Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Soma (Marko sura ya 10-12)

Yesu amefafanua vizuri. Tamaa na Vichwa ngumu vya WANADAMU ndo sababu ya watu Kuoa wake wengi,

Na Musa akaruhusu hayo ingawa haikuwa maelekezo ya Mungu.

Yesu akawajibu Kwa kuwarudisha Edeni, akamwambia Mungu aliasisi NDOA ya mke na mume mmoja baasi, tofauti na hapo ni UZINZI na UASHERATI.

Waislamu wanadai wanaamini INJILI, ila katika suala la NDOA, wameamua kubali kwenye torati.

Yesu ni Mungu, hivyo maelekezo yake ni Amri, sharti tuyafuate.

Amen
sasa ndugu tamaa na vichwa ngumu vimeishaaa?
 
Kama tukio halisi kabisa lilitokea? Mh!

Ndoto zangu nyingi ni za kuruka juu huko na kutua japo mara moja moja huwa napata shida ya kutua hasa nikiwa nimezidisha ugali au kama nimekula kwa kuchelewa sana. Pia kupigana na watu ambao siwajui...mara nyingi nawakanda japo mara moja moja huwa wananizidi naanza kukimbia mbio halafu naamka nikiwa nimelowa jasho hatari huku natweta.

Na mara chache chache niko chuoni au shuleni masomoni mara zali natandikwa viboko au nazusha varangati mpaka nafukuzwa au naambiwa kwenda kuwaleta wazazi.

Ndoto hizi ndiko huko kwenye ulimwengu wa roho? 😳
Ni hatari sana kupuuzia ndoto, Hasa zile ambazo Mungu huleta ujumbe na maonyo kwako,

Kuna mtu aliota amepata Ajali usiku, na alikuwa amepanga safari kesho yake, alipuuza ndoto na kuanza safari bila kutafuta ufumbuzi,

Matokeo yake, alipata Ajali na kupoteza baadhi ya viungo.

Mwingine , mwanamke aliota ndotoni mumewe amezini na mtu mwingine na alionao tukio Zima ndotoni, kosa lake Akaenda kumuuliza mumewe,

Kilichotokea mume alimwambia hizo ni ndoto tu Wala Si Kweli, wakati katika uhalisia wiki iliyopita, alifanya Kweli UASHERATI Kwa Siri.

Sasa ukiokoka, ukawa na Roho mtakatifu, hata Jirani au adui akipanga ubaya au tukio dhidi Yako, utaona kabla live na kutafuta njia Bora za kuzuia.

Katika Ulimwengu wa Roho hakuna Siri.
 
sasa ndugu tamaa na vichwa ngumu vimeishaaa?
Vinaendelea, Kwa Wana wa Giza,

Lakini Kwa watakatifu, hawaoi wake wengi na hawachepuki,

Maana mwili ni HEKALU la Roho mtakatifu, uchafu wa zinaa haufanywi na WATAKATIFU.

Nakukaribisha katika familia ya WATAKATIFU waliookoka waenda Mbinguni.
 
Nilichogundua humu JF anti Christ wako wengi....ila uzuri ni kwamba mnatambua Yuko Mungu Mkuu kuliko miungu mnayoiabudu...Wana wa Mungu wanaongozwa na roho wa Mungu kama wewe humkiri kristo na huongozwi na roho wa Mungu wewe ni mwana wa ibilisi...Ndoa ni Mpango wa Mungu kama unaongozwa na roho wa Mungu huwezi kupinga ndoa ila kama unaongozwa na roho wa ibilisi utapinga ndoa sababu matunda ya Nuru ni dhahiri na matunda ya Giza ni dhahiri pia.....Yesu alikuja Huku Duniani Kwa ajili ya wenye dhambi na ni furaha kuu Mbinguni mmoja anapotubu na kuokoka ...nawaombea Kwa Mungu ninyi nyote mnaopinga neno la kristo humu Baba wa Mianga awasamehe dhambi zenu na kuitahiri Mioyo yenu sababu hamjui mlitendalo
 
Ni hatari sana kupuuzia ndoto, Hasa zile ambazo Mungu huleta ujumbe na maonyo kwako,

Kuna mtu aliota amepata Ajali usiku, na alikuwa amepanga safari kesho yake, alipuuza ndoto na kuanza safari bila kutafuta ufumbuzi,

Matokeo yake, alipata Ajali na kupoteza baadhi ya viungo.

