Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Wewe nitafute sijanywa pombeUkitulia na kusoma ili uelewe, utafanya mabadiliko ya ajabu sana. Ukweli ukiachwa utiririke bila kupigana upanga, mbona dini inajulikana na udini unaeleweka wazi.
Lete sasa maana ya hii aya, mkristo makini nipo hapa kukuchallenge.Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako
Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa
Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Shekh punguza hasira kama unajua mjibu, mbona Nabii Musa aliulizwa na Farao na akamjibu,asipoelewa yeye wengine huwenda tukaelewa.Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako
Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa
Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Kuishi Ni Kristi na kufa Ni faida.Alielala kwenye kristo amepotea
Jitahidi sana usife ukristoni
Soma hili andiko Yakobo 1:17 - "Kila zawadi njema na kila kipawa chenye kukamilika hutoka juu, kutoka kwa Baba wa mwanga, ambaye hana kubadilika wala kivuli cha kuhamahama." Huyo anaye badilika ni yupi na asiye badilika ni yupiBiblia inasema Mungu alimwumba mwandamu kwa sura na mfano wake unayemsaidi leo unaweza Kuta ndo Mungu katika umbo tofauti kama alimtokea Musa kwenye umbo la kijiti cha moto, Mungu mcheza mieleka, Daniel 7:9-10 Mungu kwenye umbo la mzee, Mathayo 13:16-17 Roho ya Mungu ikishuka kama njiwa all in all Mungu anaweza kukufikia kwa namna yeytote anaweza kuja kama Abdul, juma, asha. Tusome hivi vitabu kama watu wazima sio kama mtoto anayeanza kujifunza kusoma
Hebu nipe tofauti zenu na wakristo mkuuQur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako
Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa
Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Biblia haisemi Mungu habadiliki katika namna anavyojifunua, bali habadiliki katika tabia yake, ahadi zake, na utakatifu wake. Kuonekana kwake kwa njia mbalimbali (kama vile moto, mtu, au sauti) ni njia ya mawasiliano kwa wanadamu, si kubadilika kwa kiini chake still Bado Mungu hubadilika umbo soma Aya nilizokupa sijazitoa kwenye mdomo wangu nimezitoa kwenye biblia unless unabisha kwa mazoeaSoma hili andiko Yakobo 1:17 - "Kila zawadi njema na kila kipawa chenye kukamilika hutoka juu, kutoka kwa Baba wa mwanga, ambaye hana kubadilika wala kivuli cha kuhamahama." Huyo anaye badilika ni yupi na asiye badilika ni yupi
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Allah ni fala sana.Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Kwahiyo Allah hawezi kunusuru dini yake? Kwakifupi Allah ni tapeli kama mwamposa tu.Aise!!!
Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
Mimi nitamnusiuAcha kupotosha ww kijana,Ni wapi Allah kasema anahitaji kunusuriwa? Yeye kasema tumnusuru lakini sio kwamba "anataka" bali ni kwa manufaa yetu wenyewe
Hujabadili chochote .shida ipo palepaleAise!!!
Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
Wapigaji😁😁🤣🤣Kwahiyo Allah hawezi kunusuru dini yake? Kwakifupi Allah ni tapeli kama mwamposa tu.
Hakuna watu wasomi wa kitabu cha dini yao na vitabu vingine vya dini nyingine kama wagalatia.Wakristo nawaasa someni vitabu vyenu vya dini na vya dini nyingine kama kumi la sivyo mtadhalilika sana kwenye hizi hadithi za abunuasi za kwenu na wao🤔
NaamWapigaji😁😁🤣🤣