Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

Ni nani ktk maraisi waliopita amemchagua mumewe kuwa waziri wa fedha.?? Mkiwa mnaandika muwe mnafikiria basi, sio kila linalokuja ubongoni uliseme.

By the way kama hao wana familia wana sifa sawa tu..! Awachague..!!

Nakukumbusha tu sisi binadamu ni dhaifu na ni wapungufu hatuna ukamilifu. Na kila lililotokana na mwanadamu kukosa ukamilifu ndio asili. Na ndio maana hata kwenye sheria ziizotungwa na wanadamu huwa wanaweka angalizo kwamba "otherwise the respective person may use a common sense". Mwisho wa siku hata hiyo Raisi unaemsema hua anatumia busara..!
 
Na mimi na sisitiza katiba ni zuri, hao wenye katiba nzuri wakoje ukilinganisha na sisi ,katiba cannot garantee you good on the tablet
Work had usifuate mkumbwa mtu kupanua mdomo na wew unamuuigilizia
Kwa wenye roho mbaya ni nzuri.Kipimo cha ubovu ni yule mwenda zake hata hao vichogo wenzako wanajua
 
Kama huyo mtoto wake atatenda kwa weledi na anasifa zote sioni tatizo kabisa ni haki ya kila mtanzania, shida wanateuliwa watu ambao hawana weledi wowote.
Tatizo lipo. Conflict of interest. You can't be a judge on the case that you have interests.
 
Kwa sababu ya mapungufu ya mwanadamu ndio maana zikawepo sheria, vyombo vya kuzitafsiri na kuzilinda. Mapungufu makubwa tulio nayo hatuna katiba inayo ainisha majukumu ya kila mmoja kwa ufasaha.
 
Na mimi na sisitiza katiba ni zuri, hao wenye katiba nzuri wakoje ukilinganisha na sisi ,katiba cannot garantee you good on the tablet
Work had usifuate mkumbwa mtu kupanua mdomo na wew unamuuigilizia
Mnaopinga uwepo wa katiba mpya hamna hoja za msingi zaidi yakuongelea mara fanya kazi,sijui good on the table.hizo nazo ni hoja?.wewe ndio huwa unawawekea wananchi hizo good on the table?,hawa wananchi wote wanaofanya kazi huwaoni au unataka wafanye kazi gani zaidi?.Tafuta hoja zenye mashiko sio hivi vituko vyenu.
 
Duniani kote hakuna usawa mnaotaka... hata USA wanachagua/kuteuana wale wanaojuana. Acheni ujinga.
Yale mazuri ya USA hamtaki kuyaiga kabisa wala kuyazungumzia,kazi yenu ni kutolea mifano yale ya kijinga.Ina maana USA akifanya jambo lakijinga sisi hatuwezi kutumia akili zetu tukafanya lizuri ili nayeye aje ajifunze kwetu.Hadi hapo inaonyesha wewe ni mjinga zaidi.
 
Katiba ...irekebishwe muda umefika tuache mazoea twende katiba mpya ila tumpe miaka 4 akae sawa thenvtwende katiba mpya
..
 
Unajua maana ya neno mfano?au umekurupuka tu.
 
Katiba nzuri sana hii, ngoja na mimi niwe Rais..
 
Katiba mpya ni jambo Jema na hakuna anayekataa tatizo ni lini tuenze huo mchakato au tuendelee tulipoishia? Kwanini tulikwama? Ninanani mwenye mamlaka ya kushinikiza Katiba mpya? Lazima kuwe na MJADALA Mpana wakati tunafanya mjadala ujenzi wa uchumi uendelee.

Pamoja na yote Katiba mpya itawabana hata wanao ililia sisi tusiokuwa na Chakupoteza yetu macho muhimu staha katika kuweka hoja zenye mashiko.
 
Kweli katiba zinafanana maana hata Trump alichagua ndugu, mke, marafiki na wote aliowataka na kuwaweka Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…