Mwingine , mwanamke aliota ndotoni mumewe amezini na mtu mwingine na alionao tukio Zima ndotoni, kosa lake Akaenda kumuuliza mumewe,

Kilichotokea mume alimwambia hizo ni ndoto tu Wala Si Kweli, wakati katika uhalisia wiki iliyopita, alifanya Kweli UASHERATI Kwa Siri.

Sasa ukiokoka, ukawa na Roho mtakatifu, hata Jirani au adui akipanga ubaya au tukio dhidi Yako, utaona kabla live na kutafuta njia Bora za kuzuia.

Katika Ulimwengu wa Roho hakuna Siri.
Nakubaliana na wewe..Kila ubaya ambao adui atapanga juu yako Mungu atauweka wazi kabla haujakupata...
 
Kutokuokoka ni HASARA sana,

Asiyeokoka risk ya KIFO inamuotea Kila aendako.

Walio katika risk kubwa ni wenye wake wengi na wazinzi na walevi, wanalishwa Kila aina ya uchafu ambao hufupisha maisha Yao sana.

Mungu atusaidie na awaokoe.
 
Ni hatari sana kupuuzia ndoto, Hasa zile ambazo Mungu huleta ujumbe na maonyo kwako,

Kuna mtu aliota amepata Ajali usiku, na alikuwa amepanga safari kesho yake, alipuuza ndoto na kuanza safari bila kutafuta ufumbuzi,

Matokeo yake, alipata Ajali na kupoteza baadhi ya viungo.

Mwingine , mwanamke aliota ndotoni mumewe amezini na mtu mwingine na alionao tukio Zima ndotoni, kosa lake Akaenda kumuuliza mumewe,

Kilichotokea mume alimwambia hizo ni ndoto tu Wala Si Kweli, wakati katika uhalisia wiki iliyopita, alifanya Kweli UASHERATI Kwa Siri.

Sasa ukiokoka, ukawa na Roho mtakatifu, hata Jirani au adui akipanga ubaya au tukio dhidi Yako, utaona kabla live na kutafuta njia Bora za kuzuia.

Katika Ulimwengu wa Roho hakuna Siri.
Mkuu inatosha sasa kunikwoti maana duh!

Nimeshakuelewa.

Nitajitahidi nami nifike huko kwenye ulimwengu wa Roho.

Tuombeane 🙏🏿
 
Kutokuokoka ni HASARA sana,

Asiyeokoka risk ya KIFO inamuotea Kila aendako.

Walio katika risk kubwa ni wenye wake wengi na wazinzi na walevi, wanalishwa Kila aina ya uchafu ambao hufupisha maisha Yao sana.

Mungu atusaidie na awaokoe.
Mjukuu njoo huku kuna ujumbe wako. Okoka sasa ili uondokane na risk ya KIFO!

Ukipuuzia ujumbe huu halafu uje uishie kwenda motoni utanitambua! 😬
 
Mkuu inatosha sasa kunikwoti maana duh!

Nimeshakuelewa.

Nitajitahidi nami nifike huko kwenye ulimwengu wa Roho.

Tuombeane 🙏🏿
Ok nimeacha.

Uliuliza swali zuri ndomana nimejaribu kujibu kupitia wewe Kwa kirefu Ili majibu hayo yasaidie wengine pia watakaosoma, kama Si Leo basi siku ingine.

Ubarikiwe.
 
Ndo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?

wote naona wana offer nzuri nzuri....
Yesu ndiye njia na kweli na uzima ukimuamini Yesu kuwa ni Bwana na ukaamua kumfata utaurithi ufalme wa
Ndo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?

wote naona wana offer nzuri nzuri....
Pasipo kumuamini Yesu na kumfata kamwe hutoingia ufalme wa Mbinguni
 
Yesu ndiye njia na kweli na uzima ukimuamini Yesu kuwa ni Bwana na ukaamua kumfata utaurithi ufalme wa Mungu
Ata kwa waislamu hakuna Mungu mwingne ila Allah , na Muhammad ni mtume wake.
 
Ndo najiuliza hapa nimfuate Yahweh au Allah?

wote naona wana offer nzuri nzuri....
Kwa jicho la kibinadamu kwa Allah inaonekana ni offer nzuri zaidi. Mabikra 72, mito ya pombe tamu isiyokauka...

Kwa Yahweh huku ni kuimba na kuabudu 24/7.

Na bado hujazungukia kwa Wahindu kule. Sijui wao wanasemaje....

Choose carefully! 😁
 
Choose carefully! [emoji16]
Wahindi unarudi kuzaliwa tena , ukifanya vibaya unaweza rudi kwa umbile la fisi.
 
Back
Top Bottom