Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Amina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe.Amina.
Ubarikiwe.
AminaRoho mtakatifu ni mwalimu, ni kiongozi, ni mfariji, anatukumbusha kutubu tunapokosea, hutuombea Kwa kuugua,
Ndomana nakuambia, ukimkatibisha akuongoze, Roho ya mpinga kristo itakukimbia.
😅😅😅Ndio, aliitoa Roho yake ndani ya MWILI na kuirudisha tena siku ya tatu,
Kisha akapaa Mbinguni, na hata sasa ameketi katika KITI Cha enzi.
Wakristo mnamkosea adabu Bikira Mariamu.Maandiko Yako wazi, Mariam alizaa watoto wa kiume na WA kike na Yusuph. Na Yesu aliwachagua baadhi ya ndugu zake kuwa wanafunzi wake.
Vyakula special vya kuletwa na Malaika hayo ni maelezo Yako yasiyoandikwa kwenye BIBLIA.
Huyu hapa mwingine mwenye imani ya "Theotokos"Wakristo mnamkosea adabu Bikira Mariamu.
Ngono ni matokeo ya ánguko la mwanadamu.
Baada ya ánguko kuzaa Tena Kwa uchungu ni adhabu aliyopewa mwanamke.
Hawa alikua ni maalumu Kwa ajili ya kumzaa Mwana Wa Adamu . Akaanguka dhambini na kupewa adhabu ya kuzaa Kwa uchungu.
Mariamu Mamaye Yesu hakujamiiana MAISHA yake yote. Kama unaamini kuwa Yesu ni mwana Wa Mungu ondoa Hiyo Imani kuwa Mama yake aliendelea kujamiiana na Joseph. Ni kufuru kubwa sana.
Kuvuviwa na Roho mtakatifu na kupata mimba kimiujiza ni jambo kubwa sana.
Msisome Biblia bila kujua na historia na Imani iliyokuwa ipo kwenye Jamii juu ya kumsubiri Masihi na atakavyotokea.
Bikira Mariamu aliletwa Duniani Kwa KAZI moja tuu ya kumzaa Mwana Wa Mungu basi. Ndio Maana Hata Yesu hakuoa Ili kuendelea uzao mtakatifu mana hakuja Kwa KAZI huyo.
Hivi kwenye Biblia Yako kuna sehemu inayokuonyesha kuwa Esther hakuwahi kufanya mapenzi na Mfalme na ni Kwa nini hakufanya mapenzi Naye ! Na Kwa nini Esther aliingia kwenye historia ?
Na UPI ulikua waraka Wa kuwaua wayahudu? Na Kwa nini ule waraka uliondilewa kwenye Biblia?
Mkuu,Salaam / Shalom!!
INTRODUCTON.
(Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9).
NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho.
Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu.
Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao kukutana, ni Hadi wamwombe Mungu, Kuzini kabla ya Kuoa kunamweka mtu katika position ya Kuoa au Kuolewa na mtu mume au mke asiye ubavu wako sahihi.
Matatizo mengi ya NDOA na magomvi ni sababu ya Kuoa au Kuolewa na mtu asiye chaguo Kutoka Kwa MUNGU.
Mwanaume anapofikia uamuzi wa Kuoa, shetani huleta wanawake wengi karibu Yako, na Mungu Huwa tayari amemleta mtu sahihi, ukiitumia macho ya MWILI kuchagua mke, utaangukia Kuoa uliyeletewa na shetani, ndomana Kila aliyeoa Huwa na simulizi, hujikuta katika wakati ambapo huhitaji achague, wakati kiuhalisia, atokaye Kwa Mungu, ubavu wako Huwa ni MMOJA tu!!!
Utaniuliza, kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwamba tukioana mke mmoja, mume mmoja, wanawake watabaki bila waume, Hilo Lina sababu na majibu yake, Si Leo.
Utaniuliza pia ikiwa aliumbwa Adam mmoja na Hawa mmoja, kwanini idadi ya wanawake iwe kubwa kuliko wanaume? Hilo nalo majibu yake Si Leo!!
Ulimwengu wa Giza NDOA Yao ni kinyume na NDOA aliyoasisi Mungu, Ulimwengu wa Giza hakuna NDOA, wachawi, mama na mwanae wanajamiiana, USHOGA ,USAGAJI,kujamiiana na wanyama na Kila UOVU,umeanzia katika Ulimwengu wa Giza,Kisha kuletwa duniani, huko hawana mipaka, ni tafrani tupu.
