Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Njiwa ndio ndege unaeza kumtuma apeleke ujumbe kwa mtu ata kama nje ya mji.
Heeee....kwahyo naweza tuma njiwa kufikisha ujumbe??
Njiwa ndio ndege unaeza kumtuma apeleke ujumbe kwa mtu ata kama nje ya mji.
Nabii Nuhu alipotaka kuahuka kwenye Safina alianza kumtuma Kunguru nje akaangalie mazingira kama ni salama kushuka akakuta mzoga alianza kula na kusahau kama ametumwa Nabii Nuhu alimlaani Kunguru kwa kusema ndio utakuwa mfimo wake wa maisha kula mizoga na mpaka ni muoga sana kwa binadamu.sijui Tueleze
Hahahhhaa....sehemu nayoishi Mimi ni walevi hatari ..!sio majirani Wala nn..dah...kukosa baraka hukuwape notice wanywa pombe kwenye hiyo nyumba hata kama una ukaribu nao kuwa unataka njiwa watue pale waondoke wapishe njiwa
nyumba nyingi zenye walevi kunguru Wale weusi ndio hupenda kuzunguka hayo maeneo na kutua juu ya paa
Ukitaka kujua nyumba mlevi angalia kunguru Weusi wanapopenda kujinafasi
Hata kama hunywa kwa kificho kunguru lazima waiumbue hiyo nyumba hata kama no msikiti au kanisa wakiwepo chapombe kunguru weusi lazima wafanye utalii hilo eneo yaweza kuwa kanisani au msikitini au nyumbani hamna mlevi lakini mnayepakana naye lazima awepo chapombe, muuza pombe fanya utafiti hili uhakiki mwenyewe
Nabii Nuhu alipotaka kushuka kwenye Safina alianza kumtuma Kunguru nje akaangalie mazingira kama ni salama kushuka akakuta mzoga alianza kula na kusahau kama ametumwa Nabii Nuhu alimlaani Kunguru kwa kusema ndio utakuwa mfumo wake wa maisha kula mizoga na mpaka ni muoga sana kwa binadamu.Ni kwanini mkuu?
ndio mkuu kama kuna pisi unaipenda alafu hapokei simu we mtume njiwa na mfungie barua kwenye mguu itamfikiaHeeee....kwahyo naweza tuma njiwa kufikisha ujumbe??
Wanatafutaga nn nyumbani kwangu? Au nifanye nn ili niwakomeshe wasizoelee kwangu
Aisee .yes kuna pisi naielewa kinyamandio mkuu kama kuna pisi unaipenda alafu hapokei simu we mtume njiwa na mfungie barua kwenye mguu itamfikia
Kuku wanaoishi karibu na makaburi husikia sauti ya marehemu akiwaita wakati mnaondoka baada ya kumzika. Inasemekana yale maji ya kibirika yakifika kwenye sikio la marehemu, marehemu huzinduka na kuanza kupokea adhabu za kaburi. Ukiwaangalia kuku wakati huo utaona wameinua shingo zao wanasikiliza
Hiyo ni Elmu Ahela .... hata chuo hujahudhuria huwezi elewa
Kila la kheri uhame kambi ya fisi mkuu 😂🤣Aaaaah acha nihame tu 😀😂
Badili jina kwanza mkuu hapo hutawaona[emoji16][emoji16]
Mkuu ya kweli haya?NJIWA
Unajua kama njiwa ndio mfugo ambao hautaki kufugwa na mlevi, au watu wanaogombana sana mke na mume fuatilia kuhusu njiwa utayajua usiyoyajua.
msiba unakaribia nyumbani njiwa hawatoki kutwa mzima wanaweka kimya ata kelele hawatoi iyo siku na vikundi kwa uzuni hata kula yao haiyeleweki na mtu akishafariki tayari wakaja watu wengii nyumbani wakaleta fujo na kelele wanaeza kuhama wote na wasirudi tena kuepusha kuhama inataikiwa uwaambie kuwa leo kuna wageni wanakuja kuzika njiwa asubuhi sana wataondoka jioni watarudi.
Hahahah.. dah ila ni kweli mkuuTafuta hela mkuu utoke uswahilini hapo hawatoi taarifa hao paka bali kejeli..[emoji23]
Aisee, Hadi inatishaKuku wanaoishi karibu na makaburi husikia sauti ya marehemu akiwaita wakati mnaondoka baada ya kumzika. Inasemekana yale maji ya kibirika yakifika kwenye sikio la marehemu, marehemu huzinduka na kuanza kupokea adhabu za kaburi. Ukiwaangalia kuku wakati huo utaona wameinua shingo zao wanasikiliza
jiwa hawafungwi tu kienyeji enyeji km kuku,kwanza ukitaka kufuga lazima utafute waliozaliwa pmj yani jike na dume kwasababu njiwa hutaga mayai 2 tu na kutotoa na hayo mayai ni jinsia 2 kwaiyo km unatak kufug lzm uwachukue wale wale ndio watazalianaMkuu ya kweli haya?
Wanaitwa mbayu wayuNachojua mimi huku kwetu kijijini kuna ndege flani hivi ukianza kuwaona ujuwe mvua zinakaribia kuanza kunyesha...