ila sio paa LA baa au club Ya pombe Za kienyeji au kutua juu ya kichwa cha mleviUnajua kama njiwa ndio mfugo ambao hautaki kufugwa na mlevi, au watu wanaogombana sana mke na mume fuatilia kuhusu njiwa utayajua usiyoyajua
Mimi sijawahi ona njiwa kwenye paa la baa au kilabu ya pombe akitua Juu yake atatua mapaa yote ila sio paa LA baa au club Ya pombe Za kienyeji au kutua juu ya kichwa cha mlevi
Njiwa anastoria kubwa sana, unajua kwanini kunguru ni muoga wa binadamu?Mimi sijawahi ona njiwa kwenye paa la baa au kilabu ya pombe akitua Juu yake atatua mapaa yote ila sio paa LA baa au club Ya pombe Za kienyeji au kutua juu ya kichwa cha mlevi
Njiwa ndio ndege unaeza kumtuma apeleke ujumbe kwa mtu ata kama nje ya mji.😛😛😛😛😄😄😄😄Kwakweli hata kwangu sijawahi ona njiwa!..hahhahaa...
Ni kwanini mkuu?Njiwa anastoria kubwa sana, unajua kwanini kunguru ni muoga wa binadamu?
Sio Mimi....!Acha pombe kwanza atakuja
Lol it's hard to mind ur own business.Tafuta hela mkuu utoke uswahilini hapo hawatoi taarifa hao paka bali kejeli..😂
Mtu ambae ameshakufa hajiui chochote kinachoendelea duniani. ule ni mwili tu huzikwa roho haipo kwenye mwili.Kuku wanaoishi karibu na makaburi husikia sauti ya marehemu akiwaita wakati mnaondoka baada ya kumzika. Inasemekana yale maji ya kibirika yakifika kwenye sikio la marehemu, marehemu huzinduka na kuanza kupokea adhabu za kaburi. Ukiwaangalia kuku wakati huo utaona wameinua shingo zao wanasikiliza
Utajiri unakujieni nyie mnaokaa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Nyuma ya nyumbani kwetu kuna dimbwi halikaukagi kila siku usuku ni mwwndo wa vyura kelele hadi kuna kucha je?hii ni ishara gani
wape notice wanywa pombe kwenye hiyo nyumba hata kama una ukaribu nao kuwa unataka njiwa watue pale waondoke wapishe njiwaSio Mimi....!