Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
- Mjukuu wake kuwa gavana wa BoT
- Jirani yake kuwa IGP
Usisahau pia ana uwezo wa kuamuru achotewe kiasi chochote cha fedha afanyie kazi zake binafsi.
Katiba gani hii? No! No! No! Not at all!.
Tunahitaji katiba mpya.