Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Kristo Yesu na ukristo asili yake sio wazungu Wala Afrika,
Ni Mashariki ya kati, Rudi darasani, na YESU hakuwa mzungu, wanafunzi wa Yesu, mitume 12, hawakuwa wazungu,
Wazungu walipomwonja Yesu wa Kweli na kuona Pendo na baraka, wakamkatibisha kwao na kumuhubiri Kila Mahali.
Now wamemkataa, shida inawarudia.
Nirudi darasani kusoma habari za Yesu zililiewa na wajerumani na waingereza? Amka usingizini mzee? Ungesoma sawasawa ungeelewa sijaongelea asili, nitafute asili ya nini wkt umeletewa na waliosikia pia?