Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Naona link yako haifunguki..forward slash ''/'' baada ya neno ''wiki'' haipo.Hapo tu pameandikwa kabisa kuwa ancient Hebrew inscriptions found in Sinai but are not from Egypt so hiyo ndio evidence ya uwepo wa eslirites ?
Angalia humu ndio utakaponielewa..
https://en.m.wikipedia.org/wikiThe_Exodus#Archaeology
It is true..Inca nao wana pyramids. lakini INCA si ya zamani kama Olmec, ambao walijenga pyramid moja kabla ya kutoweka.Nashindwa kuelewa Inca civilisation na Egyptians pharaoh wana uhusiano gani? Maana vitu karibu vyote walivyokuwa wanafanya vinafanana kabisa.
Ukiangalia wako mbali mbali sana,, Pharaoh- Egypt na Inca ni Peru. Bado natafuta jibu
Tena maajabu mpaka wanavyo andaa maiti, hata wanavyo darizi milango na kuta zilivyotengenezwa na mapambo yote nimeshangaa kwa kweli.It is true..Inca nao wana pyramids. lakini INCA si ya zamani kama Olmec, ambao walijenga pyramid moja kabla ya kutoweka.
The Difference Between The Aztec, Maya, Inca, And Olmec
Kwa hiyo stori za wazungu kwamba Christoper Columbus au Amerigo Vespucci ndio waliolivumbua bara la Amerika ni uongo mtupu. .na waOlmec inasemekana wana asili ya Afrika.Tena maajabu mpaka wanavyo andaa maiti, hata wanavyo darizi milango na kuta zilivyotengenezwa na mapambo yote nimeshangaa kwa kweli.
Asante kwa hilo ngoja nichimbe zaidi kuwajua hawa watu na maajabu yao
1450 sio mbali ukifananisha na hawa jamaa.Kwa hiyo stori za wazungu kwamba Christoper Columbus au Amerigo Vespucci ndio walioivumbua bara la Amerika ni uongo mtupu.
''The Olmecs established themselves around 1400 B.C. and lasted about 1,000 years, occupying a reasonably large amount of land. They were good farmers, artists, mathematicians, and astronomers. They wrote in hieroglyphics, as did most of the cultures that followed them.''1450 sio mbali ukifananisha na hawa jamaa.
Columbus alikuwa ni explorer mtaliani na uvumbuzi ndio ulikuja kuwa trade routes kwa watu kutafuta maisha
Ni kweli mkuu hilo ndio linamfaa zaidi "pirates" na sio vingine, wazungu wanajua kueneza mambo na kujifanya wao ndio wamevumbua kila kitu.''The Olmecs established themselves around 1400 B.C. and lasted about 1,000 years, occupying a reasonably large amount of land. They were good farmers, artists, mathematicians, and astronomers. They wrote in hieroglyphics, as did most of the cultures that followed them.''
Columbus alikuwa pirate.ila wazungu wanampa sifa ya kumuita ''explorer''. Ukisoma stori zake na jinsi alivyoua wahindi wenye asili ya Amerika utagundua kuwa alikuwa jambazi na haramia.
Adui no 1 wa mtu mweusi ni mwarabu...Malcolm aliwashambulia zaidi wazungu akasahau kuwashambulia waarabu waliosababisha kutokomea kwa watu weusi Egypt.
kwa maoni yangu waarabu ndio wabebe lawama zote za matatizo
Chanzo ni Mwarabu, bila ya mwarabu sisi tusingeweza pata laana wakati wa Firauni na Mussa, yule Filauni wa Mwisho alikuwa tayari anamchanganyiko wa mtu mweusi na wale waarabu waliokuwa wanaenda kumisri kwa ajili ya kushangaa jiji na kutafuta kazi misri, hao walichangia damu na wamisri, hilo ndilo lilikuja kusababisha yule filauni wa mwisho kuwa na uhasama na israel sababu waarabu na waisrael ni maadui wa asiliAdui No 1 wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe..kwa kukubali na kuabudu watu na miungu isiyo yetu.
Kweli we unaona mbali na kabla ya yesu alokuwepo mtume gani?Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
CurseThen what happened if we were so great?
eg, Mohamed elnemyWamisri hawa weusi wapo..lakini walisogezwa Misri kusini na wageni wenye asili ya kiarabu.
National Geographic wanaeleza namna Pharaoh Piye wa Nubia alivyo iunganisha Misri -Upper Egypt (Kush) na Lower Egypt.Nilisha wahi kusoma jarida la National geographic miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na makala ilio kuwa inaelezea uwepo wa hawa black pharaohs
View attachment 333739
Nashindwa kuelewa Inca civilisation na Egyptians pharaoh wana uhusiano gani? Maana vitu karibu vyote walivyokuwa wanafanya vinafanana kabisa.
Ukiangalia wako mbali mbali sana,, Pharaoh- Egypt na Inca ni Peru. Bado natafuta jibu[/QUOTE
Mkuu sio Inca unaosemea ini Aztecs hao ndio wana pyramids wa inca wapo peru na Aztecs wapo Mexico