ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Lawyers’ Environmental Action Team (LEAT) - founded 1994Lisu alikua ndiye kiongozi wa chama cha wanasheria wa Mazingira

Mimi na nyumba yangu nimeamua tutampigia Lissu kura. Nakuomba na wewe uliyeamua kumpigia lissu kura yako. Wengi wameshaamua umebaki wewe1. Je, Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je, Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je, Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je, Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je, Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je, Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je, Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je, Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
Hauna hoja utakuwa unaifaidi mfumo dhalimuSiku akiamua kuhamia ccm tu wote mtamuona mpuuzi na hana la maana lolote,maana yake mnamsifia mtu kwa sababu na kuona ubora wake kwa sababu tu yupo chadema au yupo kinyume na serikali. Leo Lissu anaonekana ni msomi na mwanasheria mzuri kabisa ila ikitokea kwenda ccm au kuwa kinyume na chadema basi hapo ndipo ataonekana hata sheria zenye hajui.
Pia ndio mwanaume Tanzania nzima hamtaki kakojoeni[emoji85]
Kumbe huyu fani yake ni uwakili. Sasa anarukia urais atauweza?1. Je, Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je, Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je, Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je, Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je, Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je, Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je, Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je, Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
Huu sasa ukorofi.
Labda ni mwanaume pekee Tz asiye muogopa Jiwe toka 2016. Sisi wengine tumekuja mikia tunilijua utanimind
Nilichokisema kinahusiana vp na kufaidi mfumo? Nimeeleza ukweli kwamba mnamsifia mtu kisa tu yupo chadema au anapingana na serikali. Tumeona watu kibao ambao walikuwa wakisifiwa uhodari wao mbalimbali ila leo hii wanaonekana ni wapuuzi kisa tu wapo ccm au wanaunga mkono serikali.Hauna hoja utakuwa unaifaidi mfumo dhalimu
Mkuu propaganda za ccm ni za kitoto sana kwa kudhani wote sie ni watoto.Namba mbili imenistua na ikanifanya nifikirie Mara mbili inakuaje lissu anatuhumiwa kua kibaraka wa mabepari!!!?
Alafu anatokea mshamba mmoja chato anajiita mzalendo1. Je, Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je, Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je, Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je, Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je, Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je, Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je, Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je, Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je, Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
Labda ni mwanaume pekee Tz asiye muogopa Jiwe toka 2016. Sisi wengine tumekuja mikia tu
UONGO MBICHI, Tundu Lisu anadai fedha akikupa huduma ya uwakili na kama unabisha ushahidi upo.1. Je, Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?