Mr nobby
Senior Member
- Aug 25, 2023
- 196
- 395
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.
Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki?
Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29 hua inajirudia baada ya miaka minne?
Kitu ambacho kwa miaka minne hatutakumbuka kifo cha Rais mwinyi kitaifa.
Je, Hali hii naweza kupelekea tuyasahu Yale mema aliyo yafanya kwa awamu Yake?