Ili kuivuruga Dunia, Ulimwengu wa Giza hufanya jitihada juu chini Ili kwenda kinyume na maagizo ya Mungu Ili watu wasioane na kufikia baraka za wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu.
Ibilisi na shetani ajua akivuruga NDOA Takatifu atavuruga uzao wa mwanadamu, sababu watoto wakipatikana na kutunzwa vizuri katika taasisi aliyoasisi Mungu, watazaliwa watoto watakaomcha Mungu.
MADA: NINI HUTOKEA WAWILI, MUME NA MKE WANAPOUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA KIMWILI NA KIROHO?
Katika mwili, anaposimama Mchungaji kufungisha NDOA Takatifu kati ya mke na mume KIMWILI,
Pia, Katika Ulimwengu wa Roho pia wawili Hawa huunganika, Mungu akiwa shahidi.
Muunganiko huo hutokea Kwa Mfano wa nyota mbili zenye uelekeo tofauti angani, zinapokutana na kupata crash, nyota na Nuru kubwa huzaliwa sababu ya muunganiko huo. Na mng'ao huongezeka sana, sababu nyota mbili kuungana na kuwa moja kubwa inayong'aa zaidi.
Mamajusi, alipozaliwa Yesu, wao waliona Nyota yake, na ilionyesha nini Yesu amebeba, lakini Kwa watakatifu, hatuchunguzi Nyota, sisi huomba Mungu atuzidishie mafanikio Kutoka KIBALI tulichozaliwa nacho.
Kila mtu ana KIBALI, KIBALI Kutoka Kwa MUNGU ndiyo Bahati na mafanikio ya mtu huzaliwa nazo Toka tumboni, Mtu mume na mke sahihi wanapoungana katika NDOA Takatifu huunganisha KIBALI Cha mke na KIBALI Cha mme na kuwa kitu kimoja. Nguvu na uwezo wa mafanikio ya mke na mume sahihi Huwa hayazuiliki, baraka Huwa ni mara mbili, na hatua zao Huwa za haraka sana.
Narudia, hakuna mchawi au Pepo awezaye kuzuia mafanikio ya mtu mume na mke waliofunga NDOA sahihi Walio mwili mmoja, kuwatenganisha hao ni Hadi uvunje NDOA kwanza ndipo uweze kuwatenganisha.
Mafanikio Yako kijana yapo katika NDOA, watoto na uzao sahihi umo katika NDOA sahihi, jambo muhimu la kuzingatia, ni upate Mume au mke sahihi aliye Ubavu wako.
HITIMISHO
NDOA na iheshimiwe na watu wote, vijana wajitunze na kutunza bikira zao kabla ya Kuoa na Kuolewa Ili kupata baraka za NDOA.
Usipojitunza, usipotunza Bikra Yako, utapata wa kufanana nae, Pipa na mfuniko.
Kwa Leo niishie hapa.
Mungu na Awabariki.
NOTE: Ikiwa hujampokea Yesu kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha ya, fuatisha Sala ifuatayo:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO,NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE NA NIMEDHAMIRIA KUZIACHA, NIPE UWEZO WA KUSHINDA DHAMBI,FUTA JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, NA ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA. AMEN
Karibuni.
Amen
Kumbuka kuwa nimekuambia kuwa Joseph alikua na wake wengine Wa ndoa halali ndio Maana Malaika akamwambia kuwa amchukue Mariamu Ili Jamii ile isije ikaamuru auawe mana angeonekana amezaa mtoto Kwa zinaa.Mkuu [emoji28][emoji28] nakuelewa sana na kwa bahati mbaya ulichosema sio msingi wa Dini unayoamini Ni msingi wa Mila za kiKatolick ambao unaenda mpaka kwenye Council of Ephesus mwaka 431 AD..
Ambao ndo walianzisha Dogma na mila inayoitwa "Theotokos" katika Kanisa...
Maana yake ni Kumsafisha maria na kuwa Mama wa Mungu ...
Maana hakuingiliwa mpaka anakufa....
Sasa huko tupaache nataka tutoke kwenye misingi ya kidini wala misingi yoyote ya ukweli uliopo wala y watoto..
Natka twende kwenge mantiki na logic..
Kuna mwanaume unayemjua ambaye atamlipia Mahari mwanamke Na atakaa naye miaka yote zaidi ya 20 bila kumuingilia (Na zingatia mwanamume ni Rijali)...
