Je, wajua mambo haya 10 kuhusu Tundu Antipas Lissu?

Je, wajua mambo haya 10 kuhusu Tundu Antipas Lissu?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
1. Je, Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je, Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?

3. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?

4. Je, Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?

5. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?

6. Je, Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?

7. Je, Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?

8. Je, Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?

9. Je, Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?

10. Je, Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?

*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
 
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?...
Mungu azidi kumbariki sana huyu mtu aliyejitoa kikamilifu kwa ajili ya wengine.

Hakika hata kusalimika dhidi ya tukio la mauaji haikuwa bure.

Tuendelee kutenda mema kwa wengine kila mmoja kama alivyofanya yeye. Lakini zaidi tumpe kura nyingi ili apate nafasi ya kututetea akiwa na mamlaka full.

Mungu mbariki Tundu A. Lissu.
 
Tundu Lissu kama Mfalme Darius wa Dola ya Uajemi na Umedi miaka ya 350BC. Alivyowaokoa Waisrael mikononi mwa Babylon
 
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?....
No 5 is Nolan kutopewa mkopo ni kutokana na issue za kimazingira kwamba huo mradi ulikuwa unaharibu mambo ya ecologia
 
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?....
Wewe na Britanicca
Nani kakopi kwa mwenzie ?
 
Mungu azidi kumbariki sana huyu mtu aliyejitoa kikamilifu kwa ajili ya wengine.

Hakika hata kusalimika dhidi ya tukio la mauaji haikuwa bure.

Tuendelee kutenda mema kwa wengine kila mmoja kama alivyofanya yeye. Lakini zaidi tumpe kura nyingi ili apate nafasi ya kututetea akiwa na mamlaka full.

Mungu mbariki Tundu A. Lissu.
Mungu anatuumba kwa malengo maalum.
 
Ila huyu jamaa pamoja na makesi yote hayo hajawahi kukutwa na hatia.

Kweli na haki ipo juu yake.
Lissu ametendewa miujiza mingi na Mungu wa Mbinguni.

Wakati aliporudi walitaka kumfungulia kesi zake mahakamani ili wamtie hatiani asipate Haki ya kugombea urais.aliwambia ili wamtie hatiani inabidi wamshinde kesi. Sasa watapambana siku ya kesi aone kama nani atamshinda. Baada ya kauli ile Kesi naona imeshafutwa kabisa.

Kuna siku hapa JFs tulidiscuss issue ya Devine powers za Mh Lissu. Tafita uzi huo ujisomee.
 
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?....
Kama namba 9 na 10 ni kweli basi huyu mtu ni mwema sana! Ngoja nifuatilie zaidi
 
Back
Top Bottom