Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Ukimaliza kunya unavaa suruali unafunga mkanda au unashika nguo hapo ndo ukanawe na sabuni kumbuka mavi yatakuwa yamenasia tu kwenye nguo. Hivo ni Bora tishu
 
Ukiomwona kabeba kikopo cha nusu lita ndio ayatumie kuflash na kujisafisha ndio utaelewa vizuri.
 
Suala la kutumia maji au karatasi depends na jamii na malezi na mazingira, ita depend mtu yuko confortable na lipi, si suala la dini

Mzee baba umekuwa unashusha nyuzi iwa kukurupuka, nini kimekupata pascal?
Jambo muhimu zaidi ni kunawa kwa sabuni baada ya kutoka chooni.
 
Huu siyo utafiti ni hisia za mwandishi na hapo ndipo alipofikia mwisho wa kufikiri. Kuhusisha imani na usafi ni vitu viwili tofauti.Usafi wa mtu haupimwi tu kwa kuna wa nawa mara kwa mara ndiyo useme huyo mtu au kikundi cha watu ni wasafi. Kwanza uwaombe radhi wakristo wote kwa maneno uliyotumia ni maneno ya kipagani na kichochezi.
 
Muhammad mwenyewe alikuwa anachamba kwa kutumia mawe

Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
Lakini mtoa mada katoa ushahidi wa yake aliyoyaona kwenye viwanja vya Ndege katika nchi zenye waislamu wengi hasa waarabu na nchi zenye Wakristo wengi hasa wazungu. Hapa Tanzania waislamu na wakristo ni 50% kwa 50% ndio maana na wakristo wanatumia maji kama waislamu .
Miaka ya nyuma huko kati ya ,waka 1993 hadi 1996 huko kwetu mkoani Kagera kuna kijana wa kikristo aliuliza ikiwa waislamu wakienda chooni wanapata kiu ya maji ndio maana wanaenda na makopo ya maji!1 Yeye kwakuwa jamii yake ya kikristo haikuwa na utamaduni wa kwenda na maji chooni akadhani waislamu wanaenda chooni na maji ya kunywa kwakuwa swala la kujisafisha halikuwahi kupita kwenye fikra zake.
 
Mtoa mada amesema nchi za kikristo wanaweka makaratasi tu hawaweki maji na hiyo ni kweli mimi mwenyewe nimeshudia, inatubidi tuingie na chupa zamaji, maji wameka nje kwa ajili ya kunawa mikono.
Haziitwi nchi za KIKRISTO zinaitwa nchi za west au wazungu n.k
Na zinatamaduni zao nzuri na mbaya.
Hoja yangu mimi ni mtoa mada kuingiza DINI sehemu inaayostahili kukaa neno UTAMADUNI culture.Na hili ndio tatizo kuu la kuhusisha utamaduni na dini na imeathiri wengi kushindwa kutofautisha hayo mawili.
DINI ya kikristo na utamaduni wake middle east ni watoto wa baba mmoja na utamaduni wake unaendana kiasili.Utamaduni wa wazungu sio mafundisho ya dini ya Kikristo.
Na lengo la mtoa mada ni la KISIASA sio kwamba hana AKILI timamu ya kujua tofauti kati ya dini na culture.
 

Mbona unaleta hoja kama mjinga mjinga asiyejitambua na sijajua kama umeishirikisha akili yako vizurii kama jibu ni ndio hiyo ni alert kwamba unazeeka vibayaa,,,,,,,,,,,na sisi tusio waislamu au wakristo tunatumia Nini? Kabla ya hizo dini tulikuwa tunatumia Nini?? Kwenye ukristo wanafundisha wapiii kutumia karatasii kujisafishaa,,

Jipinge kifuani mara tatu usemee unazeeka vibayaa
 
Huko kwenyewe kwa mkundu kuchafu wee hayo maji ndio unadhani yataharibu mkundu wako. Acha ufala wewe nawa hayo maji maisha yaendelee. Ingekuwa rahisi kufa tungeshakufa wengi.
I repeat. Wash with water ur arse is worth it!
 
Lakini watoto wanapotoa haja kubwa husafishwa na maji ila tatizo linakuja wanapokuwa wakubwa ndio wengi wanabadilika na kuanza kutumia tissues
Ila wengi wameanza kuelewa siku hizi maana hata harufu hatusikii sana wanapokutana watatu au zaidi 😄
Aisee wazungu wananuka
 
Vyoo vingi ulaya havina bomba za kujisafishia makalio, waumini wanafanyaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…