Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Sasa Mawakala wa shetani wamekuaja na hili la kutotaka ndoa..

Wanasema hivi...
Kwani lazima kila mtu aoe au kuolewa bidada?

That's beyond personal freedom.

Katiba imetoa ruhusa ya miunganiko tofauti tofauti na ni ya hiyari zaidi na ndoa ni muunganiko wa hiyari

So aliyekataa kuoa ili atunze kibunda chake yuko sawa na aliyesema ataoa ili atumie kibunda na mwenzi wake wako sawa tusichukulie aliyekataa kuoa ni wakala wa shetani.
 
Nawe hujui ya kuwa Yesu aliwahubiria MAKAHABA ,wakaacha ukahaba wakawa wanafunzi watiifu wa Yesu?

Mungu anawapenda wote, ila tu waache UOVU na kumrudia Mungu.

Amen
Hakuwahubiria Makahaba alimkarimu kahaba ambaye ni Mariam Magdalene kasome tena biblia...
Na ndo ukienda kwenye Injili ya magdalene (The apokrifa) unakuta alikuwa ni mke wake
 
Ndoa ni Taasisi ngumu sana ndio Maana manabii waliokuja kufanya matengenezo kwenye nyakati Katika ulimwengu Wa Roho hawakuoa.

Eliyah, Daniel, Yohana, Yesu Mwenyewe, Habeli Mzaliwa Wa kwanza aliyeuawa na ndugu yake, Petro, Paulo, n.k. Mapadri na mapapa.

MTU akioa anakua ametengeneza ulimwengu wake Binafsi wenye utawala kamili.

Mume na MKE Kila mmoja Ana mwili ,nafsi na roho yake kama alivyokua Adamu na Hawa. Ndio Maana Hawa alikua na maamuzi yake Binafsi na matamanio yake Binafsi. Hawa akawa Wa kwanza kizamani kuwa kama MUNGU. Kwa nini alitamani kuwa kama MUNGU ; ni Kwa Sababu aliona wivu kuwa Adamu anatumia muda mwingi kufanya KAZI na maelekezo ya MUNGU. Hivyo Hawa akatamani apate ile heshimu na ukuu wote aliokua anaupata Mungu.

Ndio Maana kwenye ndoa Mwanamke anapozaa Watoto anataka kupata heshima na ukuu wote . Vita inaanzia hapo mpaka Siku ya kiama. Vinginevyo mwanaume awe amejishusha na kumwachia utawala na heshima yote Toka Kwa familia Nzima.

Shetani alikua na maarifa makubwa sana
Kuna watu wanafikiri kuwa Shetani angeamua kumdanganya Adam angeshindwa lakini ukweli ni kwamba Shetani alikua na uwezo Wa kumdanganya Adam kirahisi kuliko Hawa.

Adamu alfanganywa na kiumbe dhaifu Kabisa Yaani Hawa. Hivyo Adamu aliua dhaifu sana kudanganyika.

Iko Hivi Shetani aligundua kuwa Hawa alikua ni imara zaidí Katika msimamo dhidi ya kufuata matakwa ya mumewe kuliko Adam . Kama Nyoka angemdanganya Adamu kwanza hakika Hawa asingekubali kupokea tunda lile Toka Kwa Adamu. Hiyo ingekula kwake.

Yaani Mungu angekua ameweka agano na Hawa kuwa asile tunda halafu Adamu aje na tunda lake amshawishi kuwa wale kamwe Hawa asingekula . Angemwambia" shauri Yako mie sili hilo tundo kula Mwenyewe ufe Mwenyewe ".

Shetani alijua kuwa akimshawishi Adam kula tunda basi Dili lake lingefeli mana Hawa asingekubali kupokea tunda kutoka Kwa mumewe.

Ndio Maana Mungu Katika kuleta Agano imara alimtuma Yesu kupitia Mwanamke ámbaye alikua ni mchumba Wa MTU.

Yaani Mariam alikua tayari ameshachumbiwa lakini akakubali kupata ujauzito SIO Wa mchumba wake . Angekua ni mwanaume angekataa na kusema kuwa Mimi nina mchumba wangu siwezi kubeba ujauzito Huo na pangeibuka mabishano.

Mwanamke mbele ya agano kubwa kuliko uwezo Wa binadamu kamwe Hawezi kukataa.

Ingekua Yesu ameoa basi angeacha maelekezo Sahihi ya ndoa Kiroho .

