Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
sasa ndugu tamaa na vichwa ngumu vimeishaaa?Soma (Marko sura ya 10-12)
Yesu amefafanua vizuri. Tamaa na Vichwa ngumu vya WANADAMU ndo sababu ya watu Kuoa wake wengi,
Na Musa akaruhusu hayo ingawa haikuwa maelekezo ya Mungu.
Yesu akawajibu Kwa kuwarudisha Edeni, akamwambia Mungu aliasisi NDOA ya mke na mume mmoja baasi, tofauti na hapo ni UZINZI na UASHERATI.
Waislamu wanadai wanaamini INJILI, ila katika suala la NDOA, wameamua kubali kwenye torati.
Yesu ni Mungu, hivyo maelekezo yake ni Amri, sharti tuyafuate.
Amen
Ni hatari sana kupuuzia ndoto, Hasa zile ambazo Mungu huleta ujumbe na maonyo kwako,Kama tukio halisi kabisa lilitokea? Mh!
Ndoto zangu nyingi ni za kuruka juu huko na kutua japo mara moja moja huwa napata shida ya kutua hasa nikiwa nimezidisha ugali au kama nimekula kwa kuchelewa sana. Pia kupigana na watu ambao siwajui...mara nyingi nawakanda japo mara moja moja huwa wananizidi naanza kukimbia mbio halafu naamka nikiwa nimelowa jasho hatari huku natweta.
Na mara chache chache niko chuoni au shuleni masomoni mara zali natandikwa viboko au nazusha varangati mpaka nafukuzwa au naambiwa kwenda kuwaleta wazazi.
Ndoto hizi ndiko huko kwenye ulimwengu wa roho? 😳
Vinaendelea, Kwa Wana wa Giza,sasa ndugu tamaa na vichwa ngumu vimeishaaa?
Nakubaliana na wewe..Kila ubaya ambao adui atapanga juu yako Mungu atauweka wazi kabla haujakupata...Ni hatari sana kupuuzia ndoto, Hasa zile ambazo Mungu huleta ujumbe na maonyo kwako,
Kuna mtu aliota amepata Ajali usiku, na alikuwa amepanga safari kesho yake, alipuuza ndoto na kuanza safari bila kutafuta ufumbuzi,
Matokeo yake, alipata Ajali na kupoteza baadhi ya viungo.
Mwingine , mwanamke aliota ndotoni mumewe amezini na mtu mwingine na alionao tukio Zima ndotoni, kosa lake Akaenda kumuuliza mumewe,
Kilichotokea mume alimwambia hizo ni ndoto tu Wala Si Kweli, wakati katika uhalisia wiki iliyopita, alifanya Kweli UASHERATI Kwa Siri.
Sasa ukiokoka, ukawa na Roho mtakatifu, hata Jirani au adui akipanga ubaya au tukio dhidi Yako, utaona kabla live na kutafuta njia Bora za kuzuia.
Katika Ulimwengu wa Roho hakuna Siri.
Kutokuokoka ni HASARA sana,Nakubaliana na wewe..Kila ubaya ambao adui atapanga juu yako Mungu atauweka wazi kabla haujakupata...
Mkuu inatosha sasa kunikwoti maana duh!Ni hatari sana kupuuzia ndoto, Hasa zile ambazo Mungu huleta ujumbe na maonyo kwako,
Kuna mtu aliota amepata Ajali usiku, na alikuwa amepanga safari kesho yake, alipuuza ndoto na kuanza safari bila kutafuta ufumbuzi,
Matokeo yake, alipata Ajali na kupoteza baadhi ya viungo.
Mwingine , mwanamke aliota ndotoni mumewe amezini na mtu mwingine na alionao tukio Zima ndotoni, kosa lake Akaenda kumuuliza mumewe,
Kilichotokea mume alimwambia hizo ni ndoto tu Wala Si Kweli, wakati katika uhalisia wiki iliyopita, alifanya Kweli UASHERATI Kwa Siri.
Sasa ukiokoka, ukawa na Roho mtakatifu, hata Jirani au adui akipanga ubaya au tukio dhidi Yako, utaona kabla live na kutafuta njia Bora za kuzuia.
Katika Ulimwengu wa Roho hakuna Siri.
Mjukuu njoo huku kuna ujumbe wako. Okoka sasa ili uondokane na risk ya KIFO!Kutokuokoka ni HASARA sana,
Asiyeokoka risk ya KIFO inamuotea Kila aendako.
Walio katika risk kubwa ni wenye wake wengi na wazinzi na walevi, wanalishwa Kila aina ya uchafu ambao hufupisha maisha Yao sana.
Mungu atusaidie na awaokoe.
Ok nimeacha.Mkuu inatosha sasa kunikwoti maana duh!
Nimeshakuelewa.
Nitajitahidi nami nifike huko kwenye ulimwengu wa Roho.
Tuombeane 🙏🏿
Ndo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?Mjukuu njoo huku kuna ujumbe wako. Okoka sasa ili uondokane na risk ya KIFO!
Ukipuuzia ujumbe huu halafu uje uishie kwenda motoni utanitambua! 😬
Yesu ndiye njia na kweli na uzima ukimuamini Yesu kuwa ni Bwana na ukaamua kumfata utaurithi ufalme wa MunguNdo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?
wote naona wana offer nzuri nzuri....
Kwa yesu ni kuimba tu hakuna kuoa wala kuolewa no sex , bora kwa Allah kuna bikra 70 na mifejeri ya pombe.Ndo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?
wote naona wana offer nzuri nzuri....
Yesu ndiye njia na kweli na uzima ukimuamini Yesu kuwa ni Bwana na ukaamua kumfata utaurithi ufalme waNdo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?
wote naona wana offer nzuri nzuri....
Pasipo kumuamini Yesu na kumfata kamwe hutoingia ufalme wa MbinguniNdo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?
wote naona wana offer nzuri nzuri....
Son of devilKwa yesu ni kuimba tu hakuna kuoa wala kuolewa no sex , bora kwa Allah kuna bikra 70 na mifejeri ya pombe.
Ata kwa waislamu hakuna Mungu mwingne ila Allah , na Muhammad ni mtume wake.Yesu ndiye njia na kweli na uzima ukimuamini Yesu kuwa ni Bwana na ukaamua kumfata utaurithi ufalme wa Mungu
Yah nambieSon of devil
Yesu ndiye njia ya kuelekea MbinguniAta kwa waislamu hakuna Mungu mwingne ila Allah , na Muhammad ni mtume wake.
Vivyo hivyo kwa waislamu kama haufuati nguzo kuu 5 hautoboi.Yesu ndiye njia ya kuelekea Mbinguni
Kwa jicho la kibinadamu kwa Allah inaonekana ni offer nzuri zaidi. Mabikra 72, mito ya pombe tamu isiyokauka...Ndo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?
wote naona wana offer nzuri nzuri....
Wahindi unarudi kuzaliwa tena , ukifanya vibaya unaweza rudi kwa umbile la fisi.Kwa jicho la kibinadamu kwa Allah inaonekana ni offer nzuri zaidi. Mabikra 72, mito ya pombe tamu isiyokauka...
Kwa Yahweh huku ni kuimba na kuabudu 24/7.
Na bado hujazungukia kwa Wahindu kule. Sijui wao wanasemaje....
Choose carefully! [emoji16]