Unacholeta ni Wazo la kwenye aprokrifa moja inayoelezea kuhusu uchungu wa maria wakunga waliomzalisha na Jinsi alivyokuwa Bikra na alivyoendelea kuwa bikra baada ya kujifungu...
Narudia Tena Someni Sana ili mtoke gereza la akili
Una uthibitisho wa ulichokiandika kama upo...Kumbuka kuwa nimekuambia kuwa Joseph alikua na wake wengine Wa ndoa halali ndio Maana Malaika akamwambia kuwa amchukue Mariamu Ili Jamii ile isije ikaamuru auawe mana angeonekana amezaa mtoto Kwa zinaa.
Joseph alikua ni mlezi tuu .
Warumia walimlinganisha Mariamu na Imani iliyokuwa inatazamiwa Kwa Karne nyingi ya kutokea Kwa mwanamke Wa namna ya ajabu na ámbaye amgemzaa Mtoto asiye na baba.
Hiyo ni historia Ilikua inasubiriwa na Jamii nyingi sana wakati huo.
Kwa Elimu kubwa waliyokuwa nayo warumi waligundua kuwa Bikira María ndiye alietimiza utabiri Huo na SIO wale waliokuwa wamewaamini zamani hizo.
Mfano . Leo hii kuna Smart phone Tofauti na Miaka 50 iliyopita. Huwezi kusema kuwa smart phone SIO simu Kwa Sababu tu haikuwepo zamani na haifanani na simu za zamani.
Jamani Yesu ni Mwana Wa Mungu.Mbona hata kwenye biblia kuna siku Maria alikuja na nduguze kumuona yesu aliozaa na joseph
Ok, ntajitahidi kuwatag wote walioreply kwenye previous threads Kila ninapoleta new thread.Mkuu,
Nimekunukuu,
"Utaniuliza, kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwamba tukioana mke mmoja, mume mmoja, wanawake watabaki bila waume, Hilo Lina sababu na majibu yake, Si Leo"
Ukipata wasaa wa kujib hii hoja uliyo iibua hapa ni Tag☺️😊
Acha kupotosha Imani Sahihi inayofichwa.Afu wanataka lazimisha kuwa Joseph alikuwa mcha mungu kiasi cha kuishi na mwanamke bila kumla mtu alikuwa seremala wanasema kwa enzi hizo ni tajiri
Ibrahim baba wa imani alishindwa vumilia akagonga nje atakuwa joseph
Watakaoingia Mbinguni, WATAKATIFU, wanaitwa bibiharusi wamsubiriao BWANA harusi katika Roho.Mungu hajaumba ndoa.Mungu aliumba Kuzaa,Kuabudu na kufa.Binadamu akaumba Pesa,ndoa na dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen, Amen Mungu nakushukuru kwa kunipa mume bora anayenipenda na mimi nikampenda ndoa yangu imetoka kwa Mungu Baba aliyeziumba mbingu na nchi.Salaam / Shalom!!
INTRODUCTON.
(Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9).
NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho.
Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu.
Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao kukutana, ni Hadi wamwombe Mungu, Kuzini kabla ya Kuoa kunamweka mtu katika position ya Kuoa au Kuolewa na mtu mume au mke asiye ubavu wako sahihi.
Matatizo mengi ya NDOA na magomvi ni sababu ya Kuoa au Kuolewa na mtu asiye chaguo Kutoka Kwa MUNGU.
Mwanaume anapofikia uamuzi wa Kuoa, shetani huleta wanawake wengi karibu Yako, na Mungu Huwa tayari amemleta mtu sahihi, ukiitumia macho ya MWILI kuchagua mke, utaangukia Kuoa uliyeletewa na shetani, ndomana Kila aliyeoa Huwa na simulizi, hujikuta katika wakati ambapo huhitaji achague, wakati kiuhalisia, atokaye Kwa Mungu, ubavu wako Huwa ni MMOJA tu!!!
Utaniuliza, kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwamba tukioana mke mmoja, mume mmoja, wanawake watabaki bila waume, Hilo Lina sababu na majibu yake, Si Leo.
Utaniuliza pia ikiwa aliumbwa Adam mmoja na Hawa mmoja, kwanini idadi ya wanawake iwe kubwa kuliko wanaume? Hilo nalo majibu yake Si Leo!!
Ulimwengu wa Giza NDOA Yao ni kinyume na NDOA aliyoasisi Mungu, Ulimwengu wa Giza hakuna NDOA, wachawi, mama na mwanae wanajamiiana, USHOGA ,USAGAJI,kujamiiana na wanyama na Kila UOVU,umeanzia katika Ulimwengu wa Giza,Kisha kuletwa duniani, huko hawana mipaka, ni tafrani tupu.
