Kama huyo mtoto wake atatenda kwa weledi na anasifa zote sioni tatizo kabisa ni haki ya kila mtanzania, shida wanateuliwa watu ambao hawana weledi wowote.Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
- Mjukuu wake kuwa gavana wa fedha
- Jirani yake kuwa IGP
Usisahau pia ana uwezo wa kuamuru achotewe kiasi chochote cha fedha afanyie kazi zake binafsi.
Katiba gani hii? No! No! No! Not at all!.
Tunahitaji katiba mpya.
Ndiyo maana wamejiwekea kinga za kutoshitakiwaKatiba iliyopo ni mbovu kiasi kwamba makamu wa Rais au Rais anaweza kutamka maneno kama haya bila aibu,haya,soni usoni wala woga!WTF!!!
View attachment 1843648
Trump alimteua mkwe wake, yaani mume wa binti yake kuwa mashauri wake. Pia kijana wake aliteuliwa.
Mimi Kabudi aliposema juzi eti hii katiba ni nzuri ndio nimeishiwa nguvu kabisa.
Hii katiba ni ya hovyo.
Na mimi na sisitiza katiba ni zuri, hao wenye katiba nzuri wakoje ukilinganisha na sisi ,katiba cannot garantee you good on the tabletMimi Kabudi aliposema juzi eti hii katiba ni nzuri ndio nimeishiwa nguvu kabisa.
Hii katiba ni ya hovyo.
Huwezi kujua hao wenye katiba nzuri wanakuzidi nini hadi kwanza unue kama hii katiba sio nzuri. Ukishajua hilo ndio unaweza kuelewa.Na mimi na sisitiza katiba ni zuri, hao wenye katiba nzuri wakoje ukilinganisha na sisi ,katiba cannot garantee you good on the tablet
Work had usifuate mkumbwa mtu kupanua mdomo na wew unamuuigilizia
Fahamu hizo nafasi zao hazina malipo yoyote
Suala ni kuteuliwa au kulipwaa!?
Mkuu unatakiwa utulie kwenye mada moja moja,kule kwa majaliwa umeondoka umekuja kuanzisha uzi huku anyway acha na hapa tuwe pamoja.Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
- Mjukuu wake kuwa gavana wa BoT
- Jirani yake kuwa IGP
Usisahau pia ana uwezo wa kuamuru achotewe kiasi chochote cha fedha afanyie kazi zake binafsi.
Katiba gani hii? No! No! No! Not at all!.
Tunahitaji katiba mpya.
Naomba uniambie ni katiba ya nchi gani hairuhusu mtu kumchagua ndugu yake au mtu wake wa karibu kuwa katika nafasi husika pale endapo tu atakidhi vigezo husika ?Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
- Mjukuu wake kuwa gavana wa BoT
- Jirani yake kuwa IGP
Usisahau pia ana uwezo wa kuamuru achotewe kiasi chochote cha fedha afanyie kazi zake binafsi.
Katiba gani hii? No! No! No! Not at all!.
Tunahitaji katiba mpya.
Trump alimteua mkwe wake, yaani mume wa binti yake kuwa mashauri wake. Pia kijana wake aliteuliwa.