Maelekezo yaliyopo ni kuishi na wanawake Kwa akili tuu na SIO vinginevyo.

Mungu alimuumba mwanaume Kwa Mfano wake ndani yake lakini Shetani aliingia ndani ya mwanamke na kutengeneza tamaa ya ukuu na uzuri wote ndani yake . Kwenye ndoa vita IPO kati ya Mume na MKE Siku zote. Kinachotakiwa ni mwanaume kutumia akili tu. Iwe ameoa kimila au kidini au. vyovyote.

Sara alimpelekesha Baba Wa Imani kwenye ndoa mpaka basi.

Ibrahimu alikua mwaminifu sana.

Miaka tisini hawana mtoto lakini hakuthubutu kuoa mpaka alipolazimishwa na Sara amchukue mjakazi wake.
Sara huyo huyo akamlazimisha Ibrahimu amfukuze Mwanamke na mtoto aliyemlazimisha Ibrahimu. Sasa hapo ni Nani aliyeleta matatizo Kama Sio Sara Mwenyewe na Ibrahimu akaamua kuwa mpole na kufuata maelekezo ya mkewe ambayo hayakuwa na usahihi zaidí ya kuleta matatizo?

Hakuna MTU mwenye kumjua Mungu zaidí ya Ibrahimu lakini ndoa ilieta changamoto kwake.

Ndoa ni Taasisi tata sana mana inawahusisha watu wazima wawili na hakuna anayeona nafsi na roho ya mwenzake zaidí ya kuona mwili.

Nafsi Mbili zenye Tamaa za kumiliki na kutawala haziwezi kuwaza Kwa usawa bila moja kujishusha ambapo ni mwanaume ndiye anayepaswa kutumia akili na kujifanya mjinga na kupokea maelekezo Toka Kwa Bosi wake ámbaye ni Malikia.

Mwanaume akijifanya kuwa Bosi mbele ya mkewe ushindani utahamia Kwa Watoto . Subiri uzeeke utajua Nani ni Bosi.
 
Mkuu,
Kuna jamaa alikutana na binti wa kinyaturu bar alikuwa bamedi baada ya kuzoeana wakaanza mahusiano.

Hivi sasa ni mwaka wa nane na wana watoto wawili.

Hawa walijazwa roho mtakatifu?
Hilo 🙄ndilo swali lako!!

Nijibu, walipokutana bar na kuanza mahusiano, walioana au hawakuoana Hadi wanafikisha miaka 8 ya mahusiano na kupata watoto wawili?
 
Ndoa ni Taasisi ngumu sana ndio Maana manabii waliokuja kufanya matengenezo kwenye nyakati Katika ulimwengu Wa Roho hawakuoa...
Yesu ni Mungu, Kuoa isingewezekana.

Yeye ni KICHWA Cha Kanisa, na Kanisa ni bibi harusi wake milele na milele kiroho .

Amen
 
Kwani lazima kila mtu aoe au kuolewa bidada?

That's beyond personal freedom.

Katiba imetoa ruhusa ya miunganiko tofauti tofauti na ni ya hiyari zaidi na ndoa ni muunganiko wa hiyar
😅😅😅
Hili nilishakuambia kule kwenye mada yako nikakupa hoja nikakuambia upinge hata moja ila cha ajabu hola 😅😅😅
Kizazi Cha nyoka utoe wapi HOJA zaidi ya makufuru?
 
Nawe u uzao Ule wa nyoka aliyelaaniwa.

Yesu ni Mungu, hakuoa mwanadamu.
Danganyaneni tu. Hakuna cha kahaba wala nini. Tunachosikiaga,japo uhakika hatuna. Nae alikuwa anasubiri giza liigie ndo aende kuwashughulikia Maria na Marita. Sasa leo hii unamsifia na kumsafisha kwa lipi?
 
Toka babu zake waongo mpaka leo nae muongo,na wanae watakua waongo kama yeye. Eti Yesu atarudi. Ohh karibiaba anakuja. Bora wangesema inaafunguliwa Bar mtaa jirani hapo sawa
Sasa We jiulize walikochukua Dini kwa Wayahudi wanatifautiana kwa 70% kitheolojia unategemea nani atakuwa mkweli kati yao Yule wa kwanza au wa pili...
Lakini according to law ya contradiction wote waongo
 
Back
Top Bottom