Kantalandwa
Member
- Jul 25, 2020
- 24
- 9
Je wajua kua alidanganya umma kua tutashitakiwa kwa sababu ya kuzuia mchanga wa makinikia?1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
Na magu alishaachia ule mchanga kuepuka kushtakiwa ambako kungeleta hasara kubwa.Je wajua kua alidanganya umma kua tutashitakiwa kwa sababu ya kuzuia mchanga wa makinikia?
WeweWewe na Britanicca
Nani kakopi kwa mwenzie ?
Imeandikwa,vipofu wataona na wasioamini wataamini.Kama namba 9 na 10 ni kweli basi huyu mtu ni mwema sana! Ngoja nifuatilie zaidi
mwenyez mungu ampe maisha malefu yenye baraka zote rais wangu lissu🙏🙏🙏1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyage Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
*TUENDELEE KUMUOMBEA JEMEDARI HUYU*
Mchanga ulitoka au haukutoka?Je wajua kua alidanganya umma kua tutashitakiwa kwa sababu ya kuzuia mchanga wa makinikia?
Achana na wajinga wale slogan zao wanafikiri watanzania bado wajinga.enzi zile watuaminisha kuwa mkichagua upinzani wataleta vitaNamba mbili imenistua na ikanifanya nifikirie Mara mbili inakuaje lissu anatuhumiwa kua kibaraka wa mabepari!!!?
Maguguli alikuwa anatengeza ten percent yake baada kuona watangulizi wake walishakomba kila kitu kwenye migodi hujiulizi kwa nn hakugusa ggmJe wajua kua alidanganya umma kua tutashitakiwa kwa sababu ya kuzuia mchanga wa makinikia?