Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe!

ssc.jpg

Source: Wikipedia
 
Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!
Sio Simba tu, timu zote kubwa huwa ni mara chache sana kuonekana zikicheza Kombe la Shirikisho, na hii ni kote Afrika hata Ulaya (Europa Cup). Angalia Madrid, Barcelona, Manchester United, Liverpool, Juventus, AC Milan, Inter Milan, Marseilles, PSG, Bayern Munich na vigogo vingine, kisha tafuta idadi ambayo wameshiriki shirikisho. Timu kubwa ni kwa ajili ya Klabu Bingwa, ukiona inacheza shirikisho ujue either ni ndogo au kubwa iliyotolewa Klabu Bingwa mapema
 
Ila hizo kubwa ulizotaja za huko ulaya mara nyingi zikipelekwa Europa huwa zinafika fainali au zinabeba kabisa, nasema uongo ndugu zangu?
 
Ndio yawezekana, lakini hadi uteremshwe Europa maana yake uliondolewa Champions League mapema kabisa, maana wale wanaoondolewa baadaye huwa wanasubiri nje hadi msimu ujao. Na kuondolewa mapema Champions League huwa sio sifa nzuri
 
Sio Simba tu, timu zote kubwa huwa ni mara chache sana kuonekana zikicheza Kombe la Shirikisho, na hii ni kote Afrika hata Ulaya (Europa Cup). Angalia Madrid, Barcelona, Manchester United, Liverpool, Juventus, AC Milan, Inter Milan, Marseilles, PSG, Bayern Munich na vigogo vingine, kisha tafuta idadi ambayo wameshiriki shirikisho. Timu kubwa ni kwa ajili ya Klabu Bingwa, ukiona inacheza shirikisho ujue either ni ndogo au kubwa iliyotolewa Klabu Bingwa mapema
Sawa hizo timu pamoja zina shiriki mara chache hua chukua kombe
 
Back
Top Bottom