Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua?
NDEGE MAUA/ RUBY- THROATED HUMMINGBIRD

* Ndio ndege mdogo zaidi kuliko wote duniani.
*Ana manyoya machache zaidi kuwahi kuhesabiwa katika jamii ya ndege.
*Amekiwa akikamatwa na dragonflies, praying mantis, kukamatwa na utandu wa buibui na hata kunaswa na vyura kwa ajili ya mlo.
*Kabla hajahama eneo hukusanya fats za kutosha mwilini mwake sawa na nusu ya uzito wake.
*Wakati wa uchumba, mbawa zake hupiga mara 200 per second tofauti na kawaida yake ya mapigo ya 90 times/seconds.
images.jpeg
 
Je wajua kuwa uchi wa Bata jike umegawanyika katika matundu saba (7) ndani ila tundu moja tu ndilo linalitumika kujamiiana?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Je wajua? mdomo wa binaadamu una bakteria wengi kuliko m.nduku

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Je wajua? Paka ndie mnyama anaejua kulia kimahaba na kukatika miuno feni kuliko wanyama wote ulimwenguni

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Je wajua kuna kaburi la vifaa anga (spacecrafts cemetery)! Eneo hili linaitwa Point Nemo ambalo lina urefu wa mita 4,000 kusinini mwa bahari ya Pacific na lipo mbali kabisa na nchi kavu kwenye pande zote za dunia. Point Nemo imezungukwa na maji pande zote kwa ukubwa wa zaidi ya Kilometa 2,250.
Cha kushangaza zaidi aliegundua eneo hilo hajawahi kufika hapo! Ilikuwa mwaka 1992 ambapo Croatian survey engineer Hrvoje Lukatela ambapo alitumia program ya computer kutafuta ni point gani iliyo mbali zaidi kutoka point nyingine za nchi kavu. Maana halisi ya Nemo ni "no man"....eneo hili limezungukwa na mawimbi makali yanayozunguka muda wote na kufanya eneo hili lisikaliwe na viumbe wa baharini kama samaki... Kiufupi hakuna maisha.
Ooow
 
Je wajua kuna kimondo kinaitwa Psyche, ambacho kimeundwa kwa madini ya dhahabu, chuma, nikeli na platinum... Kinakadiriwa kuwa na thamani ya $700 quantillion! Ambapo kikiletwa duniani na kugawanywa kwa idadi ya watu wote takribani billion 7, kila mtu anakuwa billionea! Kipo kati ya Mars na Jupiter na wanasayansi wanategemea kupeleka satelaiti ifikapo 2022 na kuwasili 2026. Mpaka sasa hakuna project ya kuchimba vimondo ila inatarajiwa kufika 2030 kutakuwa na kampuni ya kufanya kazi hiyo (Asteroid mining company)...

manengelo
Huu Uzi kumbe una madini kiasi hiki
 
Je wajua hakuna kiwango salama cha unywaji wa pombe?

Je wajua kuhudhuria Msikitini au Kanisani huongeza asilimia 20 ya lifespan yako?
 
Je wajua kuna kimondo kinaitwa Psyche, ambacho kimeundwa kwa madini ya dhahabu, chuma, nikeli na platinum... Kinakadiriwa kuwa na thamani ya $700 quantillion! Ambapo kikiletwa duniani na kugawanywa kwa idadi ya watu wote takribani billion 7, kila mtu anakuwa billionea! Kipo kati ya Mars na Jupiter na wanasayansi wanategemea kupeleka satelaiti ifikapo 2022 na kuwasili 2026. Mpaka sasa hakuna project ya kuchimba vimondo ila inatarajiwa kufika 2030 kutakuwa na kampuni ya kufanya kazi hiyo (Asteroid mining company)...

manengelo
sasa hapa kila mtu atavimba
 
Je,wajua tatizo la kuadimika kwa condom sasa ni kubwa zaidi vijijini kuliko mijini? Na hii itaongeza maambukizi kwa kasi.Kama ulikuwa hujui Sasa umejua Hilo.
 
Back
Top Bottom