Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

sijakataa kuhongwa ila kusema kahongwa V8 hiyo hapana aise , labda kama kahongwa pesa ndefu zaidi
Ni sawa na mtu anaemiliki milion 100 alafu useme unamuhonga tsh elf 40
huwezi mshawishi kwa kiwango hicho cha pesa
Kwa hiyo kwa Msukuma milioni 500 si chochote? Maana V8 yake amesema thamani yake ni 500mil. Km is northing kwake, hawezi kuwa tajiri
 
Jaribu mkuu yanaweza tokea ya magufuli wanaachwa walioshika namba za mbele unachukuliwa ww wa mwisho has a ikionekana hao wa mbele wamemwaga sana noti, pia ukikosa ubunge na una CV iliyotulia unaweza pata bahati ya kuteuliwa ukuu wa wilaya,DAS, mkurugenzi n.k, so jipange upambane.
 
Sasa umekasirika na nini hapo? kwasababu wewe unajua unadhani Tanzania nzima wanamjua hivyo? wengine wanamjua kama Mbunge tu mambo yake binafsi mengine hawajui kwahiyo acha kila mtu ajue kwa nafasi yake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shukran mkuu[emoji120]... haya "mkufunzi" wa "kareti".....

Siasa ina mambo mengi sana...pia inahitaji fedha ya ushawishi(si lazima rushwa).

Peace & Love[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
kweli bwana nimempigia mshkaji wa Rock city nikamwambia anitajieji wafanyabiasha wakubwa watatu tu,jamaa kaanza na Jumanne Kishimba😅😂
 
Sasa umekasirika na nini hapo? kwasababu wewe unajua unadhani Tanzania nzima wanamjua hivyo? wengine wanamjua kama Mbunge tu mambo yake binafsi mengine hawajui kwahiyo acha kila mtu ajue kwa nafasi yake
Duuh punguza kula ugali mkuu unadumaza ubongo na dharau za kijinga nimekasilika wapi nimeongea tu jinsi alivyoanza kupambana kitambo wewe hapo ushaleta uswahili wako wa porini...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shukran mkuu[emoji120]... haya "mkufunzi" wa "kareti".....

Siasa ina mambo mengi sana...pia inahitaji fedha ya ushawishi(si lazima rushwa).

Peace & Love[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndivyo hivyo mkuu, kuna jamaa yetu alishika nafasi ya nne, alikua kapuku baba Fundi cherehani ila magu alimbeba kwa kua washindani wake wrote walikua vibopa na walitembeza mtonyo, hakuna na gari nyumba wala mke, now the man is rich anamilki shell Dom na huku biashara kadhaa, kaoa Bonge la harusi mwaka Jana, anatembelea fortuned Kali so sometimes unaweza jaribu na ukatusua kimasihara cha msingi anza kujenga timu mapema
 
Ndiyo unajua leo? Mbona Majengo yake mengi tu ameweka Sanamu la Sato? Imalaseko mbona kitambo sana 90's anamiliki.
 
Mchango wako huuu umebeba majibu ya maswali mengi sana ,ni maelezo yakawaida kabisa ila yenye ujumbe mzito ulio shiba, na huo ndio ukweli halisi kati ya upande unao pinga na upande uanao unga mkono
 
We ndiyo umejuwa leo hii habari

Ova
wewe uliekuwa unajua tangu zamani mbona hukutuabarisha humu....sometime acha ujuaji bro sisi wengine hatunaga vijiwe wala watu wa kupiga nao umbea so JF ndiyo sehemu yetu pekee ya kupata serious na formal news na umbea pia.

Be calm bro.
 
Tajiri yangu huyu mzee nilikua namuuzia dhahabu enzi zile kabla hajafungua duka la stendi ya Mwanza, ni mzee ana roho nzuri mkweli na ana msaada sana kama utafanya nae kazi kwa uaminifu
 
Tajiri yangu huyu mzee nilikua namuuzia dhahabu enzi zile kabla hajafungua duka la stendi ya Mwanza, ni mzee ana roho nzuri mkweli na ana msaada sana kama utafanya nae kazi kwa uaminifu
Ni kweli ana roho nzuri mimi sikufanya nae biashara yeyote ndio kwanza nilikua na mawazo ya SA hata mtaji sina nilikua naishi maeneo karibu na wao wakija Harare alikua anatutafuta vijana anatupa njia za maisha Mzee yupo poa sana sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…