Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Kristo Yesu na ukristo asili yake sio wazungu Wala Afrika,

Ni Mashariki ya kati, Rudi darasani, na YESU hakuwa mzungu, wanafunzi wa Yesu, mitume 12, hawakuwa wazungu,

Wazungu walipomwonja Yesu wa Kweli na kuona Pendo na baraka, wakamkatibisha kwao na kumuhubiri Kila Mahali.

Now wamemkataa, shida inawarudia.

Nirudi darasani kusoma habari za Yesu zililiewa na wajerumani na waingereza? Amka usingizini mzee? Ungesoma sawasawa ungeelewa sijaongelea asili, nitafute asili ya nini wkt umeletewa na waliosikia pia?
 
Wewe u mpinga kristo, sababu huamini juu ya Ufunuo wa Yohana.
Haya ushakua judge kbs unapima na vipimo vya mpinga kristo, nani kakupa mamlaka ya kuhukumu watu? Mtu asipoamini ulivyokaririshwa ndo mpinga kristo? Labda ungesema mpinga Rabbon.
 
Mchungaji wako Kasoma Theology!
Na yeye ndo kiongozi wako Je unaongozwa na mtu mwenye Mafundisho ya Mashetani
Narudia kusema hivi, mwalimu wangu ni ROHO MTAKATIFU,

Na Yesu ndiye Mchungaji wangu.

Ni kheri kwake afundishwaye na Roho mtakatifu. Popote niendapo Yeye ndiye husema nenda hapo, huyo ni wangu, au usiende hapo, huyo Si wangu.

Amen.
 
Haya ushakua judge kbs unapima na vipimo vya mpinga kristo, nani kakupa mamlaka ya kuhukumu watu? Mtu asipoamini ulivyokaririshwa ndo mpinga kristo? Labda ungesema mpinga Rabbon.
Huyo ni mpinga kristo.

Kipimo ni Neno la Mungu, huyo anakubali baadhi ya vifungu vya BIBLIA, lakini kitabu Cha ufunuo wa Yohana anakipinga, haamini kuwa Mimba ya Mariam ni Kwa uweza wa Roho mtakatifu, huyo ni mpinga kristo according to Neno la Mungu.
 
Nirudi darasani kusoma habari za Yesu zililiewa na wajerumani na waingereza? Amka usingizini mzee? Ungesoma sawasawa ungeelewa sijaongelea asili, nitafute asili ya nini wkt umeletewa na waliosikia pia?
No comment.
 
Narudia kusema hivi, mwalimu wangu ni ROHO MTAKATIFU,

Na Yesu ndiye Mchungaji wangu.

Ni kheri kwake afundishwaye na Roho mtakatifu. Popote niendapo Yeye ndiye husema nenda hapo, huyo ni wangu, au usiende hapo, huyo Si wangu.

Amen.
Roho mtakatifu ulipewa na Nani?
Ulibatizwa na nani?
 
Haya ushakua judge kbs unapima na vipimo vya mpinga kristo, nani kakupa mamlaka ya kuhukumu watu? Mtu asipoamini ulivyokaririshwa ndo mpinga kristo? Labda ungesema mpinga Rabbon.
Mkuu Huyu Anajiita Rabbon hata hajui maana yake..
Rabbon ni Mwalimu Mwenye level ya Juu sana wa kiyahudi katika Theology na mwenye kusifika sana kwa elimu yake...
 
Roho mtakatifu ulipewa na Nani?
Ulibatizwa na nani?
Nilipewa na YESU baada ya kuamini.

Roho MTAKATIFU ni ROHO wa YESU. Yesu anaishi ndani yangu kupitia Roho wake mtakatifu, ndiye Mchungaji na mwalimu wangu.

Neno la Mungu ambalo ndilo neno ya Yesu ndiyo taa ya miguu yangu.
 
Kwahyo hukubatizwa?
 
