Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Wanaosema kataa ndoa ,wengi hawamaanishi kile wasemacho hapa jukwaani wengi ,wameoa na wanaishi na wake zao, na inawezakana hawana sauti ndani ya nyumba.
Kukataa NDOA ni maagizo ya kishetani,

Wanaoshabikia, wanamtumikia shetani Kwa kujua na wengine fuata mkumbo!!
 
Ingekuwa kheri kwako kukubali kuwa u kipofu Ili ushikwe mkono kuelekezwa njia sahihi.

Amen
Dadeeki. Kipofu kisa sikubali uongo? Hata kama tungekuwa tunakula sadaka wote! Huo utapeli hauniingii. Ugesema Mwajuma atakurushia mawe,hapo sawa. Lakini eti Mungu atafanya nini?! Eti mtolee sadaka! Bora bia kwa kahaba. Si sadaka na yenyewe?
 
Hilo nalo ni somo jingine, tuombe Mungu asaidie pia niletee humu.

Bt in short, ukijazwa Roho MTAKATIFU, utasikia maelekezo kabisa Kutoka ndani,

Ni muhimu pia kushirikisha waliookoka wakusaidie kuomba.

Ndipo linapotimia neno lisemalo,

MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA. AMEN
Mkuu,
Kuna jamaa alikutana na binti wa kinyaturu bar alikuwa bamedi baada ya kuzoeana wakaanza mahusiano.

Hivi sasa ni mwaka wa nane na wana watoto wawili.

Hawa walijazwa roho mtakatifu?
 
Dadeeki. Kipofu kisa sikubali uongo? Hata kama tungekuwa tunakula sadaka wote! Huo utapeli hauniingii. Ugesema Mwajuma atakurushia mawe,hapo sawa. Lakini eti Mungu atafanya nini?! Eti mtolee sadaka! Bora bia kwa kahaba. Si sadaka na yenyewe?
Kahaba ni shimo refu, halijai, Wala shimo Hilo halikinai,

Shimo la kahaba ni sawa na shimo la kuzimu,

Na ujue, hakuna mtu Rahisi kuuwawa Kwa sumu kama mlevi.

Ndomana nakuombea ukubali maonyo ya Mungu Ili uwe salama.

Mungu ni nini? Ukinipa jibu tutakutana lodge uniombee. Ila kama we kidume siji
 
Mkuu,
Kuna jamaa alikutana na binti wa kinyaturu bar alikuwa bamedi baada ya kuzoeana wakaanza mahusiano.

Hivi sasa ni mwaka wa nane na wana watoto wawili.

Hawa walijazwa roho mtakatifu?
Swali lako zuri sana,

Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi. Pia miaka 8 ya NDOA Si uthibitisho kuwa umepata, aweza badilika mbeleni usiamini macho Yako.

Pia, Yaeza kuwa Mungu alimkutanisha na ubavu wake katika mazingira hayo magumu.

Nowadays wanawake waovu wengi huenda makanisani Si kuabudu au kutubu, Bali huenda kuficha UOVU wao na kuwanasa waume wasio na macho ya Rohoni.

Msisitizo hapo ni watu waombe, Mungu atawapa mke au mume sahihi/Ubavu sahihi.

Amen
 
Swali lako zuri sana,

Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi.

Yaeza kuwa Mungu alimkutanisha na ubavu wake katika mazingira hayo magumu.

Nowadays wanawake waovu wengi huenda makanisani Si kuabudu au kutubu, Bali huenda kuficha UOVU wao na kuwanasa waume wasio na macho ya Rohoni.

Amen
Kwahyo mungu anakutanisha malaya anayeuza pombe bar na mlevi Halafu bila hiyo ya kudai ndoa wakaishi pamoja miaka nane na watoto wawili?

Mbona huyo mungu aeleweki?
Hili ni swala la bahati ya mwenzangu au ni swala nililokuuliza roho mtakatifu mbona majibu yako mepesi mtumishi?
 
Mungu ni nini? Ukinipa jibu tutakutana lodge uniombee. Ila kama we kidume siji
Kwamba UOMBEWE Ukiwa Lodge?

Kuwa serious, Huu ni ujumbe wa Mungu,

Wengi hamwendi nyumba za Ibada nowadays, Mungu ametutuma tuwahubirie huko mlipo.
 
Kwahyo mungu anakutanisha malaya anayeuza pombe bar na mlevi Halafu bila hiyo ya kudai ndoa wakaishi pamoja miaka nane na watoto wawili?

Mbona huyo mungu aeleweki?
Hili ni swala la bahati ya mwenzangu au ni swala nililokuuliza roho mtakatifu mbona majibu yako mepesi mtumishi?
Eneo Si tatizo, hata Walio bar wasiomjua Mungu wanaweza oana kipagani, lakini baadae Mungu akawaokoa ,wakaacha ulevi na kumtumikia Mungu.

Mungu ni Pendo, awapenda wote.

Pia Mungu usimwekee mipaka.

Ubarikiwe.
 
Achana na mambo ya baadae nazungumzia watu ninaowaona hakuna ndoa wapo miaka nane na watoto wawili. Huyo mungu anabariki hao wafanya uzinzi kwa madai ya stori za kiyahudi? Au mungu huyo anahusika vipi hapo na watu mpaka sasa wapo kwenye mahusiano na watoto wakubwa.

Ninazungumzia watu ninaowafahamu baba anakunywa mama anakunywa miaka nane na watoto wawili huyo mungu anahusika vipi hapo embu jaribu kumtetea maana nachouliza na majibu tofauti
 
Agano la kale ni kivuli cha agano jipya yaani agano jipya ndio halisi.
Kama unasema watu wa Agano jipya wako tofauti...
Then lets talk about wadogo zake Yesu kama unawajua kina Yakobo na Yohana...
Wengi wanapropose kwamba walikuwa watoto wa Yusuph kwa mama mwingine..
The. Huoni kama yusuph alikuwa na wake wawili Mariam na Mke mwingine..alifanya kosa?
 
Back
Top Bottom