Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

Mr nobby

Senior Member
Joined
Aug 25, 2023
Posts
196
Reaction score
395
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.

Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki?

Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29 hua inajirudia baada ya miaka minne?

Kitu ambacho kwa miaka minne hatutakumbuka kifo cha Rais mwinyi kitaifa.

Je, Hali hii naweza kupelekea tuyasahu Yale mema aliyo yafanya kwa awamu Yake?
 
Ni kukosa umakini, mbona vifo vingine wanaweza hata kusogeza tarehe ili wawe katika muda muafaka na wanayoyataka yafanyike?
 
Ni tarehe niliyozaliwa pia ,Niko hapa sielewi niwaalike marafiki kesho tufurahie au nifanye nini maana nahisi Kama Mimi sio binadamu yaani kiukweli najuta kuzaliwa hiyo tarehe
 
M
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.

Je kutakua na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki?

Je,walio tangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29 hua inajirudia baada ya miaka minne?

Kitu ambacho kwa miaka minne hatutakumbuka kifo cha Rais mwinyi kitaifa.

Je Hali hii naweza kupelekea tuyasahu Yale mema aliyo yafanya kwa awamu Yake?
Mbona dua ishafanyika Manga pwani siku kam sita nyuma hivi
 
Tarehe haimati,ikifika siku anaitwa Ustadhi anasoma akimaliza unapigwa Mchele kila mtu anatimkia kwake.
 
Ya mwinyi ishafanywa kitaifa mpaka akaunt ya ikulu zanzibar iliweka kabisa. Wnafamilia waliamua kuifanyia unguja
Mi naongelea kitaifa, kwa mkapa na magufuli hua inajulikana kbsaa hata kwenye vyombo vya habari hua inazungumzwa. Je hii ya mwinyi itakuaje?
 
Back
Top Bottom