DustBin
JF-Expert Member
- Jun 3, 2021
- 609
- 604
Ni nani ktk maraisi waliopita amemchagua mumewe kuwa waziri wa fedha.?? Mkiwa mnaandika muwe mnafikiria basi, sio kila linalokuja ubongoni uliseme.Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
- Mjukuu wake kuwa gavana wa BoT
- Jirani yake kuwa IGP
Usisahau pia ana uwezo wa kuamuru achotewe kiasi chochote cha fedha afanyie kazi zake binafsi.
Katiba gani hii? No! No! No! Not at all!.
Tunahitaji katiba mpya.
By the way kama hao wana familia wana sifa sawa tu..! Awachague..!!
Nakukumbusha tu sisi binadamu ni dhaifu na ni wapungufu hatuna ukamilifu. Na kila lililotokana na mwanadamu kukosa ukamilifu ndio asili. Na ndio maana hata kwenye sheria ziizotungwa na wanadamu huwa wanaweka angalizo kwamba "otherwise the respective person may use a common sense". Mwisho wa siku hata hiyo Raisi unaemsema hua anatumia busara..!