Je, wajua mambo haya 10 kuhusu Tundu Antipas Lissu?

Je, wajua mambo haya 10 kuhusu Tundu Antipas Lissu?

1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?

3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?

4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?

5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?

6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?

7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?

8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?

9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?

10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?

*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
Je wajua kua alidanganya umma kua tutashitakiwa kwa sababu ya kuzuia mchanga wa makinikia?
 
Mungu yuko pamoja naye! Ni jemadari mkuu!!! Hata baaada ya mwili wangu kuharibiwa hivi, ndipo nitakapo uona ufalme wa Mungu!!!
 
Kwa haya yote ambayo yana ushahidi wa wazi, hakika Tundu A. Lissu ni mzalendo wa kweli kwa nchi ya Tanzania, ni mtu anayestahili kuongoza hii nchi kipindi stahiki cha awamu ya sita.

Hira ya vibaraka wa shetani ilishindwa na kwasababu Mungu ni mkuu mno akaitumia nafasi hiyohiyo kwa kushindwa kwa hila ya shetani kumuinua Lissu ajulikane mpaka vijijini ambapo huwa hawapati taarifa ya yanayoendelea mjini, kwa wale wanaojua mpaka sasa rais ni Nyerere na chama ni ccm tu.

Mfumo unatetemeka, mipango mingi inapangwa na kila unaoonekana unafaa kwa kadri muda uendavyo Tundu anaupangua. Siku ya kupiga kura itaamua, tume ikifanya yao kutetea mfumo; wananchi hawatalala kushinikiza maamuzi yao yaheshimiwe. Na hapo ndipo mabadiriko ya kweli yatakapoanza safari.

Naipenda nchi yangu, nimeteseka kuitumikia nchi yangu Tanznia. Mwenye kuelewa na aelewe
 
Je wajua Mheshimiwa Lissu anawakonga nyoyo Mama Janet, na mwanae Jesca vile tu wanaogopa kuonesha hadharani kwa kulihofia jiwe?

Je wajua meko anamuogopa na kumuhofia Mheshimiwa Lissu kuliko anavyomuogopa MUNGU?
 
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?

3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?

4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?

5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?

6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?

7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?

8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?

9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?

10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?

*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
mwenyez mungu ampe maisha malefu yenye baraka zote rais wangu lissu🙏🙏🙏
 
Ni yeye
IMG_20200915_201610.jpeg
 
Namba mbili imenistua na ikanifanya nifikirie Mara mbili inakuaje lissu anatuhumiwa kua kibaraka wa mabepari!!!?
Achana na wajinga wale slogan zao wanafikiri watanzania bado wajinga.enzi zile watuaminisha kuwa mkichagua upinzani wataleta vita
 
Je wajua kua alidanganya umma kua tutashitakiwa kwa sababu ya kuzuia mchanga wa makinikia?
Maguguli alikuwa anatengeza ten percent yake baada kuona watangulizi wake walishakomba kila kitu kwenye migodi hujiulizi kwa nn hakugusa ggm
 
Sante sana


Ehee upande ule wa rangi ya wale nzi wa chooni vp kwenyewe?
 
Back
Top Bottom