Mungu azidi kumbariki sana huyu mtu aliyejitoa kikamilifu kwa ajili ya wengine.1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?...
Tundu Lissu kama Mfalme Darius wa Dola ya Uajemi na Umedi miaka ya 350BC. Alivyowaokoa Waisrael mikononi mwa Babylon1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?...
No 5 is Nolan kutopewa mkopo ni kutokana na issue za kimazingira kwamba huo mradi ulikuwa unaharibu mambo ya ecologia1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?....
Wewe na Britanicca1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?....
Mungu anatuumba kwa malengo maalum.Mungu azidi kumbariki sana huyu mtu aliyejitoa kikamilifu kwa ajili ya wengine.
Hakika hata kusalimika dhidi ya tukio la mauaji haikuwa bure.
Tuendelee kutenda mema kwa wengine kila mmoja kama alivyofanya yeye. Lakini zaidi tumpe kura nyingi ili apate nafasi ya kututetea akiwa na mamlaka full.
Mungu mbariki Tundu A. Lissu.
Na aliyetetea ni lissu lakini wahuni wa wizarani walishatoa go ahead ili wapige chaoNo 5 is Nolan kutopewa mkopo ni kutokana na issue za kimazingira kwamba huo mradi ulikuwa unaharibu mambo ya ecologia
Hakika mkuuMungu anatuumba kwa malengo maalum.
Watanzania wote wnanajua sasa na uzalemdo uchwara wake.Je , wajua kuwa Bichwa ni fisadi?
Lissu ametendewa miujiza mingi na Mungu wa Mbinguni.Ila huyu jamaa pamoja na makesi yote hayo hajawahi kukutwa na hatia.
Kweli na haki ipo juu yake.
Mtajua hamjui. Mfungulieni kesi ya uhaini. Sio kuishia kubweka tu kama mbwa koko.Namba mbili imenistua na ikanifanya nifikirie Mara mbili inakuaje lissu anatuhumiwa kua kibaraka wa mabepari!!!?
Kama namba 9 na 10 ni kweli basi huyu mtu ni mwema sana! Ngoja nifuatilie zaidi1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?....
Kweli kabisa, linafikirisha sana hili suala!Ila huyu jamaa pamoja na makesi yote hayo hajawahi kukutwa na hatia.
Kweli na haki ipo juu yake.
Lisu alikua ndiye kiongozi wa chama cha wanasheria wa MazingiraNo 5 is Nolan kutopewa mkopo ni kutokana na issue za kimazingira kwamba huo mradi ulikuwa unaharibu mambo ya ecologia
Kweli mkuu,TL ndio aliwaambiaNo 5 is Nolan kutopewa mkopo ni kutokana na issue za kimazingira kwamba huo mradi ulikuwa unaharibu mambo ya ecologia