Ili kuivuruga Dunia, Ulimwengu wa Giza hufanya jitihada juu chini Ili kwenda kinyume na maagizo ya Mungu Ili watu wasioane na kufikia baraka za wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu.
Ibilisi na shetani ajua akivuruga NDOA Takatifu atavuruga uzao wa mwanadamu, sababu watoto wakipatikana na kutunzwa vizuri katika taasisi aliyoasisi Mungu, watazaliwa watoto watakaomcha Mungu.
MADA: NINI HUTOKEA WAWILI, MUME NA MKE WANAPOUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA KIMWILI NA KIROHO?
Katika mwili, anaposimama Mchungaji kufungisha NDOA Takatifu kati ya mke na mume KIMWILI,
Pia, Katika Ulimwengu wa Roho pia wawili Hawa huunganika, Mungu akiwa shahidi.
Muunganiko huo hutokea Kwa Mfano wa nyota mbili zenye uelekeo tofauti angani, zinapokutana na kupata crash, nyota na Nuru kubwa huzaliwa sababu ya muunganiko huo. Na mng'ao huongezeka sana, sababu nyota mbili kuungana na kuwa moja kubwa inayong'aa zaidi.
Mamajusi, alipozaliwa Yesu, wao waliona Nyota yake, na ilionyesha nini Yesu amebeba, lakini Kwa watakatifu, hatuchunguzi Nyota, sisi huomba Mungu atuzidishie mafanikio Kutoka KIBALI tulichozaliwa nacho.
Kila mtu ana KIBALI, KIBALI Kutoka Kwa MUNGU ndiyo Bahati na mafanikio ya mtu huzaliwa nazo Toka tumboni, Mtu mume na mke sahihi wanapoungana katika NDOA Takatifu huunganisha KIBALI Cha mke na KIBALI Cha mme na kuwa kitu kimoja. Nguvu na uwezo wa mafanikio ya mke na mume sahihi Huwa hayazuiliki, baraka Huwa ni mara mbili, na hatua zao Huwa za haraka sana.
Narudia, hakuna mchawi au Pepo awezaye kuzuia mafanikio ya mtu mume na mke waliofunga NDOA sahihi Walio mwili mmoja, kuwatenganisha hao ni Hadi uvunje NDOA kwanza ndipo uweze kuwatenganisha.
Mafanikio Yako kijana yapo katika NDOA, watoto na uzao sahihi umo katika NDOA sahihi, jambo muhimu la kuzingatia, ni upate Mume au mke sahihi aliye Ubavu wako.
HITIMISHO
NDOA na iheshimiwe na watu wote, vijana wajitunze na kutunza bikira zao kabla ya Kuoa na Kuolewa Ili kupata baraka za NDOA.
Usipojitunza, usipotunza Bikra Yako, utapata wa kufanana nae, Pipa na mfuniko.
Kwa Leo niishie hapa.
Mungu na Awabariki.
NOTE: Ikiwa hujampokea Yesu kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha ya, fuatisha Sala ifuatayo:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO,NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE NA NIMEDHAMIRIA KUZIACHA, NIPE UWEZO WA KUSHINDA DHAMBI,FUTA JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, NA ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA. AMEN
Karibuni.
Amen
Hata Joseph alikua na wake zaidí ya moja akiwemo Mariam ámbaye aliishi Naye Kwa ajili ya malezi ya Yesu tuu.Hili la kuoa mke mmoja limetokea wapi ilihali wengi ambao wanaongelewa kwenye biblia walikuwa na wake wengi.
Amen ubarikiwe,Amen, Amen Mungu nakushukuru kwa kunipa mume bora anayenipenda na mimi nikampenda ndoa yangu imetoka kwa Mungu Baba aliyeziumba mbingu na nchi.
taa yangu inawaka kila sekunde imejaa mafuta mafuta hayapungui maana imeandikwa mwanamke atamlinda mume wake kwa maombi mimi ni mlinzi wa mume wangu kwa ilo sina shakaAmen ubarikiwe,
Ila hakikisha unampa trust namba moja Mungu ndipo wengine wafuate, mume akiwemo.
Pia imeandikwa mwanamke ni mwombaji, omba sana Ili kumficha mumeo na Hila za shetani, maana hakuna kitu kinawindwa kuvunjwa Kwa Kila Hali kama ndoa.
Amen