min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ukiwasoma vizuri utagundua Allah yupo seriously zaidi.Kwa jicho la kibinadamu kwa Allah inaonekana ni offer nzuri zaidi. Mabikra 72, mito ya pombe tamu isiyokauka...
Kwa Yahweh huku ni kuimba na kuabudu 24/7.
Na bado hujazungukia kwa Wahindu kule. Sijui wao wanasemaje....
Choose carefully! [emoji16]