Je, wajua? - Special Thread

Je wajua uzito wa tembo unalingana au umepishana kidogo sana na uzito wa mnyama nyangumi?? wajua hilo??
Si kweli. Uzito wa nyangumi mmoja ni sawa na tembo ishirini. Ulimi wa nyangumi ambao hufikia tano tano ni sawa na uzito wa tembo moja aliyekomaa.
 
Nchini korea kuna aina ya kifungo kinaitwa "THREE GENERATION " Yaani kifungo cha vizazi vitatu.
.
.
Vizazi vitatu ni kuanzia wewe hadi wajukuu zako.
.
Kwahyo Mtu aliyefanya kosa hupelekwa jela na familia yake na hukaa huko hadi kizazi cha 3 ndo wanaachiwa huru.
.
.
Chanzo cha habari hii hakijaeleza aina ya makosa yenye adhabu hiyo.

Source: BlowingFacts.org

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadeki
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii tena iwe kwa makosa ya wizi wa mali ya Umma. Matumizi mabaya ya ofisi, Utekelezaji mbovu wa miradi yasirikali. Yaani tukikupa barabara ukajenga utumbo tunakufilisi wewe mpaka vitukuu, kila wakipata hela tunatimba kukwapua[emoji1241][emoji3590][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…