Mkuu Huyu Anajiita Rabbon hata hajui maana yake..
Rabbon ni Mwalimu Mwenye level ya Juu sana wa kiyahudi katika Theology na mwenye kusifika sana kwa elimu yake...
ELIMU iliyo kuu kuliko zote ni Elimu atoayo Roho mtakatifu aliye Roho wa kristo Yesu.
 
Nilipewa na YESU baada ya kuamini.

Roho MTAKATIFU ni ROHO wa YESU. Yesu anaishi ndani yangu kupitia Roho wake mtakatifu, ndiye Mchungaji na mwalimu wangu.

Neno la Mungu ambalo ndilo neno ya Yesu ndiyo taa ya miguu yangu.
Nilikuuliza kuwa ulibatizwa na nani?
Naona hili swali limekuwa la moto kwako?
 
Roho mtkatifu amewahi kutoa elimu Ipi na kwa nani?
Roho mtakatifu ni kiongozi
Roho mtakatifu ni mwalimu, ni kiongozi, ni mfariji, anatukumbusha kutubu tunapokosea, hutuombea Kwa kuugua,

Ndomana nakuambia, ukimkatibisha akuongoze, Roho ya mpinga kristo itakukimbia.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Nilikuuliza kuwa ulibatizwa na nani?
Naona hili swali limekuwa la moto kwako?
Unauliza Ujinga, majibu yangu, yakupe kujua nimebatizwa Kwa maji mengi na kwa moto wa Roho mtakatifu.

Roho mtakatifu ndani yangu, ndiye aniongozaye na anisaidiaye kufundisha neno lake.
 
Inauliza Ujinga, majibu yangu, yakupe kujua nimebatizwa Kwa maji mengi na kwa moto wa Roho mtakatifu.

Roho mtakatifu ndani yangu, ndiye aniongozaye na anisaidiaye kufundisha neno lake.
Mkuu Umeaga lakini?
 
Unajaribu kunitisha?

Aliye ndani yangu ni mkuu kuliko aliyeko ULIMWENGUNI.

Karibu kivyovyote!!
Halafu unasema una roho Mtakatifu ambaye Hata Katika Tafsiri ya Maneno tu ya JF anakupotosha...
Seuze Tafsiri ya Bibliaa...

Wewe uliaga kwamba unaondoka kwenda kuchimba ili uanzishe uzi mpya lakini cha ajabu unarudi tena kunihoji wakati huo ulishaaga zamani ...
Na ndo maana nikakuuliza wwe si umeaga?

Unajua ndo maana biblia inasema katika ezekiel

Ezekieli 14:9
[9]Na nabii akidanganyika, na kusema neno, mimi, BWANA, nimemdanganya nabii yule, nami nitaunyosha mkono wangu juu yake, na kumwangamiza, asiwe kati ya watu wangu Israeli.

Bhasi mkuu leo umedanganyika kinachofuata subiri Kuangamizwa
 
Halafu unasema una roho Mtakatifu ambaye Hata Katika Tafsiri ya Maneno tu ya JF anakupotosha...
Seuze Tafsiri ya Bibliaa...

Wewe uliaga kwamba unaondoka kwenda kuchimba ili uanzishe uzi mpya lakini cha ajabu unarudi tena kunihoji wakati huo ulishaaga zamani ...
Na ndo maana nikakuuliza wwe si umeaga?

Unajua ndo maana biblia inasema katika ezekiel

Ezekieli 14:9
[9]Na nabii akidanganyika, na kusema neno, mimi, BWANA, nimemdanganya nabii yule, nami nitaunyosha mkono wangu juu yake, na kumwangamiza, asiwe kati ya watu wangu Israeli.

Bhasi mkuu leo umedanganyika
Ni hayo tu.

Wewe ni adui yangu katika Roho,

Sababu huamini kufufuka Kwa Yesu.

Huamini kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.
 
Back
Top Bottom