Je, wajua? - Special Thread

Je wajua?
NDEGE MAUA/ RUBY- THROATED HUMMINGBIRD

* Ndio ndege mdogo zaidi kuliko wote duniani.
*Ana manyoya machache zaidi kuwahi kuhesabiwa katika jamii ya ndege.
*Amekiwa akikamatwa na dragonflies, praying mantis, kukamatwa na utandu wa buibui na hata kunaswa na vyura kwa ajili ya mlo.
*Kabla hajahama eneo hukusanya fats za kutosha mwilini mwake sawa na nusu ya uzito wake.
*Wakati wa uchumba, mbawa zake hupiga mara 200 per second tofauti na kawaida yake ya mapigo ya 90 times/seconds.
 
Je wajua kuwa uchi wa Bata jike umegawanyika katika matundu saba (7) ndani ila tundu moja tu ndilo linalitumika kujamiiana?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Je wajua? mdomo wa binaadamu una bakteria wengi kuliko m.nduku

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Je wajua? Paka ndie mnyama anaejua kulia kimahaba na kukatika miuno feni kuliko wanyama wote ulimwenguni

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Ooow
 
Huu Uzi kumbe una madini kiasi hiki
 
Je wajua hakuna kiwango salama cha unywaji wa pombe?

Je wajua kuhudhuria Msikitini au Kanisani huongeza asilimia 20 ya lifespan yako?
 
sasa hapa kila mtu atavimba
 
Je,wajua tatizo la kuadimika kwa condom sasa ni kubwa zaidi vijijini kuliko mijini? Na hii itaongeza maambukizi kwa kasi.Kama ulikuwa hujui Sasa umejua Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…