Kukataa NDOA ni maagizo ya kishetani,Wanaosema kataa ndoa ,wengi hawamaanishi kile wasemacho hapa jukwaani wengi ,wameoa na wanaishi na wake zao, na inawezakana hawana sauti ndani ya nyumba.
Dadeeki. Kipofu kisa sikubali uongo? Hata kama tungekuwa tunakula sadaka wote! Huo utapeli hauniingii. Ugesema Mwajuma atakurushia mawe,hapo sawa. Lakini eti Mungu atafanya nini?! Eti mtolee sadaka! Bora bia kwa kahaba. Si sadaka na yenyewe?Ingekuwa kheri kwako kukubali kuwa u kipofu Ili ushikwe mkono kuelekezwa njia sahihi.
Amen
Mkuu,Hilo nalo ni somo jingine, tuombe Mungu asaidie pia niletee humu.
Bt in short, ukijazwa Roho MTAKATIFU, utasikia maelekezo kabisa Kutoka ndani,
Ni muhimu pia kushirikisha waliookoka wakusaidie kuomba.
Ndipo linapotimia neno lisemalo,
MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA. AMEN
Kahaba ni shimo refu, halijai, Wala shimo Hilo halikinai,Dadeeki. Kipofu kisa sikubali uongo? Hata kama tungekuwa tunakula sadaka wote! Huo utapeli hauniingii. Ugesema Mwajuma atakurushia mawe,hapo sawa. Lakini eti Mungu atafanya nini?! Eti mtolee sadaka! Bora bia kwa kahaba. Si sadaka na yenyewe?
Kwanini zote zitumike na unadai agano jipya ndio halisi na la kale ni kivuli?Lazima zote zitumike kumhubiri Kristo, maana yeye ni yule yule toka zamani mpaka sasa.
Mungu ni nini? Ukinipa jibu tutakutana lodge uniombee. Ila kama we kidume sijiKahaba ni shimo refu, halijai, Wala shimo Hilo halikinai,
Shimo la kahaba ni sawa na shimo la kuzimu,
Na ujue, hakuna mtu Rahisi kuuwawa Kwa sumu kama mlevi.
Ndomana nakuombea ukubali maonyo ya Mungu Ili uwe salama.
Amen
Swali lako zuri sana,Mkuu,
Kuna jamaa alikutana na binti wa kinyaturu bar alikuwa bamedi baada ya kuzoeana wakaanza mahusiano.
Hivi sasa ni mwaka wa nane na wana watoto wawili.
Hawa walijazwa roho mtakatifu?
Kwahyo mungu anakutanisha malaya anayeuza pombe bar na mlevi Halafu bila hiyo ya kudai ndoa wakaishi pamoja miaka nane na watoto wawili?Swali lako zuri sana,
Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi.
Yaeza kuwa Mungu alimkutanisha na ubavu wake katika mazingira hayo magumu.
Nowadays wanawake waovu wengi huenda makanisani Si kuabudu au kutubu, Bali huenda kuficha UOVU wao na kuwanasa waume wasio na macho ya Rohoni.
Amen
Kwamba UOMBEWE Ukiwa Lodge?Mungu ni nini? Ukinipa jibu tutakutana lodge uniombee. Ila kama we kidume siji
Eneo Si tatizo, hata Walio bar wasiomjua Mungu wanaweza oana kipagani, lakini baadae Mungu akawaokoa ,wakaacha ulevi na kumtumikia Mungu.Kwahyo mungu anakutanisha malaya anayeuza pombe bar na mlevi Halafu bila hiyo ya kudai ndoa wakaishi pamoja miaka nane na watoto wawili?
Mbona huyo mungu aeleweki?
Hili ni swala la bahati ya mwenzangu au ni swala nililokuuliza roho mtakatifu mbona majibu yako mepesi mtumishi?
Mimi nipe nafasi Mama mchungaji Niondoe wazo la kataa ndoaSasa Mawakala wa shetani wamekuaja na hili la kutotaka ndoa..
Wanasema hivi;
"KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI, TUNZA KIBUNDA"
Wanalitamka kimwili ila kiroho linaumbika...
Vijana hawataki kuoa..
Musa hakuruhusu musa kakuta na yeye pia alioa wake wawiliNDOA halali ni ya mke mmoja na mume mmoja,
AGANO la kale walifanya hivyo na Musa aliruhusu sababu ya ugumu wa mioyo Yao.
( Mathayo 19:3-9). Yesu kapigilia mstari kuwa, Kuoa wake wengi au kuacha mke ni UASHERATI na UZINZI!!
"Hamjui ya kuwa yeye aunganishwaye na kahaba huwa mwili mmoja"""Eneo Si tatizo, hata Walio bar wasiomjua Mungu wanaweza oana kipagani, lakini baadae Mungu akawaokoa ,wakaacha ulevi na kumtumikia Mungu.
Mungu ni Pendo, awapenda wote.
Pia Mungu usimwekee mipaka.
Ubarikiwe.
Hawezi kuwa na jibu hilo ni gumu kwakeMungu ni nini? Ukinipa jibu tutakutana lodge uniombee. Ila kama we kidume siji
Yesu ni Mungu,Kama NDOA ni kitu Chema mbona Yesu hakuoa ?
HAUTOKI KWENYE RELI Msimamo ni ule ule
KATAA NDOA
TUNZA PESA
Achana na mambo ya baadae nazungumzia watu ninaowaona hakuna ndoa wapo miaka nane na watoto wawili. Huyo mungu anabariki hao wafanya uzinzi kwa madai ya stori za kiyahudi? Au mungu huyo anahusika vipi hapo na watu mpaka sasa wapo kwenye mahusiano na watoto wakubwa.Eneo Si tatizo, hata Walio bar wasiomjua Mungu wanaweza oana kipagani, lakini baadae Mungu akawaokoa ,wakaacha ulevi na kumtumikia Mungu.
Mungu ni Pendo, awapenda wote.
Pia Mungu usimwekee mipaka.
Ubarikiwe.
Kama unasema watu wa Agano jipya wako tofauti...Agano la kale ni kivuli cha agano jipya yaani agano jipya ndio halisi.
Nawe hujui ya kuwa Yesu aliwahubiria MAKAHABA ,wakaacha ukahaba wakawa wanafunzi watiifu wa Yesu?"Hamjui ya kuwa yeye aunganishwaye na kahaba huwa mwili mmoja"""