Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Hapa wakorea nimewaelewa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa wakorea nimewaelewa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo Kusini au kwa Kiduku?Hapa wakorea nimewaelewa sana
Hii itakuwa kwa kiduku... Kusini si wazungu tu! [emoji1787][emoji1787]Hiyo Kusini au kwa Kiduku?
Korea ipi??Nchini korea kuna aina ya kifungo kinaitwa "THREE GENERATION " Yaani kifungo cha vizazi vitatu.
.
.
Vizazi vitatu ni kuanzia wewe hadi wajukuu zako.
.
Kwahyo Mtu aliyefanya kosa hupelekwa jela na familia yake na hukaa huko hadi kizazi cha 3 ndo wanaachiwa huru.
.
.
Chanzo cha habari hii hakijaeleza aina ya makosa yenye adhabu hiyo.
Source: BlowingFacts.org
NAWASILISHAView attachment 1544194
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kumbukizi nzuri.Simba nguvu moja.
Hii timu ilijiita kwa kifupi ASA, ilikuwa hatari sana, na ilitoka kuwatoa Canon Yaounde ya Cameroon kisha Gor Mahia ya Kenya kabla haijakutana na Simba, na kote huko hadi inaingia nusu fainali ilikuwa haijaruhusu goli hata moja ndani ya dakika 90, hivyo waliduwaa sana kuona wanafungwa matatu hapa (ila nikusahihishe kidogo, first leg ilikuwa 3-1 na sio 3-0). Timu ilikuwa na golikipa mahiri kabisa wa viwango kama vya Mwameja, aliitwa Kanka Vemba, alikuwa hafungiki kirahisi. Wachezaji wengine ni winga hatari kabisa mzaliwa wa DRC, Libengue ambaye alipambana vilivyo na Kasongo Athumani mwenye bangi zake kichwani. Wengine ni Arlindo, Abilio, Kuleka, Nando na wengine nimewasahauATLETICO SPORTS AVIACAO ya Angola ilikuwa ndio mpinzani wa Simba hawa Walikuwa wanaume wa ukweli.
Mechi ya Kwanza ilichezwa Dsm 17 October 1993 na hapa Simba ndio waliendeleza historia ya NYUMBANI HATOKI MTU kwa kumpiga kama amesimama 3 kwa mtungi hawa Atletico Sports Aviacao baada ya mechi walisema hawaamini matokeo haya kabisa kwani Simba imewashangaza sana hatakaa kusahau hawajawahi muda mrefu kufungwa popote TATU MZUKA KAVU na cha kuvutia zaidi Goli zote 3 kapiga Mwanaume mmoja EDWARD CHUMILA akaondoka na mpira wake.
Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka gani mku??JUA HILI
Idadi ya raia wa China ni 1,437,268,056 na idadi ya bara lote la Afrika ni 1,340,598,140
Kwahyo utofauti wake na China inazidi bara lote la Afrika watu takribani 96,668,961
Hii inamanisha watu wote wa Afrika wanaweza ishi China na Watu wa China wakiishi wote Africa watakua wengi zaidi.
Hivi sisi africa tunaweza tukawa taifa moja kweli?
Labda tunaweza kuwa superpower tukaogopeka.
Kamwe hatuwezi na haitawahi kutokea. Kuingia Kenya tu lazima uonyesha passport wakati walishasaini free movement and Trades.Hivi sisi africa tunaweza tukawa taifa moja kweli?
Labda tunaweza kuwa superpower tukaogopeka.